Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki !
"Inasemekana" source ya hii habari yako ni ipi? Kama ni kweli bado hiyo pesa ni ndogo kwa nchi kama Marekani ukijumlisha na jambo waliloenda kufanya. Kumbuka hawajaenda kama wewe mnyonge aka Sukuma gang bali wameenda na Rais kuzindua Royal Tour.
 
Tunamwaga mahela kama matajiri flani hivi halafu muda huo huo tunatembeza bakuli.
 
Kabisa, wajanja watakuwa wameandika 12 million halafu wakapewa 3 million
Tz bhana, eti mpaka leo hatujui ndege tulizinunua kwa kiasi gani. Jiwe kuepuka siri kuvuja shirika akalihamishi chini yake kukwepa uchunguzi kama aliyofanya kwa kivuko kibovu kukiweka chini ya Jeshi kukwepa watu kikuongelea.
 
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Ukiitaja Kwa TZS, hizi fedha za madafu, then TZS 3,000,000 inaonekana ni nyingi, lakini uki convet kwenye US $, hiyo ni ,$ 1,300 ni per diem ya kawaida kabisa Kwa viwango vya kimataifa.

Per Diem ya viwango vya UNDP na WB Kwa jiji la New York ni US ,$ 1,500 per day. Hotel pale Manhattan ni kuanzia US $ 500, hiyo ni B&B. Chakula cha maana ni US $ 100, ujujumlisha professional fee, ukijumlisha costumes, ukijumlisha usafiri ndio usiseme.
Hizo ni pesa za kawaida sana.
P
 
Tz bhana, eti mpaka leo hatujui ndege tulizinunua kwa kiasi gani. Jiwe kuepuka siri kuvuja shirika akalihamishi chini yake kukwepa uchunguzi kama aliyofanya kwa kivuko kibovu kukiweka chini ya Jeshi kukwepa watu kikuongelea.
Hapana acha uzushi na uongo. Kuhusu ndege wanafanya kumchafua. Ila iko siku haya mambo yatakuja kuwarudia
 
Royal Tour hiyo ! Coming to America ! Lazima msafara watu wangae kuanzia nguo, mavazi ya baridi, chakula, malazi ,usafiri na chenji mfukoni.
 
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
ulitaka walipwe kiasi gani ndo iwe sahihi?
 
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki !

Yaani !
Inabidi mimi nikipita karibu na vijiwe vyao , naepuka kabisa kuwatizama ! Maana wanakupa na wewe kazi ya kuwaambia kuwa huendi.
 
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Hilo si kweli. Wanalipwa per diem za serikali nadhani ni kama $450 Kwa siku. Msiwadanye watu
 
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!

eaa2c74c6643af4be501005467b1c964.png
 
Wakale wapi wapiga ngoma wa watu mkuu ? Si ndio kujiajiri huko , mlitaka wawe majambaZi
 
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.

Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.

Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.

NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki !
Hela ndogo sana kama ni pamoja na gharama za hotel. Waache na wao wale maana wameacha shughuli zao majumbani mwao na familia pia zinawategemea.
 
Back
Top Bottom