Sharing is caring mkuu, kwa ushauri na ushuhuda huu utakuwa umewasaidia wengi kwasababu huu ni ugonjwa unaosumbua sana kwa sasa.Mrejesho wa ugonjwa wa Bawasili.
Wakati mleta mada wa huu ugonjwa anaandika mada yake, kama nilivyoeleza jirani yangu alikuwa kwenye matibabu ya huu ugonjwa.
Hivyo nikaamua nimtumie yeye kama Sampo ya kuuelezea huu ugonjwa.
Kwakuwa huyu jirani yangu ni rafiki yangu akawa ananieleza kila kitu kuhusu ugonjwa wake.
Jirani yangu aliamka asubuhi moja na kukuta ana maumivu sehemu ya haja kubwa.
Alipochungulia akaona kuna vi uvimbe viwili kama vijipu vilivyo iva hivi.
Ikabidi aende kuwaona madaktari ili apate ushauri zaidi wa kitaalamu.
Aliporudi alinionesha dawa alizo andikiwa.
Kama nilivyoziandika hapo juu, hizo dawa zimeandikwa=
" Amoxicillin & Clavulanate Potassium Tablets USP "
Zipo kwenye box la mstatili na ndani yake vidonge vimewekwa kwenye Blista ngumu mbili,
Dawa hizo alizinunua kwa Tsh 21,000/= akapewa na Panadol za Tsh 1000/ ili kutuliza maumivu.
Dozi
Aliambiwa awe anakunywa kidonge kimoja asubuhi na kimoja jioni.
Kwa muda wa siku saba.
Vidonge vilikuwa 14 kila blista ilikuwa na vidonge saba, hivyo ndani ya box la dawa kulikuwa na Blista mbili.
Habari nzuri sana.
Baada ya kutumia hiyo dozi kwa siku Saba, jirani yangu kapona kabisa kabisa.
Zile vimbe zimenywea kabisa, na maumivu yameisha.
Ni kwamba amepona kabisa.
Jirani yangu alinieleza pia kuwa wakati anaendelea na dozi alikuwa pia anatumia Asali mbichi.
Yaani jioni alikuwa anachukua kitambaa cha bendeji, anakikata ktk kipande kidogo na kukichovya kwenye Asali mbichi halafu anakibandika pale penye vi uvimbe, halafu analala hadi asubuhi, wengi mnajua kuwa Asali inamchanganyiko wa kemikali nyingi sana.
Hitimisho.
Jirani yangu kapona Bawasil kwa siku saba tu, kinachotakiwa ni kuuwahi huo ugonjwa kwa kuanza matibabu mara tu ya kuviona hivyo viuvimbe.
Hii taarifa ni ya kweli kwani nimeshuhudia kila hatua ya matibabu yake na huo ugonjwa alinionesha pia.
Nimeyaleta haya matokeo kama mchango wangu kwa wale watakao sumbuliwa na Bawasil wajaribu hii tiba.
Asanteni wandugu.
Sawa Asante kwa kutambua mrejesho wangu.Sharing is caring mkuu, kwa ushauri na ushuhuda huu utakuwa umewasaidia wengi kwasababu huu ni ugonjwa unaosumbua sana kwa sasa.
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku naomba kupata msaada kwa hili tatizo la uvimbe kwenye njia ya haja kubwa kama nilivyoeleza hapo juu, hili tatizo lilianza mwezi uliopita mwanzoni na ulianza uvimbe tu bila maumivu na ukiushika ni kama ni mshipa nikapata ushauri wa mtaalam flani na akaniambia nitumie dawa inayoitwa annusol pamoja na kufanya sitz bath tatizo limekuwa likipungua na kurudi tena na kwa sasa limekuwa na maumivu makali sana msaada tafadhari wakuu.
Inatumikaje kwa kutibu na ipo madukani au?Anuso suppositories zinaponya hiyo kitu mkuu. sijui umezitumiaje lakini hiyo ndio tiba nijuavyo mimi
yap ipo maduka makubwa. unaingiza kidonge kimoja au viwili sehemu ya haja kubwa. ni vizuri ufanye hivyo usiku wakati wa kulalaInatumikaje kwa kutibu na ipo madukani au?
njoo pm nikupe dawa uhakikaInatumikaje kwa kutibu na ipo madukani au?
ungeandika tu kwa faida ya wengine huenda wapo wenye tatizo kama hilo ila wanaona aibu kusema mkuu!!njoo pm nikupe dawa uhakika
njoo pm nikupe dawa uhakika