Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,191
Unfortunately UN have no teeth to bite katika situations kama hizi...kumbuka Tz is a contributor to the UN... UN hata siku moja hawaweki conditionalities na siku zote wao ni trusted partners wa serikali popote walipo! It explains why kwa mfano chaguzi zote husimamiwa na UN maana ni wao tu huaminiwa na serikali.Bilaterals wote kwa mfano hata TZ hupitishia pesa zao za support for elections huko maana serikali inajua kuwa UN haitawachagulia wala kuwawekea vikwazo.
Kukiwa na fundamental issue UN can play mediatimg role tu....na sioni ni vipi issue ya uteuzi wa Mchechu ita escalate to that level.
Mkuu nimekuelewa. Mchango wangu umekuja baada ya kuonekana kwamba huyu jamaa amewekwa pale kwa ajili ya kuichotea pesa CCM wakati wa uchaguzi na mchangiaji mmoja akasema tuwatonye UN wasitoe hiyo pesa waliyoahidi kutoa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba (nafikiri kuna huo mpango wa UNHABITAT) kutoa hela. Kilichopendekezwa hapa sio UN kuingilia suala la uteuzi wa Nehemia bali kutokutoa pesa za ujenzi kwanza mpaka uchaguzi upite!!!
Natumaini nimeeleweka!!!
Tiba