Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Mimi natafuta mtu aniloge.

Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.

Zawadi nono itatolewa.
Mkuu kuna mtu anasema weka majina yako halisi matatu
bila kusahau na jina la mama yako mzazi aanze kazi.
 
Mleta mada nimekuelea unazungumzia "UKIMWI" na sio HIV!
 
Salini na kuomba kwake Mungu baba na mkiamini kwa mwanae mpendwa Yesu Kristo hakika hayo majini sijui maruhani kamwe kwenu hayatasogea.
 
What is ur consideration
What do you mean what is my consideration?

This witchcraft business is empty psychology that profits from rampant ignorance.

I have offered $10,000 to anyone who will bewitch me so bad that all my ten fingers will be incapacitated to type a word here at JF, in the space of 7 days from today June 8 2018.
 
Mkuu kuna mtu anasema weka majina yako halisi matatu
bila kusahau na jina la mama yako mzazi aanze kazi.

Kwani uchawi wake hauwezi kujua majina yangu?

Whats next, utaniambia ninywe sumu ya panya nife kama sehemu ya uo uchawi?

Huo utakuwa uchawi au chemistry na biology sasa?
 
Sisi ndo tumekuloga ujidanganye hivyoo...
Sasa kwanini una bisha?
Test ya kuniloga ni kuniloga nilivyoamua mimi, vidole vipate ugonjwa nisiweze kuja hapa JF.

Ndani ya siku saba kuanzia leo.

Sio umeona nimevaa Jeans leo, halafu unakimbilia kusema umeniloga nivae jeans.

Hapo utakuwa unachekesha baraza tu.
 
Kwani uchawi wake hauwezi kujua majina yangu?

Whats next, utaniambia ninywe sumu ya panya nife kama sehemu ya uo uchawi?

Huo utakuwa uchawi au chemistry na biology sasa?
Masharti ya uo uchawi ni kuweka majina matatu, hivyo ndivyo vitendea kazi.
Lazima utaje mwenyewe, hata kama mganga anajua majina yako
 
Test ya kuniloga ni kuniloga nilivyoamua mimi, vidole vipate ugonjwa nisiweze kuja hapa JF.

Ndani ya siku saba kuanzia leo.

Sio umeona nimevaa Jeans leo, halafu unakimbilia kusema umeniloga nivae jeans.

Hapo utakuwa unachekesha baraza tu.

Hahaaaaa wenzio watakuja na kisingizio kwamba wachawi huwa hawapangiwi!

Anywho, later this summer/ early autumn naenda Gamboshi na nitafanya ka-mini documentary humu ‘Mubashara kutoka Gamboshi’. Nita document hali na mazingira ya kawaida kabisa kuhusu hicho kijiji.
 
Ukiihitaji translator kwa banamhala na bakiikolo, bafumu noo basumba batale, nipe kazi hiyo, hahaaaaa.
 
Test ya kuniloga ni kuniloga nilivyoamua mimi, vidole vipate ugonjwa nisiweze kuja hapa JF.

Ndani ya siku saba kuanzia leo.

Sio umeona nimevaa Jeans leo, halafu unakimbilia kusema umeniloga nivae jeans.

Hapo utakuwa unachekesha baraza tu.
Mashart ya uchawi hayapo kama inavyo amua wewe, kwasababu nguvu za kuloga zinatofautiana
 
Back
Top Bottom