Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Hapana, hatuendi hivyo.

1. Inawezekana ulozi upo, sijakutana nao tu
2. Inawezekana haupo, watu wanaamini uzushi tu

Kama upo, sijakutana nao tu:-

1.Inawezekana ukawepo, na nisikutane nao mpaka nife. Hili halitanithibitishia kwamba upo.
2. Inawezekana nikatoa donge nono, nikalogwa, vile vile nilivyosema, nikapata mapele vidole vyote kumi, kesho, nikashindwa ku type JF kama nilivyosema, nikajua ulozi upo.

Kama wanaamini vuzushi tu, ulozi haupo,s iwezi kulogeka.

Hapo, njia pekee ya kuthibitisha upo ni mimi kulogwa na kulogeka. Nikiwa sijalogeka nakuwa sina uthibitisho kwamba ulozi upo.

Ili tuwe na conclusive results, inabidi mimi nilogwe nilivyosema.

Nikiwa sijalogwa, nitajuaje kwamba ulozi upo?
Kwa hiyo mpaka ulogwe ndiyo uamini kwamba uchawi upo?
Ni sawa na kusema "ajali za barabarani hazipo, simply kwa kuwa sijawahai pata ajali. Labda siku nikipata ajali ndipo nitabainisha ni ajali ama la".
Ndg yangu mambo mengine usiombee yakukute, we endelea kuishi ktk maisha ya kumpendeza Mungu.
 
Back
Top Bottom