juliuskwanga
Member
- Apr 5, 2016
- 11
- 3
..Kuna group la ufufaji samaki kibiashara omba wadau wakupe link humo utakutana na wataalamu na magwiji wa Arusha wenzio.
Wapigie hawa jamaa wanauza samaki na kutoa mafunzo wapo Arusha maeneo ya Sakina...
mkuu nisaidie group gani,?
Msaada ndugu zangu. Mim ni mfugaji mdogo wa samaki aina ya tilapia(sato) sema kwa mwez mmoja sasa samaki hawana response nikiwapa chakula...je hili ni suala la kawaida..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji kuunganisha mpya au ni kurepair?Boss kuunganisha hizo liners ni sh ngapi nipo arusha
Unahitaji kuunganisha mpya au ni kurepair?
Tuwasiliane kupitia 0752022108,tupo arusha na tunatengeneza hizi liner kwa gharama nafuu.Mpya
ShukranTuwasiliane kupitia 0752022108,tupo arusha na tunatengeneza hizi liner kwa gharama nafuu.
Zipo pia boss,tuwasiliane ili uzione baadhi ya tulizo installJe PVC za pond za kuamishika mna uza...!?
Kama yes? Naweza ona sample zake na bei
Mkuu samahani kwa hili swali, naskia samaki wasipobadilishiwa Maji kwa muda Fulani wanakufa kwa kukosa hewa. Sasa kwa Dodoma ambapo Maji ni ya shida nikifuga si nitatumia pesa nyingi kuliko mapato?Zipo pia boss,tuwasiliane ili uzione baadhi ya tulizo install