Pengine ukiongea na mtu kuhusu nguvu za uchawi, atakujibu kwa mkato, "Siamini mambo hayo".
Lakini ukweli ni kwamba nguvu za uchawi zipo na zinafanya kazi na pia zinapoelekezwa kwako ni lazima zitakudhuru kama huna NGUVU ya kuzizidi ambayo ni NGUVU za KIROHO.
Kwa mujibu ya mada hii, uko ulozi wa kushambulia na kudhoofisha afya na kinga ya mwili wako ambao usiposhughulikiwa ni lazima ukupeleke kaburini.
Ulozi huu pamoja na mambo mengine hutumia kwa kulogewa aina tatu za majini ambayo ni, Jini Muba (linaloshughulika na maradhi ya kuambukiza), Jini Balishebe (linaloshughulikia magonjwa yasiyopona) na Jini Aherumi (linaloleta homa za mara kwa mara).
Ukiologewa majini hayo na Jina lako kuwekwa katika sanda na kufukiwa makaburini, kinachofuata na ni mwili kudhoofika, magonjwa ya mara kwa mara na hatimaye kifo kama hujachukua hatua haraka.
Kwa wale wenye dalili za maradhi mazito na yasiyoeleweka, ni vizuri MNAPOSALI na/au KUOMBEWA, muyakembee majini hayo tena kwa majina yao.
Elimu ni Bahari.