Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

I hear you and respect your views totally
ila Ndugu yangu.... unataka kusema Serikalini ndiko kwenye meritocracy? Teuzi ngapi hufanyika kila siku? Hii ya Nehemia isichukuliwe kama ni out of the ordinary. Tena private sector ndiko mara nyingi huchuja through due process na competition. Rarely hutumia head hunting unless iwe ni purely family business.

Labda turudi kwenye hoja ya msingi, kama serikali ilikuwa inataka kufanya Head Hunting, kwanini iliingia gharama za kuwapa tender E&Y na baadaye ile kampuni ya wazawa?

Hii Head Hunting mara nyingi huwa inaishia kwenye nepotism. Na ukiona umetangaza nafasi ya kazi na ikawa haikuchangamkiwa na waombaji basi hakuna walio na interest yao na hivyo inabidi uanze kuwaomba. Lakini kwa nafasi kubwa za CEOs ukifanya head hunting huwezi kupata mtu mzuri. Competent person anapatikana kwa kushindanishwa na siyo kwa kuombwa apeleke CV kwa kuwa tu watu fulani wanahisi kwamba he/she is capable.

The bottom line ni kwamba teuzi za serikali huwa zina matatizo mengi sana. Ukiona serikali imekuteua apart from merits lazima kuna mahali wanajua watakutumia. Kwa hiyo Nehemia ajiandae kutumiwa na kuingizwa kwenye kashfa. Lakini inaonekana ana uzoefu wa kashfa kwa kuwa watu wamesema kwamba alikuwa mmoja wa CEOs wa commercial banks zilizopitisha hela za EPA. Sasa kama mtu anaweza kupitisha hela za EPA, huyo ndio tunaweza kusema ni mchapa kazi? Au sifa ya uchapa kazi inaangalia nini? Kwanini commercial banks nyingine zilikataa kupitisha hela za EPA?

Kuna more than what we see in this person called Nehemia. Aangalie yasije yakamkuta ya Ballali na Dr. Rashid.
 
Maswali yako yanaweza kuwa genuine lakini kwa majibu ya Chiligati kwa mwandishi wa raia mwema kila kitu kinajionyesha kuwa huu uteuzi haukufuata taratibu bali business as usual. Haya mambo ya kila kitu lazima mtu aende mahakamani ni mwendelezo wa uhuni huo huo. Majaji wanaoteuliwa bila vetting unategemea wawe impartial kweli? Pia utaenda mahakamani kwani wapi imeandikwa kuwa ile kazi ilikuwa haki yako? Tunaoona kuwa kuna zengwe tuna haki kuliko hao walionyimwa kwani NHC inaendeshwa kwa kodi zetu.
Kama UN hawajatoa hizo pesa nadhani wapenyezewe ujumbe kuwa hizo pesa "they are about to throw it to the dogs."

Hili ndilo neno lililo kuu
 
Watanzania;Hata mimi nashangaa, jana Nehemia kasifiwa sana, leo anapondwa hasa. Ili jamvi hili lielimishe bila kupotosha, watu watoe hoja kwa ushahidi. Kwa namna hii ndio tutakomaa katika tafakuri. Mambo ya kuagua tuwaachie wapiga ramli na 'wanajimu', hapa nondo zije na ushahidi. Ishu zenye ushahidi mzito ndizo zimeitangaza JF na kuwa sehemu ya uhakika ya kutafuta habari. Sasa tusizimue kazi iliyokwisha fanyika kwa kuwachanganya watu, naomba kuwakilisha.[/QUOTE]

Mtanzania,si unajua JF ina watu wengi.Wengine walipokua wanashangilia, wengine walienda kutafuta dataz za uteuzi ulikuaje.Data zilipomwagwa JF ndio wakashtuka kumbe walikua wanacheza ngoma wasioijua.Binafsi nilishtuka baada ya kukumbuka Nakala ya Raia mwema ya November 2009 walipotanabaisha Chiligati anacheza faulo.Funzo tafakuri inaitajika kabla ya kuchangia hoja, vinginevyo unatacheza ngoma usiyoijua.
 
I hear you and respect your views totally
ila Ndugu yangu.... unataka kusema Serikalini ndiko kwenye meritocracy? Teuzi ngapi hufanyika kila siku? Hii ya Nehemia isichukuliwe kama ni out of the ordinary.Tena private sector ndiko mara nyingi huchuja through due process na competition.Rarely hutumia head hunting unless iwe ni purely family business.

So what is your point here, that Nehemia is the most qualified position of that post? if not how can we get competent people for that position? furthermore, head hunting is for those who are known in various companies? by your method how can we get new people to fill those positions?

I agree in private sector, but in government I remain to be corrected, haujaangalia watu wapya na wana uwezo, watu walioko kwenye makampuni mengine wana vyeo vya chini still wana uwezo mkubwa tu? If government will follow this method, Then I am worrying is not for the people but for some elite people for sure.
 
Nyani hii NHC inajenga nyumba moja ya maeneo ambayo imejenga ninafahamu ni MBWENI. Tatizo ni kuwa kinyume na kama NHC ilivyowekwa kuwa ijenge na kuuzia watu wenye kipato cha chini. Wanaonunua nyumba za NHC ni wabunge na mawaziri tena zaidi ya nyumba moja. Mtu wa kawaida huwezi pata nyumba za NHC hasa zile zilizomaeneo mazuri. Yaani kuna network wanaambiana kabla hata viwanja havijapimwa na kuweka Order ya nyumba, ukiona msingi unachimbwa jua nyumba ishanunuliwa longtime.

Asante unalijua hilo mkuu! they can talk whatever, NHC siyo kwa watanzania wa hali ya chini, sio manesi, walimu wa secondary na msingi,si polisi etc wenye uwezo wa ku-afford.

Kinachoendelea hapa tukubaliane tu kuwa Tanzania leo hii kuna class ya juu ambao watapata kila kitu na class ya chini, class ya chini sio nchi yao hii! believe me sio yao!
 
nipatie namba yake; ila hata wewe ungempigia kwa vile unafahamiana naye.

Ukweli ni kuwa nilikuwa na mawasiliano naye lakini sidhani kama itakuwa ambo la busara kuweka namba yake hadharani au kuitoa bila idhini yake

hilo la kuwa hakuomba wala hakuitwa kwenye interview aliniambia mwenyewe na si siri.

Tatizo langu kwake ni kuwa ile kazi ni challenging na naamini ataiweza ila ina misuko suko ambayo itabidi awe kichwa ngumu kuiweza kuihimili

imgine jinsi hizi govt agencies zilivyokuwa heavily unionised na na of course considering huu ni mwaka wa uchaguzi then kutakuwa na mengi sana. Lakini mbaya zaidi for a state-owned enterprise kama NHC ambalo lina operate behind a curtain, ni kawaida kwa kwao kuyo reveal any information beyond their general mandate.

Sababu mojawapo kubwa ni kuwa objectives zao haziko clear or conflicting, lakini muhimu zaidi contrary na kule anakotoka huyu mheshimiwa (CBA) ,the lack of transparency kwenye dude kama NHC can also be traced kuleee kwenye political expediency, a desire to avoid comparisons with the private sector, au inexperience with clear, concise corporate communications.

Sasa kama ningekuwa JK ningempa huyu bwana powers to HIRE and FIRE lakini si unajua tena kwetu kila kitu ni politically sensitive!
 
Pamoja na yote hayo na hata kama ni ya kweli. Nehemia ni mzuri kikazi
 
Ukweli ni kuwa nilikuwa na mawasiliano naye lakini sidhani kama itakuwa ambo la busara kuweka namba yake hadharani au kuitoa bila idhini yake

hilo la kuwa hakuomba wala hakuitwa kwenye interview aliniambia mwenyewe na si siri.

Tatizo langu kwake ni kuwa ile kazi ni challenging na naamini ataiweza ila ina misuko suko ambayo itabidi awe kichwa ngumu kuiweza kuihimili

imgine jinsi hizi govt agencies zilivyokuwa heavily unionised na na of course considering huu ni mwaka wa uchaguzi then kutakuwa na mengi sana. Lakini mbaya zaidi for a state-owned enterprise kama NHC ambalo lina operate behind a curtain, ni kawaida kwa kwao kuyo reveal any information beyond their general mandate. Sababu mojawapo kubwa ni kuwa objectives zao haziko clear or conflicting, lakini muhimu zaidi contrary na kule anakotoka huyu mheshimiwa (CBA) ,the lack of transparency kwenye dude kama NHC can also be traced kuleee kwenye political expediency, a desire to avoid comparisons with the private sector, au inexperience with clear, concise corporate communications.

Sasa kama ningekuwa JK ningempa huyu bwana powers to HIRE and FIRE lakini si unajua tena kwetu kila kitu ni politically sensitive!

Kwa kweli hapo nilipo BOLD umenena. GT kuna siku unaamka na POINTS mpaka nataka ni kuvishe u daktari wa falsafa.

Hongera kwa kujadili kiakili
 
Mkuu Kasheshe,

Utaratibu wa kuwapata ma-CEO/DG wa mashirika yaliyo chini ya serikali siku hizi umebadilishwa na kwamba wana-appoint on merit, lakini haiko hivyo.

Huu utaratibu mpya ni wa kuwa-fool WB, IMF na nchi wafadhili kwamba serikali inateua viongozi wa mashirika ya umma wenye sifa zinazotakiwa na wamepatikana kwenye soko la kazi kwa kushindanishwa.

Utaratibu mpya ni kwamba: Serikali inatangaza tender ya recruitment, kwa hiyo akina KPMG, E&Y, na kampuni nyingine za wazawa wanaomba hiyo tender.

Baada ya hapo mshindi wa tender akipatikana, ndipo anapewa terms, conditions na mengineyo.

Hatua inayofuata ni kampuni husika kutangaza tangazo la kazi hiyo na waombaji hutuma maombi yao kwa kampuni hiyo. Then shortlisting inafanyika na watu wanaitwa kwenye interview.

Finally, kampuni hupendekeza majina matatu ya watu walio perform vizuri kwenye mchakato huo. Then majina hayo hupelekwa Ikulu kwa ajili ya appointment. Rais habanwi kwamba lazima achague top, anaweza ku-pick any kati ya hao watatu. Nadhani hapo ndipo kama Usalama wa Taifa huwa wanafanya kazi, wanaweza kufanya vetting kwa hao watu 3 na finally akachaguliwa mmoja kati ya hao.

Tatizo la hii kashfa ni kwamba E&Y ndiyo walipewa jukumu la kuendesha mchakato na walipeleka majina matatu. Then from no where likatoka tangazo jingine la nafasi hiyo hiyo na lilitolewa na kampuni nyingine ya wazawa.

Maswali ya kujiuliza, kwanini mchakato wa E&Y ulifutwa?

Je, ni kweli kijana Nehemia hakuwa mmoja wa waombaji kati ya walio omba E&Y?

Je, ni kweli aliambiwa apeleke CV wakati mchakato unaendeshwa na kampuni ya wazawa?

Kwanini alipeleka hakupeleka mwanzo kama alikuwa na nia ya kuomba hiyo nafasi?

Je, wale watu 3 waliopendekezwa na E&Y wana qualifications ambazo ni za chini ukilinganisha na qualifications za Nehemia?

JF home of the great THIKERS indeed!!!
 
Speaking o NHC, who knows anything about zile flats zinazojengwa nyuma ya dar express Arusha? wanauza?wanapangisha? People in their arusha office dont seem to know anything
 
Wakati mwingine head hunting hufanyika pia... for a good reason na siyo lazima ufisadi...

I have participated in recruitment processes... wakati mwingine kazi inatangazwa.. wanaoomba unakuta ni watu wa viwango vya chini mno... hata ukiwashindanisha wenyewe kwa wenyewe utaishia kupata mtu asiye stahili.In such circumstance u may be forced to resort to head hunting.

Nehemia as I know him is a material for the position.... tunaweza kulaumu na kusema mengi lakini anabakia THE CEO FOR NHC for the time being..tukubali na tumpe nafasi jamani. It could have been you or me..ila haikuwa.
Nakuunga mkono WOS. Kama huu ni ufisadi pia basi ngoja nijipe pole mwenyewe kwa kunywa fanta ya baridi. Mimi binafsi siwezi kuomba kazi serikalini kwasababu hizohizo lakini uteuzi huu, nauunga mkono asilimia 100%. Hata kwenye kampuni binafsi kama watu walioomba hawakidhi mahitaji yao, huwa wanaongezwa watu wanaotafutwa na kuonwa wanafaa katika nafasi hizo ambazo hawakuziomba.Sioni cha ajabu zaidi ya ukweli kwamba safari hii ameingia mtu ambaye hajulikani katika circles za vigogo tuliowazoea. Na hili litawaumiza sana vichwa baadhi ya watu maana pale NHC kuna ulaji wa kufa mtu.
Nehemia, usikate tamaa. Kulimana limana ni kawaida kwa siasa za bongo na Afrika. Na hii thread ni kivuli tu cha utakayoyakuta ndani ya NHC yenyewe maana ujue kule hakuna culture za Standard Chart au global companies ulizowahi kufanyia kazi. Kuna culture za kujuana, majungu na fitna.Jiandae vema kiakili na kimkakati.Mungu akubariki.
 
Labda turudi kwenye hoja ya msingi, kama serikali ilikuwa inataka kufanya Head Hunting, kwanini iliingia gharama za kuwapa tender E&Y na baadaye ile kampuni ya wazawa?

Hii Head Hunting mara nyingi huwa inaishia kwenye nepotism. Na ukiona umetangaza nafasi ya kazi na ikawa haikuchangamkiwa na waombaji basi hakuna walio na interest yao na hivyo inabidi uanze kuwaomba. Lakini kwa nafasi kubwa za CEOs ukifanya head hunting huwezi kupata mtu mzuri. Competent person anapatikana kwa kushindanishwa na siyo kwa kuombwa apeleke CV kwa kuwa tu watu fulani wanahisi kwamba he/she is capable.

The bottom line ni kwamba teuzi za serikali huwa zina matatizo mengi sana. Ukiona serikali imekuteua apart from merits lazima kuna mahali wanajua watakutumia. Kwa hiyo Nehemia ajiandae kutumiwa na kuingizwa kwenye kashfa. Lakini inaonekana ana uzoefu wa kashfa kwa kuwa watu wamesema kwamba alikuwa mmoja wa CEOs wa commercial banks zilizopitisha hela za EPA. Sasa kama mtu anaweza kupitisha hela za EPA, huyo ndio tunaweza kusema ni mchapa kazi? Au sifa ya uchapa kazi inaangalia nini? Kwanini commercial banks nyingine zilikataa kupitisha hela za EPA?

Kuna more than what we see in this person called Nehemia. Aangalie yasije yakamkuta ya Ballali na Dr. Rashid.

Maybe answers anaweza akawa anazo yuleeeeee mwalimu wake Mama Professa Chijoriga ambaye naye ALIFELI pale UD

Kazi kweli kweli nijuavyomimi kuwa Ukiwa UD kama mwalimu UKADFELI then hawana cha hili wala lile wanakuonyesha doors

Maybe haya mambo ya tuhuma za kuhusishwa na EPA yanaweza yakawa yanahusiana na jinsi wanavyofundisha idara ya COMMERCE pale UD?

by the way mbona haonekani kama naye alikuwa hizo pesa za EPA mimi namwona yuko just HUMBE au mambo ya ku keep low profile?
 
Hizi habari zinazoongelewa hapa ni za kweli na nakubaliana kabisa kwamba kwenye hizi ajira za serikali tusiruhusu kina luhanjo wafanye wanavyotaka kama vile ni kampuni zao binafsi. Uzuri ni kwamba hiyo click yao inajulikana na hizo mbinu zilijulikana tangu zamani, na hata media ilizi pick. Naomba tuwe wazi huwezi kumuonea wivu mtu ambae unajua kabisa kapendelewa sana sana huwezi kumuheshimu. of course tunajua wamempeleka pale kwa ajili ya malengo yao ya kula pesa zinazokuja kwenye mambo ya mortgage financing na kugawana nyumba zilizobaki za NHC. Tatizo ni kama tuko helpless maana hatu propose solution ya kupinga huo 'upumbavu'
 
Hata mimi nashangaa, jana Nehemia kasifiwa sana, leo anapondwa hasa. Ili jamvi hili lielimishe bila kupotosha, watu watoe hoja kwa ushahidi. Kwa namna hii ndio tutakomaa katika tafakuri. Mambo ya kuagua tuwaachie wapiga ramli na 'wanajimu', hapa nondo zije na ushahidi. Ishu zenye ushahidi mzito ndizo zimeitangaza JF na kuwa sehemu ya uhakika ya kutafuta habari. Sasa tusizimue kazi iliyokwisha fanyika kwa kuwachanganya watu, naomba kuwakilisha.

Ndio nakwambia kwa hali hii onaona kabisa JK ni genius kulinganisha na sisi ama kwa namna nyingine ni kati ya watanzania best.Sasa hapo unafikiri taifa litasonga mbele.teh teh teh teh
 
mambo nayosoma humu yananiondolea hekima yangu, Naomba Invissible atuwekee mahali ambapo tunaweza kuonyesha hasira zetu pale hekima inapotutoka.

Wamefanya nchi hii kuwa..............................................................................................
.....................................................................................................................................
......................................................................................................................................
............................

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
So what is your point here, that Nehemia is the most qualified position of that post? if not how can we get competent people for that position? furthermore, head hunting is for those who are known in various companies? by your method how can we get new people to fill those positions?

I agree in private sector, but in government I remain to be corrected, haujaangalia watu wapya na wana uwezo, watu walioko kwenye makampuni mengine wana vyeo vya chini still wana uwezo mkubwa tu? If government will follow this method, Then I am worrying is not for the people but for some elite people for sure.
Ndugu yangu..mheshimiwa...
1.Nadhani hapa wengi wetu tuna speculate..nobody knows exactly the wisdom that went into picking Nehemia to be the CEO.....ukisoma my posts all along utaona hakuna niliposema he is the most qualified.Besides nikiangalia positions nyingi ambapo watu huteuliwa huwezi kusema those are the most qualified - kuna mtu anateuliwa unabaki unashangaa hivi kweli hata huyu kawa Director au head wa institution..! lakini mwisho wa siku ni appointing authority ndio inajua why. Pia nafasi hizi ziko chache huwezi kumfurahisha kila mtu.
2.On how to get new people? well i may not have the answer maana ukiangalia trend ya Watanzania kuchangamkia opportunities ( im talking from experience) wengi huona usumbufu kufanya application kwa sababu mbalimbali a. mtu tayari ana kazi/opportunity s/he is comfortable with b. mtu anadhani akiapply anasindikiza wengine kwa vile hatapata...matokeo yake ni wale ambao ama ni jobless au hawana experience ndio huapply! inapokuja shortlisting OMG! unajikuta una watu wenye sifa ama track record hafifu and therefore not fit for the job!
3. last part sikukuelewa maana naona kama kuna contraditions na your earlier allussions.
anyway binafsi sioni kama kwa kumchambua Nehemia au waliompa opportunity kutabatilisha... lets give him a chance to deliver.Akishindwa then hii discussion itakua na mashiko but for now.....sijui.
 
Ukweli ni kuwa nilikuwa na mawasiliano naye lakini sidhani kama itakuwa ambo la busara kuweka namba yake hadharani au kuitoa bila idhini yake

GT he is a public figure, that overrides everything else.

Na kuhusu sheria inayomtaka kufanya hivyo au kutakiwa kufanya hivyo ni sheria gani hii?
 
Back
Top Bottom