Mnaopenda Kulaumu Watoto wa Marais Afrika Kujitajirisha mbona hatusikii mkimlaumu Mtoto wa Rais wa Marekani Hunter Biden kwa Ufisadi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,114
Hunter Biden ( Mtoto mkubwa ) wa Rais wa Marekani Joe Biden amepiga Dili ( Kifisadi ) wakati Baba yake akiwa ni Makamu wa Rais wa Rais Barrack Obama lililompatia Fedha ( kinyume cha Utaratibu ) kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni Ishirini.

GENTAMYCINE naomba kujua kutoka kwa Waafrika Wenzangu ambao tumebarikiwa Sifa Kubwa ya Unafiki kwanini Makosa haya yakifanywa na Watoto wa Marais wa Afrika wa Tanzania, Angola, Uganda, Rwanda, Libya, Gabon, Ivory Coast, Cameroon na South Africa huwa tunaibuka tuliko na Kulaumu, ila mpaka sasa sijawasikia mkimlaumu huyu Hunter Biden Mtoto wa Rais wa sasa wa Marekani?

Kila Rais anaiangalia Familia yake.
 
Hunter Biden ana kesi huko na baba yake ni suala la muda atafikishwa mahakamani.

Kwa Afrika hili lisingewezekana kamwe, kwa sababu huku kwetu baba akiwa rais hakuna mamlaka yoyote yakumgusa kutokana na katiba mbovu.
 
Hunter Biden ( Mtoto mkubwa ) wa Rais wa Marekani Joe Biden amepiga Dili ( Kifisadi ) wakati Baba yake akiwa ni Makamu wa Rais wa Rais Barrack Obama lililompatia Fedha ( kinyume cha Utaratibu ) kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni Ishirini.

GENTAMYCINE naomba kujua kutoka kwa Waafrika Wenzangu ambao tumebarikiwa Sifa Kubwa ya Unafiki kwanini Makosa haya yakifanywa na Watoto wa Marais wa Afrika wa Tanzania, Angola, Uganda, Rwanda, Libya, Gabon, Ivory Coast, Cameroon na South Africa huwa tunaibuka tuliko na Kulaumu, ila mpaka sasa sijawasikia mkimlaumu huyu Hunter Biden Mtoto wa Rais wa sasa wa Marekani?

Kila Rais anaiangalia Familia yake.
Una umri gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Marekani na afrika wapi na wapi? Marekani ni matajiri tofauti na afrika. Afrika kuna umasikini mwingi kiasi cha mtoto wa rais akifisadi ataonekana na kushutumiwa vikali.
 
Hunter Biden ( Mtoto mkubwa ) wa Rais wa Marekani Joe Biden amepiga Dili ( Kifisadi ) wakati Baba yake akiwa ni Makamu wa Rais wa Rais Barrack Obama lililompatia Fedha ( kinyume cha Utaratibu ) kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni Ishirini.

GENTAMYCINE naomba kujua kutoka kwa Waafrika Wenzangu ambao tumebarikiwa Sifa Kubwa ya Unafiki kwanini Makosa haya yakifanywa na Watoto wa Marais wa Afrika wa Tanzania, Angola, Uganda, Rwanda, Libya, Gabon, Ivory Coast, Cameroon na South Africa huwa tunaibuka tuliko na Kulaumu, ila mpaka sasa sijawasikia mkimlaumu huyu Hunter Biden Mtoto wa Rais wa sasa wa Marekani?

Kila Rais anaiangalia Familia yake.
We nawe ni kilaza kweli kweli
,Keki, ya USA, ni kubwa, hata, wanasiasa, wakiiba, haileti madhara, kwa, wananchi, hapa kwetu hata kujilisha hauwezi, mapato hayatoshi,harafu kuna kenge wanaiba,
Familia ya Biden, inapiga maokoto nje, inaleta nyumbani USA! Kunufaisha wananchi,
Haya SEMA Kikwetes wamefanya nini chalinze, pingo,msoga,? Wananchi wananuka ufukara tu
 
Hunter Biden ( Mtoto mkubwa ) wa Rais wa Marekani Joe Biden amepiga Dili ( Kifisadi ) wakati Baba yake akiwa ni Makamu wa Rais wa Rais Barrack Obama lililompatia Fedha ( kinyume cha Utaratibu ) kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni Ishirini.

GENTAMYCINE naomba kujua kutoka kwa Waafrika Wenzangu ambao tumebarikiwa Sifa Kubwa ya Unafiki kwanini Makosa haya yakifanywa na Watoto wa Marais wa Afrika wa Tanzania, Angola, Uganda, Rwanda, Libya, Gabon, Ivory Coast, Cameroon na South Africa huwa tunaibuka tuliko na Kulaumu, ila mpaka sasa sijawasikia mkimlaumu huyu Hunter Biden Mtoto wa Rais wa sasa wa Marekani?

Kila Rais anaiangalia Familia yake.
Marekani haiko Africa
 
Kwani lini uliona haya matoto majizi ya maraisi hapa kwetu yakishtakiwa?
Tena kwa upumbavu na uzuzu wa wanzetu wasio na akili wanawasifia!
 
Back
Top Bottom