Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Kama hili ni kweli wale ambao wanajua kuwa hawakupewa nafasi hiyo walete malalamiko wazi (kama alivyofanya Mbilinyi na Zinduka). Waseme kuwa kuna upendeleo umefanyika na ikibidi wafungue kesi mahakamani kama haki iko upande wao. Haitoshi kutujuza kuwa wamedhulumiwa.

MKJJ hii Tanzania bado sana, naona tutawapa mzigo wa kila anayeonewa aende mahakamani, mahakama zenyewe nazo zimekuwa za kitajiri mno!

wanaofanya uonevu huu wanafanya akijua hakuna wa kulalamika

Mtu akilalamika bado hana wa kumsaidia, yaani unaona mawazo kama ya Chiligati, Makamba, Marmo etc. ni yale yale,hatuna kiongozi, idara au mahakama ambayo una hakika kama umeonewa utasaidiwa

Hiyo tisa unalalamika ukiwa wapi?? uli-apply hiyo kazi ukiwa serikalini, makampuni binafsi, je kulalamika kwako hakutaathiri nafasi yako ya kazi uliyonayo? ukipiga mahesabu unaona kabisa kwa hali ya Tanzania haya mambo bado.

Mr.2 amelalamika baada ya kuvumilia na kuona hana atakachopoteza, lakini alishadhulumiwa na hao hao siku za nyuma, na bado kuna kundi la wanamuziki wengi sana ambao wamedhulumiwa na bado wako kimya, huko mahakamani kwenyewe sio rahisi sana.

Ninamjua profesa Lema(akiwa vice principal) wa COET ambaye ali-apply nafasi ya bosi wa TANROADS. alipigwa chini, angelalamika kuwa kulikuwa na uonevu, yumkini yangemtokea ya Baregu.
 
ya nini kuandia mate wakati wino upo

mpiie simu Nehemia muulize maswali mawili ya msingi

1. Je alioomba hii kazi NHC na lini

2. Je aliiitwa kwenye interview na nani na alifanyiwa hiyo interview na nani?

Akisema aliomba hiyo kazi tarehe 10-2-2010 na kwenye usaili aliitwa tarehe 19-2- 2010 na aliyemfanyia huo usaili ni bwana John Almasi....
 
Nashindwa kuchangia kwa uhuru kwa sababu Nehemia Kyando mchechu ni mshkaji. Na mbali ya hapo najua ni mchapa kazi haswa.

Ila mpaka sasa tuna hoja ya upande mmoja tu, tusubiri upande wa pili wa shillingi
 
Aaaah Fikiraduni vipi wewe...mbona umeadimika?
 
GT anaweza kusema kweli lakini mhhhhh. Si ndiye huyu alileta ile thread ya Membe ikabidi white flag inyooshwe na Invisible mods? Pengine amepata sababu ya kuibuka na hili kwa sababu maumivu yalikuwa makali kwenye kambi yake ya EeeeLlll.

BTW how was the self imposed ban?

Mimi niliomba CV ya Nehemia bado naisubiri waswahili walisema subra huvuta kheri.
 
MUNGU wa Israel.Jamani tjis is too much...Labda utupe details why this happended?kwanini luhanjo alimtaka huyu jamaa?

Kwa sababu kuna hela za deal wanataka kuchukua.

Kuna mpango wa kujenga nyumba, CCM/ Ikulu inataka ku divert hizi hela ziende kwenye mifuko yao wakti wa kampeni.

Huyu bwana wanamuamini anaweza kuwafanyia kazi vizuri kwa sababu wakati mabenki karibu yote yalipokataa kushika pesa za EPA kwa kufuta kanuni za banking zinazokataza "money laundering" huyu mshashi ndiye aliyewaokoa na kuzi launder, kwa hiyo ni mtu wao hawana shaka naye.

Hawataki kumuwka just any qualifid candidate kwa sababu wanahofia kukutana na maskini jeuri mmoja atakayewaumbua vibaya vibaya tu.

At least that is what the accussing party is inferring.
 
Nashindwa kuchangia kwa uhuru kwa sababu Nehemia Kyando mchechu ni mshkaji. Na mbali ya hapo najua ni mchapa kazi haswa.

Ila mpaka sasa tuna hoja ya upande mmoja tu, tusubiri upande wa pili wa shillingi

mimi najuana naye sana lakini nilimwambia kuwa sasa he is exposed na inabidi awe na kichwa ngumu sana ili kusurvive serikalini

anyway maamuzi ndio hayo yashatoka
 
GT anaweza kusema kweli lakini mhhhhh. Si ndiye huyu alileta ile thread ya Membe ikabidi white flag inyooshwe na Invisible mods? Pengine amepata sababu ya kuibuka na hili kwa sababu maumivu yalikuwa makali kwenye kambi yake ya EeeeLlll.

BTW how was the self imposed ban?

Mimi niliomba CV ya Nehemia bado naisubiri waswahili walisema subra huvuta kheri.

kuhusu Membe jiulize kwa nini Mwanaidi Majaar wa London amesubmit barua ya kujiuzulu? au watu wake Membe washakuambia zile pesa alizoenda kuchukua Comoro kwa mngongo wa JK ziko wapi na kwa ajili ya nini?

anyway mindhali thread imeondolewa lest focus on hii ya NHC sidhani kama ni kazi kubwa kujua kama aliomba au la na kama lifanyiwa interview

tatizo ni kuwa kesho utafanywa utaratibu kama huuu je watu watalalamika?
 
Duh....wabongo bana....yaani sasa kila mtu anakuja na kudai humu kuwa anajuana na huyu Neema Mchechu....WTF?

Heck na mimi namjua...nimesoma naye BComm pale UD na tulikuwa roommates pale Hall three
 
Let me be the devil's advocate..

Kuna ushahidi wowote kwamba hakuomba kazi; je akisema kuwa aliomba tunaweza kuthibitisha vinginevyo?

[/SIZE]

NI sawa na swali la hapo juu, je akithibitisha kuwa aliitwa au watu wa usaili kwenda kwake kumsaili.

Katibu Mkuu kiongozi ana jukumu la kuangalia pia appointments za Rais au watendaji ambao wako chini ya Rais kutokana na nafasi zao za kuteuliwa. Katibu Mkuu anayo haki na wajibu wa kufuatailia teuzi mbalimbali na watumishi mbalimbali. Kwanini hilo ni makosa?

Kama hili ni kweli wale ambao wanajua kuwa hawakupewa nafasi hiyo walete malalamiko wazi (kama alivyofanya Mbilinyi na Zinduka). Waseme kuwa kuna upendeleo umefanyika na ikibidi wafungue kesi mahakamani kama haki iko upande wao. Haitoshi kutujuza kuwa wamedhulumiwa.

How much leeway hizo taratibu zinatoa kwa Katibu Mkuu kiongozi?

Maswali yako yanaweza kuwa genuine lakini kwa majibu ya Chiligati kwa mwandishi wa raia mwema kila kitu kinajionyesha kuwa huu uteuzi haukufuata taratibu bali business as usual. Haya mambo ya kila kitu lazima mtu aende mahakamani ni mwendelezo wa uhuni huo huo. Majaji wanaoteuliwa bila vetting unategemea wawe impartial kweli? Pia utaenda mahakamani kwani wapi imeandikwa kuwa ile kazi ilikuwa haki yako? Tunaoona kuwa kuna zengwe tuna haki kuliko hao walionyimwa kwani NHC inaendeshwa kwa kodi zetu.
Kama UN hawajatoa hizo pesa nadhani wapenyezewe ujumbe kuwa hizo pesa "they are about to throw it to the dogs."
 
Kwa sababu kuna hela za deal wanataka kuchukua.

Kuna mpango wa kujenga nyumba, CCM/ Ikulu inataka ku divert hizi hela ziende kwenye mifuko yao wakti wa kampeni.

Huyu bwana wanamuamini anaweza kuwafanyia kazi vizuri kwa sababu wakati mabenki karibu yote yalipokataa kushika pesa za EPA kwa kufuta kanuni za banking zinazokataza "money laundering" huyu mshashi ndiye aliyewaokoa na kuzi launder, kwa hiyo ni mtu wao hawana shaka naye.

Hawataki kumuwka just any qualifid candidate kwa sababu wanahofia kukutana na maskini jeuri mmoja atakayewaumbua vibaya vibaya tu.

At least that is what the accussing party is inferring.

Ebo, yamekuwa haya tena!!!
 
Imagine wewe ni mzazi na unafundisha wanao HONESTY halafu in the real world wanakuja kumbana na mambo haya...no wonder itafika poit kila mtu TZ atakuwa FISADI wengine na ma EPA yao makubwa makubwa wengine na VIJI epa VYAO VIDUCHU VIDUCHU

KAAZI KWELI KWELI
 
kaka pole pole manake naona una jaziba sana weye hata huchagui aina ya risasi katika bunduki yako unataka kutumia hata tnt kuua nzi. wengine hayo magazeti unayoyatukana yalitupa kazi. Shauri ni kujenga hoja.Lakini kama huna dhambi uliyoshiriki kati ya dhambi nyingi unazofanya
 
Mie binafsi nawashangaaaaaa watanzania, jana wamesifia weeeeeeeeeee , leo wanapendaaaaaaaa.
Mie nilikuwa nawacheki tu jinsi misifa inavyomiminika,leo mnaponda teh teh teh teh .Kama ulikuwa humwelewi jamaa sifa za nini? kama humwelewi jamaa unaponda nini?
 
mi ndio maana nikiona matangazo ya kazi magazetini ya serikali sito kaa niombe kazi...ushenzi mtupu

kama mnakumbuka nilileta mada moja kuhusu ufisadi uliotaka kufanywa kwenye nafasi ya director ambayo lilipelekwa jina la mmoja wa director anaengoza kampuni moja ya ndege ya serikali lilipofika watu wakataka atangazwe kabla ya wahuni kumfwata luhanjo na kumwambia atuonyeshe sehemu huuyu jamaa aliomba kazi kama directo,..yeye aliomba kama bod member na mwenyekiti wa bodi ikaonekana vikubwa sana kwakwe wakampirtisha kwenye udirector nashukuru nafasi ile awajatoa majibu mpaka leo kudhirisha upumbavu na unafiki wa ajira serikalini unaofanywa na luhanjo na kampuni zake

dem gov
khaa wajameni mbona lugha zenye zinatuweka kwenye pori refu lisionyesha mwanga wowote ule.Poa hayo magazeti mnayoyashambulia mengine tumepatia kazi hukohuko. Ishu si kwarara kwarara kama mna hoja against huyu jamaa leteni vithibiti ili tumdhibiti.Manake kila mtu anajua anajua anajua anajua mpaka wote tumebaki midomo ngwaaaaaa wala si mwaa he nyie vipi?
 
Ebo, yamekuwa haya tena!!!
Kweli yamekuwa haya manake! hivi kweli eheee? he he he lakini mhhh unapojenga theory za conspiracy za kijinga pia tunaona ujinga uliopo miongoni mwa wajinga wengi katika dunia hii ya watu wanaozibwa na jaziba na kujazwa na gossip japo nyingine huwaga true
 
Nashindwa kuchangia kwa uhuru kwa sababu Nehemia Kyando mchechu ni mshkaji. Na mbali ya hapo najua ni mchapa kazi haswa.

Ila mpaka sasa tuna hoja ya upande mmoja tu, tusubiri upande wa pili wa shillingi

Unafikiri JK alikuwa hamjui Chenge? au unafikiri Chenge hakuwa mchapakazi?

JK alikuwa hamjui Lowassa? AU Lowassa hakuwa mchapakazi?

uchapakazi na uadilifu vinatakiwa viende pamoja, kikikosekana kimoja unapata zero.

mafisadi hawa ni dada zetu, wajomba zetu, baba zetu, mama na akina kaka zetu, marafiki wengine majirani kabisa, classmates. Mafisadi hawatoki mwezini wako kila kona chama chochote kampuni yoyote ile, rangi yoyote kabila , dini na dehehebu lolote lile.

Sema hautasema kitu kwa sababu hauna clue ya hii issue, sisi wote tunajiuliza maswali ya msingi hapa. ukisema unaogopa kwa sababu ni rafiki then what makes you kuwa tofauti na JK? au watawla wengine, RA, EL, Chenge n.k hwajaenda jela kwa sababu ya urafiki, na huu urafiki ndio unaousema hapa!!

fair player be fair please
 
MKJJ hii Tanzania bado sana, naona tutawapa mzigo wa kila anayeonewa aende mahakamani, mahakama zenyewe nazo zimekuwa za kitajiri mno!

wanaofanya uonevu huu wanafanya akijua hakuna wa kulalamika

Waberoya si lazima waende mahakamani lakini watoke hadharani kama alivyofanya Mbilinyi na kunyoshea kidole moja kwa moja na kusema "wame wametudhulumu". Hiyo inaitwa mahakama ya maoni ya watu (the court of public opinion)
 
Huyo uliyemtaja hapo juu atatuletea mambo ya UDINI hivyo vyeo walivyompa jamaa zake vinamtosha!! Moja ya sababu jamaa wanalalamika ni kwasababu walitegemea kuwa atateuliwa mtu wa imani yao kwani sio siri kuwa awamu hii ajenda yake ni kutafuta kwanza watu wa imani ya mkulu ndio wajaze hizo nafasi kama hawapatikani basi ndio wateuliwe wengine; mfano ni kule kwenye uteuzi wa majaji nendeni mkafanye utafiti halafu mje mnisute!!!! G.T . welcome back na pole sana next time if you will be lucky hata hivyo NSSF haiwatoshi?!!

Kazi kweli kweli, Taifa litaangamia kama kila UTEUZI tutaungalia kwa maslahi ya Dini, ina maana mtu akiteuliwa na ni Muislam, basi Mkristo/Wakriso wakihoji ni udini, na vile vile akiteuliwa Mkristo, Muislam/Waislam wakioji ni udini.

Pia ina maana wote wanaohoji huu uteuzi kwa hii "thread" ni Waislam. Tunakoelekea naanza kuiona Lebanon, ni katika kugawana veo.
 
Back
Top Bottom