Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Kama he is the right guy for the job kwanini hakupatikana kwenye mchakato wa E&Y kama ilivyotakiwa?

Na swali kubwa zaidi ni WHY wameamua kumchomeka yeye hapo?
Unaniambia Ikulu imemweka kwa sababu "he is the right guy"? bado tuna ndoto kuwa Ikulu inaweka maslahi ya Taifa mbele kweli?

Kang,

Mamlaka ya uteuzi ina uhuru wa kupokea na kufuata ushauri unaotolewa Head Hunters, lakini hailazimishwi kisheria kufuata na kutekeleza kila inaloambiwa na "Recruiting Agencies" Descrition ya kufanya hivyo ipo chini ya mamlaka hiyo na kawaida inawajibika hata kumfukuza kazi mtu aliyependekezwa na Head Hunters pale anapoboronga, hautegemei Mamlaka hiyo kuja kuomba Head Hunters imfukuze kazi mtu iliye mpendekeza, wakikuletea candidates ambao unadhani na unaamini kuwa hawatakufaa, unatumia descrition na kuteua mwenyewe. Hi ndivyo inavyofanyika. Je umekwenda Kigamboni kwa kupitia Google Earth uone kazi zilizofanywa na akina Nehemia? kwa Marekani Gated Compounds kama hizo zipo kwenye Middle Class neighbourhood na matajiri. Kwasasa hata Bongo zimeanza kuingia. Tunahitaji mawazo mapya na damu mpya. Kwa hayo Nehemia na watu wa kada yake ni uteuzi sahihi kwa kazi na majukumu mapya aliyopewa.
 
Game Theory
Nimethibitisha kutoka kwenye source ya uwakika,Nehemia aliingizwa kwenye mchakato baada ya deadline kuwa imemalizika. Kwa kifupi huyu jamaa ameteuliwa kama Rais anapoteuwa wakuu wa wilaya au Mkoa.Pamoja na Chiligati kuonywa na media kuhusu kuvugwa kwa mchakato bado alendelea kumkumbatia kijana wake-mwishowe amempa u-CEO kama walivyotaka.Siamini kama Chiligati ana kibuli kiasi icho bila ya kua na baraka kutoka Ikulu.Inawezekana ni kweli ni mchapakazi mzuri, lakini utaratibu haukufuatwa. Hapo ndipo kwenye shida.
 
Nominal money - the amount of money you earn regardless of what the power it has on purchasing. If you earn what you are earning while living in Tanzania where the cost of living is LOW, I can agree. But if earning what you are earning where the cost and standard of living is HIGH probably your "Real income" will be less than his. kwani wewe una-dili zozote za kifisadi huko? kama hawa wa huku?

Did you meant disposable income?
 
Game Theory
Nimethibitisha kutoka kwenye source ya uwakika,Nehemia aliingizwa kwenye mchakato baada ya deadline kuwa imemalizika. Kwa kifupi huyu jamaa ameteuliwa kama Rais anapoteuwa wakuu wa wilaya au Mkoa.Pamoja na Chiligati kuonywa na media kuhusu kuvugwa kwa mchakato bado alendelea kumkumbatia kijana wake-mwishowe amempa u-CEO kama walivyotaka.Siamini kama Chiligati ana kibuli kiasi icho bila ya kua na baraka kutoka Ikulu.Inawezekana ni kweli ni mchapakazi mzuri, lakini utaratibu haukufuatwa. Hapo ndipo kwenye shida.

Ndicho nilichokuwa nikijaribu kumwelewesha Sun Tzu,utaratibu usipofuatwa maswali mengi hufuatia...Pia kama hilo la deadline ni kweli,basi linaweza kuwaletea matatizo ya kisheria hususan kutoka kwa other oferees....Pia kama other offerees walitumiwa barua kuhusiana na kukosa kwao offer hiyo kutoka kwa offerer.
 
Kang,

Mamlaka ya uteuzi ina uhuru wa kupokea na kufuata ushauri unaotolewa Head Hunters, lakini hailazimishwi kisheria kufuata na kutekeleza kila inaloambiwa na "Recruiting Agencies" Descrition ya kufanya hivyo ipo chini ya mamlaka hiyo na kawaida inawajibika hata kumfukuza kazi mtu aliyependekezwa na Head Hunters pale anapoboronga, hautegemei Mamlaka hiyo kuja kuomba Head Hunters imfukuze kazi mtu iliye mpendekeza, wakikuletea candidates ambao unadhani na unaamini kuwa hawatakufaa, unatumia descrition na kuteua mwenyewe. Hi ndivyo inavyofanyika. Je umekwenda Kigamboni kwa kupitia Google Earth uone kazi zilizofanywa na akina Nehemia? kwa Marekani Gated Compounds kama hizo zipo kwenye Middle Class neighbourhood na matajiri. Kwasasa hata Bongo zimeanza kuingia. Tunahitaji mawazo mapya na damu mpya. Kwa hayo Nehemia na watu wa kada yake ni uteuzi sahihi kwa kazi na majukumu mapya aliyopewa.

E&Y haikuwa recruiting agency wala headhunters. Wao waliendesha utaratibu kwa niaba ya Serikali wa watu kuapply na kufanya mchujo wa awali. Sijui sheria inasemaje kuhusu haki ya serikali kupuuza utaratibu huo, lakini wamemchagua huyo jamaa based on what? Gut feeling? Au Ikulu ilifanya mchujo bora zaidi kuliko wa wataalamu wa E&Y?
Point ya kupoteza mamilioni in fees ilikuwa ni nini kama mwishoni wanaweza wakapuuza tu?
The whole idea ya kutumia E&Y ni kuleta transparency kwenye hizi appointments na kuondoa kubebana. Point inabaki kuwa hajaingia kwa haki kwenye hiyo post, kama anafaa ni another issue.

Kigamboni kubwa mzee, labda unipe coordinates za hiyo sehemu, niipate kwenye google.

Kusema ukweli sioni correlation kati ya kuweza kujenga nyumba za resort na kujenga nyumba ambazo watanzania wa kawaida wanaweza kuafford. Obviously kupata investors wa resort si shida kihivyo, kupata investors kwa walalahoi is another issue. Au hizi nyumba ni affordable?
 
wakubwa, tuache kukurupuka, Nehemia is the right guy for the job. Mwingine ambaye angefaa ni Yacoub Kidulla wa NSSF. Lakini Nehemia anafaa zaidi hasa katika zama hizi za NHC kujenga na kuuza nyumba. Nehemia aalikuwa very instrumental katika kuwezesha ujenzi na uuzaji wa nyumba South Beach Resort zilizopo Kigamboni zilizojengwa kwa mkataba na Wachina na Mutual Developers Limited ya Tanzania. Kwa yule anyeona Nehemia kapendelewa kwa ajili ya Ufisadi apande Pantoni (ferry) aende kilometa 15 baada ya kushuka kwenye Ferry akaoni jinsi Mtu kama Nehemia na watu wa aina yake walivyowezesha kama huo kuwepo Tanzania. Kama haupo Bongo ingia kwenye Google Earth. Ukimaliza kuangalia huko rudi hapa Jamvini tujadili kuhusu huu uteuzi.
,
Mkuu hizo project zinajulikana na tunajua wakina nani are involved with them.. Tukianza kumwaga majina ni wakina nani waliuzia wachina viwanja etc etc...Nehemia utazidi kumchafua tuu..ndo tatizo la very few individuals having their hands in every pie. Jamaa is hard working YES...Ni mbeba Mkoba YES INDEED!!
 
. Hi ndivyo inavyofanyika. Je umekwenda Kigamboni kwa kupitia Google Earth uone kazi zilizofanywa na akina Nehemia? kwa Marekani Gated Compounds kama hizo zipo kwenye Middle Class neighbourhood na matajiri. Kwasasa hata Bongo zimeanza kuingia. Tunahitaji mawazo mapya na damu mpya. Kwa hayo Nehemia na watu wa kada yake ni uteuzi sahihi kwa kazi na majukumu mapya aliyopewa.

inaonekana hujasoma thread kuanzia mwanzo, leave head hunting kwenye private sectors not public sectors!, hivi mbona mnapenda kumix kuwa upatikanaji wa wafanyakazi Zain uwe sawa na serikalini? that is public sector!

Whether Nehemia is a right guy or wrong guy hapa haituhusu, swala ni kuwa process (democratic process haikufuatwa) na kwenye public sector wakianza hivi ni hatari, hupo mkuu? acha hadithi za google earth , marekani, kigamboni wapi wapi.. hapa hazipo, don't waste time to talk things like tha,hit to the point. If Nehemia is a right guy is he the best guy? how can you find the best guys in the population of 40 Million?

Can you actually confirm to me that Nehemia is a best and only guy in that position? if not the best how do you get one?? mnataka nchi hii walio kwenye class fulani basi wawe wao na vizazi vyao? hawa wengine nani atawaona au kuwaangalia? mbona wakubwa mnaleta utani na kuwa na double standard kwenye vitu vinavyokinzana na maisha ya 'equal chance-equal opportunity' kwa kila mtanzania

Mwingine unayemfahamu ni Yackoub Kidulla wa NSSF? katika watanzania millioni 40 unawafahamu hawa wawili tu? so nani anafaa TTCL, TRL, Tanesco? nani. Hivi ndugu yangu wengine huwa mnawaza nini wakati mnabonya keyboard zenu? sasa kwa standard yako nani zaidi kati ya Kidulla na Nehemia? na umetumia criteria gani? huoni kuwa unajikaanga mwenyewe? have you forgotten success ya kampuni ni team work? thast why in interview we need one and only one person awe evaluated!!

Ridhiwan Kikwete sio damu mpya?, J. Makamba sio damu mpya? sasa leo hii JK aseme anamweka mtoto wake NHC kwa sababu ni damu mpya inaingia akilini? swala ni uwezo wa mtu whether ni damu mpya au ya zamani ( kama ipo) tukishaweka criteria za uwezo , tunaanza mchakato ambao ni wa wazi, unajulikana , fair, na equal opportunity!

Rudia tena kusoma post zako huone kama zina reflect maisha ya kawaida ya mtanzania, maisha ya wale vijana au raia wanaotafuta kazi usiku na mchana huku wakiwa na uwezo mkubwa kabisa ila wamekosa nafasi, acha kulewa maisha ya kisasa na net pay hizo mkawasahau watanzania jamani, acheni kuleta utani kwenye issue za social classes, post zako hizi zitabaki kukusuta miaka yote ijayo, kuwa katika watu wanaosema social classes ziwepo, walio juu waendelee kuwa juu, walio chini waendelee kuwa chini! wewe humo!aibu hii!

Umezungumzia middle classes? hivi unajua middle class tanzania wanaanzia mshahara gani? hakuna tofauti kubwa ya classes Tz, ila nyie ndio mnataka kuzileta sasa kwa method zenu za vitabuni za kutafuta wafanyakazi kwa head hunting!, NHC should and must be a corporation for all people!

NHC ilipo na inakoenda ni shirika la kitajiri, hiyo middle class unayoisema, manesi, polisi, waalimu hawamo! kwako wewe middle class inaanzia wanaopata net kuanzia laki nane, na ndio wanaoweza kuafford hizo nyumba tena kwa mkopo! Nimejenga nyumba za NHC mbweni (kama mhandisi trainee), I know exactly what I am talking about.

Nehemia ( ambaye hana kosa hapa) ataenda kufullfill nia na mipango ya elite classes, na wale wooote watakaokuwa na uwezo wa kujikomba kwa hao jamaa ili uweze kupata nyumba. NHC mkuu usifananishe na maendeleo ya marekani. NHC should by any how waige South Africa wamefanyaje kwa watu wasio na uwezo kabisa, vijijini na mijini! NHC should not only be in cities/town! otherwise wabadilishe jina na objective!!

Funguka mawazo yawe ya kizalendo zaidi na sio kuzungumza mambo ya vijiweni na kuleta hadithi za watoto wa Msaki na Msasani humu, we need your input, na sio hadithi hizo ambazo huwezi kuzisema popote pale,huwezi ukasema haya mbele ya vijana wanaokaa chini madarasani au wanaohangaika kutafuta ajira kila siku.

Sipandi pantoni kwenda huko, labda uniambe hizo nyumba za Kigamboni nani anaweza kununua? Usiongee kwa confidence buddy, we can even describe hiyo miradi ya Kigamboni kuliko ujuavyo na kukueleza kila kitu in and out , haikuwa kwa manufaa ya umma na haipo. Kama kwako wewe kila kinachong'aa ni dhahabu ni khatari

To me and my stand is sioni ubaya wowote wa Nehemia (Unless tuhuma za EPA akiwa CBA ziwe confirmed) nina dispute process zilizotumika ambazo naona kabisa it is against public interest, it is against human right, it is against democracy, this method is menat for elite people, please leave this to public sectors, head hunting id forbidden in the society that we claim we are equal!

as for NHC should be operated kama South african, for all people kuanzia akina Mengi na maprofessor mpaka Matonya... hii ya sasa ina alarm nyingi sana kuwa linatayarishwa na kama tulivyoliona kwa ajili ya matajiri tu.

Sidhani kama inahitaji debate kubwa , liko wazi kuwa process hazikufuatwa zinavyotakiwa, we have seen the very same kwenye issue ajira nyingine nyingi tu 'nji' hii
 
Mkuu huyo mtu mwenyewe unaebishana nae anajina la kichina ndio maana hata hoja zake ni za kichinachina tu.
 
Mkuu hizo project zinajulikana na tunajua wakina nani are involved with them.. Tukianza kumwaga majina ni wakina nani waliuzia wachina viwanja etc etc...Nehemia utazidi kumchafua tuu..ndo tatizo la very few individuals having their hands in every pie. Jamaa is hard working YES...Ni mbeba Mkoba YES INDEED!!

Ndiyo maana nilimwambia kwa yanayoendelea Kigamboni heri akae kimya, kuna jamaa namfahamu ameambiwa hawezi kujenga eneo fulani Kigamboni, huyu jamaa anafanya kazi voda na anapata net pay ya 1.6mill! anayeweza nani? hatujasema issue za wamarekani na kile kisiwa!
 
Jamani lazima tupate data muhimu na kuona kama ni kweli ila sheria kama wamevunja hap hakuna mjadala kabisa
 
Wabongo bwana... Majungu tuu ndio national sport ni vijiba vta roho.. What a sad state of existence. There is little that can come from over analyzing this issue. On words spoken here can change the situation as it stands, kama procedural steps zimepigwa chini akawekwahuyu jamaa then maybe ata deliver. Asipo deliver then ndio watu wapige kelele kweli kweli.. But now, it is difficult to do anything. Ndio nikweli Luhanjo ni mkabila mzuri tuu. And a bit of bureaucratic cliche.. lakini ni lazima tukubali kuwa he is head of the civil service, cabinet secretary and more powerful than most ministers in his professional and unelected capacity. CS ilitakiwa aweconfirmed na bunge kwa kweli kwasababu his position is constitutional and holds a lot of power.

Muacheni huyu jamaa ahangaike na hili shirika, he is young, he is Tanzanian, something might happen, it might well not but then watu muongee. Hii thread imepata hits kibao utadhani sijui ni nini.. Shirika la Nyumba lenyewe mpaka sasa sijawai ata ona what they have done.. Bado sana, wakaanze vijijini huko kujenga nyumba low cost lakini safe and secure kwaajili ya wananchi...
 
Na wewe unaandika hapa kwa sababu unatuonea wivu tunaomwonea wivu Nehemia? au kuandika kwako hapa kutabadilisha misimamo ya sie baadhi? you are not serious?

Nyani Ngabu alisema jana yeye analipwa fedha nyingi zaidi ya huyo bosi, his statement still stand today, hata wengine hatuna shida na yeye wala mashahara wake wala lolote! we have money hata kizazi cha tatu na cha nne watazila tu! kwako kama kukosoa kitu ndio kijiba cha roho pole sana. unafanya nini humu? are you yes-yes or no-no! unamalizia kusema asipo deliver ndiyo alalamikiwe!! you are not in your senses let me assume this for now, labda ukija tena na senses na kuona ulichoandika mwanzoni ni makosa.

woote wanamkosoa JK, Gavana, akina EL, RA wana vijiba vya roho? why dont you declare that JF is closed?
 
Ukweli utabaki kuwa: Kila uteuzi unaofanywa na serikali ya CCM utazingatia mambo yafuatayo (kuanzia the most important kushuka chini less important)
1. Je mtu huyu ana kadi ya CCM?
2. Je mtu huyu atakisaidia vipi chama pindi tukihitaji pesa za kuimarisha uwepo wetu madarakani
3. Je mtu huyu anaweza kutusikiliza sisi tunayotaka hata kama kwa kufanya hivyo yeye ndiyo ataonekana kituko kwa wananchi (Yupo tayari kubeba msalaba kwa niaba yetu) (e.g Hosea, Late Balali et al)
4. Je hana uhusiano na wapinzani ili asiwachangie kisirisiri kutoka katika mshahara wake mkubwa tutakaompatia?
5. Je ni mtoto wa nani miongoni mwetu sisi wateuzi wake
.
.
.
20. Je ana-qualifications za kuwadanganyia wananchi kuwa mtu huyu anafaa kwa nafasi hiyo?
.
.
.
100. Je ataweka maslahi ya nchi mbele katika maamuzi yake?

Du! ngoja nikachukue kadi ya chama haraka, nadhani sijachelewa. huwezi kujua linaweza likatokea zali, nikakosa, kisa sina kadi
 
Wabongo bwana... Majungu tuu ndio national sport ni vijiba vta roho.. What a sad state of existence. There is little that can come from over analyzing this issue. On words spoken here can change the situation as it stands, kama procedural steps zimepigwa chini akawekwahuyu jamaa then maybe ata deliver. Asipo deliver then ndio watu wapige kelele kweli kweli.. But now, it is difficult to do anything. Ndio nikweli Luhanjo ni mkabila mzuri tuu. And a bit of bureaucratic cliche.. lakini ni lazima tukubali kuwa he is head of the civil service, cabinet secretary and more powerful than most ministers in his professional and unelected capacity. CS ilitakiwa aweconfirmed na bunge kwa kweli kwasababu his position is constitutional and holds a lot of power.

Muacheni huyu jamaa ahangaike na hili shirika, he is young, he is Tanzanian, something might happen, it might well not but then watu muongee. Hii thread imepata hits kibao utadhani sijui ni nini.. Shirika la Nyumba lenyewe mpaka sasa sijawai ata ona what they have done.. Bado sana, wakaanze vijijini huko kujenga nyumba low cost lakini safe and secure kwaajili ya wananchi...

Hivi kuquestion competency ya mtu na utaratibu ulivyofanyika ni kijiba cha roho au haki ya mtanzania ndani ya katiba? Unadhani ile Tanzania ya ndio mzee miaka ile ndio kama ya sasa marais wajao rafiki yangu watapata tabu sana kuiongoza Tanzania (unless watumie ubabe) kwani watu wako makini tunahitaji mabadiliko ya watanzania na sio mabadiliko ya watu wachache wanaoendesha vogue mjini hapa. Wengine wanatembelea mabasi vizee na wagonjwa.

Kaa vizuri ufikirie statement yako mkubwa
 
well huyu jamaa kakubali hii kazi. Mimi nadhani kapewa hii kazi kwa sababu ya kazi aliyoifanya CBA ya revive the mortgage finance. Well ni kazi nzuri aliyofanya akiwa CBA –alikuwa anatoa pesa kama mikopo ili watu wajenge sasa apa atakuwa anomba mikopo kwa niaba ya shirika ili ajenge! Ataweza kusimamia au kutekeleza yale aliyokuwa ana advocate for housing finance? Kwenye NHC mimi ninwasiswasi mkubwa shaouri ya urasimu na mwingliano wa siasa. kama kaikubali anweza kujimaliza maana hili shirika pamoja na ma assets iliyonayo halijawahi kumsaidi mwananchi wa kawaida katika maswala ya nyumba. Apart ya nyumba zilizojengwa in the 60's and 70's shirika hili halijafanya much. Well on the other side of the coin kama atatumia spirit aliyokuwa nayo CBA anaweza kuleta mabadiliko. ila kazi hiyo ni 'ndefu' all I can say I wish him the best. Akifanya vizuri it is my hope wadau wote wa nakazi (housing stakeholders) watampa support ya kutosha maana housing is a human right issue. But kama ni swala la kutumia assets za Shirika kupata pesa ili ku-finance ... kweli atajuta maana ndiyo safari ya kuelekea mwisho wa Career yake.
 
Wabongo bwana... Majungu tuu ndio national sport ni vijiba vta roho.. What a sad state of existence. There is little that can come from over analyzing this issue. On words spoken here can change the situation as it stands, kama procedural steps zimepigwa chini akawekwahuyu jamaa then maybe ata deliver. Asipo deliver then ndio watu wapige kelele kweli kweli.. But now, it is difficult to do anything. Ndio nikweli Luhanjo ni mkabila mzuri tuu. And a bit of bureaucratic cliche.. lakini ni lazima tukubali kuwa he is head of the civil service, cabinet secretary and more powerful than most ministers in his professional and unelected capacity. CS ilitakiwa aweconfirmed na bunge kwa kweli kwasababu his position is constitutional and holds a lot of power.

Muacheni huyu jamaa ahangaike na hili shirika, he is young, he is Tanzanian, something might happen, it might well not but then watu muongee. Hii thread imepata hits kibao utadhani sijui ni nini.. Shirika la Nyumba lenyewe mpaka sasa sijawai ata ona what they have done.. Bado sana, wakaanze vijijini huko kujenga nyumba low cost lakini safe and secure kwaajili ya wananchi...

Vijiba vya roho? Name what u wanna name it. Lakini hili ni taifa letu sote. Kaa tunaeka taratibu tulizokubalina zituongoze , basi tufanye kuzifuata basi ati yakhe ? Ugumu uko wapi ami? Hili ni shirika la taifa mkulu sio family business, hata kwene family business haiezi enda bila discipline na taratibu kufuatwa. Basi kaa mnataka twende kwa staili hiyo basi nchi iuzwe ili kila mtu apewe chake halafu mchomokane kwenye hizo post zenu za ulafi. EBO!
 
Sasa mnataka kujua role ya LUHANJO kwenye ufisadi huu?

................................
waiting.jpg
 
Ama kweli Tanzania ni Jamhuri ya Vyura!

Here is my take on this whole saga!

1. Why do we still have public corporations that are being run by the Government at this time where we are preaching and practicing Free Market economy? Why not privatize all the so Called Mashirika ya Umma so that they can run independent of Politics and Politicians?

2. Why does the President continues to have say in every appointment or his office? If a Corporation has BoD, should the BoD decide on hiring and firing of the DG, MD, GM, CEO? or kwa kuwa in Tanzania DG, MD, GM or CEO is also CoB then it is impossible?

3. What and why there is such high interest put forth on Wizara Mama? If Wizara Mama does not have; credible policies, credicle leadership, credible strategies and modes of operations, how can a Shirika or Taasisi being expected to perfom?

4. If head of Taasisi or Shirika la Umma is Political appointment, why there is such deception of Mchakato wa Usahili and even waste of time and money to create a recruitment process hata kama kuna Sheria as WoS stated? Why waste time and Money and not just make the appointment and live with the consequences of the descicion made?

Now if I turn to Nehemia himself I have the following questions;

1. Why didi he disclose to friends or whomever that he never applied for the job or did not even receive an interview?

2. In a period less than 7 years he worked for 4 different firms, in which 3 of them Citi, Barclays and Standard Chartered are very strong Banks with high reputation. Could he give an explanation on why he was wandering around? If I am a head hunter, those 7 years of Nehemia hopping like grasshopper, should be sufficient red flag!

3. As the CEO of UAB, can he explain why he violated the Money Laundering policies set by BOT and made such reckless descision which facilitated the wizi wa fedha za EPA? if he is Finance wizard as the bio claims, how could he allow his Bank to be a conduit of illicit money? Did he approve the opening and handling of EPA money accounts to make profit so that his Stats could show a track record of growth and profitability while disregarding true principles and regulations of Banking?

4. Can he give a testimony of why he is still a board member of NICOL an institution that has been severely tarnished with high degree of irregularities, dishonesty and it is almost bankrupt?

5. On his association with the UD advisor, what can he tell the mass of their relatioship and the mentoring piece that he received? IS his personality as a Banker shaped through visions and advisory of this mentor who is assumably disgraced?

And lastly to us Jamhuri ya Vyura

1. What on hell do we expect to function to any standards in the current environment Tanzania is in? There was Jubilation of his appointment, eti ni Kijana mwenzetu, zimepanda and all sorts of accolades driven by Getorade adrenaline and sensation of LSD, now we see the other side of the coin and discrepancies, the LSD is wearing off and we are now reactionary!

2. If we are looking for fairness and better things, we need to have an overhaul of everything and nothing spared, no stone unturned! This means change of ideology, change of practice and change of so many things!

Yangu hayo machache kwenu Jamhuri ya Vyura!
 
Back
Top Bottom