Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,249
Pole sana mkuu
Naona umejawa povu kedekede usiku mwema mkuuDawa za kienyeji zinatoka vijijini mjini zinaletwa na wanakijiji.
Okay thanksKukaa muda mrefu
Kula vyakula vigumu
Kutokupata choo
Kutokula matunda
Kunywa maji kidogo
Etc
Mbona hiyo unayompa ni tiba ya kukosa choo au kuwa na choo kigumu? Kwa kuwa fibres na matunda yenye nyuzi nyuzi huongeza maji kwenye njia ya utumbo wa kutolea uchafu.au yatamsaidiaje?Kikweli huyo ugonjwa huchangiwa na Ulagi wa vyakula vigumu ambavyo huumfanya MTU kukaa mda mrefu chooni na kumpelekea hali hiyo
Sasa niliwahi hisi hali hiyo kipnd cha mwaka jana katika hatua za awali ila nikapata ushauri wakubadili mtindo wa kula na kuzingatia mambo haya
Kula matunda
*Kunywa maji mengi
* Na kujipusha kujisaidia haja kubwa kwa mda mrefu.
Kwahyo hadi sasa naona zile dalili za awali zimekata kbsa japo mda mwingine mara moja moja joto ikiwa kali nahisi mwasho.
Ushauri ,zingatia matunda kula kabla ya chakulamatunda yatayo kusaidia sana ni yale yenye nyuzi nyuzi
Kama
Maembe
Mapapai pia
Mboga za majani kwa sana wakat wa kula kama utakosa matunda
Huo ugonjwa usababishwa na mambo mawitatu makubwa la kwanzaMbona hiyo unayompa ni tiba ya kukosa choo au kuwa na choo kigumu? Kwa kuwa fibres na matunda yenye nyuzi nyuzi huongeza maji kwenye njia ya utumbo wa kutolea uchafu.au yatamsaidiaje?
Nimekuelewa mkuuHuo ugonjwa usababishwa na mambo mawitatu makubwa la kwanza
*KUPATA CHOO KIGUMU
*KUHALISHA MDA MREFU
*KUBEBA VITU VIZITO
*Kukaa mda mrefu chooni
*Kukaa mda mrefu sehemu moja
Mambo hayo ndio makubwa hasa kwa wanaume ila kwa K huchangiwa pia na kufumuliwa backward
So nazan maelekezo hayo nyuma yatamsaidia sana jamaa kama hatua za awali pia akamuone daktri
Kwahiyo umeona huyo ndie anaponya ujinga huuMKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Njaa mbaya sana mkuuMKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Hahahhahaahahaaahaaaaa jamani niemcheka na hili jibu had machoziHeeee
Nilifanya hiyo ya maji vuguvugu na chumvi iliuma sana sana sana lakini baada ya siku 2 nikaanza kuona nafuu baada ya wiki kiliisha kabisa na kilikua kikubwa kuliko hicho,.kuwa jasiri tu kalia maji utaumia lakini yatakusaidiaPole sana sana jaribu haya lakini kumwona Daktari ni muhimu Kula mapapi,parachichi,matunda yenye nyuzi nyuzi,vyakula visifyokobolewa,pia tafuta beseni weka maji ya uvuguguvu na tiamo chumvi alafu kaa huko kwa beseni kwa mda then amka jifute,au weka kipande cha barafu funga kwa kitambaa ulale kifudifudi ukiwa umekiweka juu ya Makalio kwa mda.Pia ukikaa jitahidi kukalia mto.
khaaaMKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
niliweka kioo chini ndipo nikajipiga picha na tekno yangu ya cx airMkuu samahani lakini, umejipiga mwenyewe au umepigwa hiyo picha...
najaribu kuwaza iwapo ulijipiga mwenyewe ulikaa mkao gani..
Ujasiri ulioje..niliweka kioo chini ndipo nikajipiga picha na tekno yangu ya cx air