Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Mimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
I see!
Wewe kiboko Kiranga!
Umenifanya nikacheka kama zuzu.
Mimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
Nadhan umepata jibu mkuuMimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
AiseeHapana, hatuendi hivyo.
1. Inawezekana ulozi upo, sijakutana nao tu
2. Inawezekana haupo, watu wanaamini uzushi tu
Kama upo, sijakutana nao tu:-
1.Inawezekana ukawepo, na nisikutane nao mpaka nife. Hili halitanithibitishia kwamba upo.
2. Inawezekana nikatoa donge nono, nikalogwa, vile vile nilivyosema, nikapata mapele vidole vyote kumi, kesho, nikashindwa ku type JF kama nilivyosema, nikajua ulozi upo.
Kama wanaamini vuzushi tu, ulozi haupo,s iwezi kulogeka.
Hapo, njia pekee ya kuthibitisha upo ni mimi kulogwa na kulogeka. Nikiwa sijalogeka nakuwa sina uthibitisho kwamba ulozi upo.
Ili tuwe na conclusive results, inabidi mimi nilogwe nilivyosema.
Nikiwa sijalogwa, nitajuaje kwamba ulozi upo?
Tumeshitukia janja yako. Wakuroge ili ushindwe kuandika utumbo iliwatu wasiojulikana wasikufuatilie? au wakuroge ili ushindwe kuandika madudu ili mods wasikupige BAN.Mimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
Zinaa hatuwezi kuacha, ila watu wawe makini wawebna wapenzi waaminifu na elimu ya matumizi ya kondomu ikazaniwe.Kama nia ni kumsafisha Sam unakosea Mkuu,
Ukimwi na kulogw ni tofauti, ifike mahali tuambizaane ukweli ili watu waache zinaa ambayo ndio kiambukizi kikuu cha Ukimwi.
$10,000. USD.Weka dau uamke huna vidole
Subiri hapohapo mda si mrefu nakutupia zongo utaleta mrejesho jamviniHapana, hatuendi hivyo.
1. Inawezekana ulozi upo, sijakutana nao tu
2. Inawezekana haupo, watu wanaamini uzushi tu
Kama upo, sijakutana nao tu:-
1.Inawezekana ukawepo, na nisikutane nao mpaka nife. Hili halitanithibitishia kwamba upo.
2. Inawezekana nikatoa donge nono, nikalogwa, vile vile nilivyosema, nikapata mapele vidole vyote kumi, kesho, nikashindwa ku type JF kama nilivyosema, nikajua ulozi upo.
Kama wanaamini vuzushi tu, ulozi haupo,s iwezi kulogeka.
Hapo, njia pekee ya kuthibitisha upo ni mimi kulogwa na kulogeka. Nikiwa sijalogeka nakuwa sina uthibitisho kwamba ulozi upo.
Ili tuwe na conclusive results, inabidi mimi nilogwe nilivyosema.
Nikiwa sijalogwa, nitajuaje kwamba ulozi upo?
Muda si mrefu ni sekunde ngapi?Subiri hapohapo mda si mrefu nakutupia zongo utaleta mrejesho jamvini
Hapana, hatuendi hivyo.
1. Inawezekana ulozi upo, sijakutana nao tu
2. Inawezekana haupo, watu wanaamini uzushi tu
Kama upo, sijakutana nao tu:-
1.Inawezekana ukawepo, na nisikutane nao mpaka nife. Hili halitanithibitishia kwamba upo.
2. Inawezekana nikatoa donge nono, nikalogwa, vile vile nilivyosema, nikapata mapele vidole vyote kumi, kesho, nikashindwa ku type JF kama nilivyosema, nikajua ulozi upo.
Kama wanaamini vuzushi tu, ulozi haupo,s iwezi kulogeka.
Hapo, njia pekee ya kuthibitisha upo ni mimi kulogwa na kulogeka. Nikiwa sijalogeka nakuwa sina uthibitisho kwamba ulozi upo.
Ili tuwe na conclusive results, inabidi mimi nilogwe nilivyosema.
Nikiwa sijalogwa, nitajuaje kwamba ulozi upo?
Waapi.Vipi, umeshalogwa vidole?
UKIMWI unathibitishwa medically, empirically, sihitaji kuumwa.Ndiyo maana ukaambiwa hauwezi kusema hakuna ukimwi kisa haujaugua ukimwi,sasa wewe unasema tu "niroge" bila hata kuelewa huo uchawi ukoje na ni kama vile humu JF kumejaa wachawi wanaosubiri kuroga tu.
Kwahiyo njia ya kusema tu mtu akuroge ili kuthibitisha uchawi upo sio njia sahihi na hasa ukizingatia hakuna anayekujua humu kwa maana ya kukujua.
Nimeona siku moja labda haitoshi.Ha ha ha Nyani Ngabu aliweka thread kabisa hapa JF anaeweza amloge!
Kama mimi hewa kabisa, hilo pia linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Nakujua wewe,mpk mung unamkana Yani we jamaaa hewa kabisa
Mimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
Kucheka dawa mkuu.I see!
Wewe kiboko Kiranga!
Umenifanya nikacheka kama zuzu.
Wanacheza hawa.Nadhan umepata jibu mkuu
Speak for yourself.Tumeshitukia janja yako. Wakuroge ili ushindwe kuandika utumbo iliwatu wasiojulikana wasikufuatilie? au wakuroge ili ushindwe kuandika madudu ili mods wasikupige BAN.
Hawakurogi ili yakukute.
Unaona sasa unapokosea?UKIMWI unathibitishwa medically, empirically, sihitaji kuumwa.
Uchawi unathibitishwaje?
Ndiyo maana nataka mtu aniroge, nipate vipele kwenye vidole vyote 10, nishindwe kuja JF.
Nimetoa siku saba kama Mrema, na kidau cha US $ 10,000 kwa yeyote atakayeweza kuniloga.
Changamkia tenda kama utaweza.
Kurogwa kuna kanuni zake bro, hivyo hakuna mtu humu anayeweza kukuroga au kumroga yeyote humu otherwise awe anamjua hasa kwa majina yake halisi na ya wazazi wake ,uchawi Upo toka enzi ila mwenye nguvu ya Mungu harogeki, ila wewe hawakurogi kutokana na jinsi ulivyo, ( [emoji16]asa watakufanyia kazi gani wewe mbishi ivi(joke[emoji3])Wanacheza hawa.