Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Yupo yule sijui mshana jr hua anawapata sana humu wale wavivu wa kufikiri na story zake za kichawi!
Watu wengi wanapenda uongo mzuri wa kusema watu wanaweza kuwa na supernatural powers, kuliko ukweli mchungu kwamba hizo ni hadithi tu.

Ni kama watoto wadogo wanavyopenda hadithi za princess ziwatokee wao kwenye maisha yao, wakati wanajua wazi kwao majalala.

Tena bora hata hao watoto, wanaweza kupata bahati ya mtende,huouchawi ni muhali zaidi.
 
UKIMWI unathibitishwa medically, empirically, sihitaji kuumwa.

Uchawi unathibitishwaje?

Ndiyo maana nataka mtu aniroge, nipate vipele kwenye vidole vyote 10, nishindwe kuja JF.

Nimetoa siku saba kama Mrema, na kidau cha US $ 10,000 kwa yeyote atakayeweza kuniloga.

Changamkia tenda kama utaweza.
Mkuu hapo kwenye red wakikujibu niite pls!
 
Inategemea kama unaongea Kimvita, Kimrima,Kiunguja, Kipemba, Kihadimu, Kipate, Kimgao, Kingozi, Kiamu, Kibarawa, Kingwana, Kijomvu, Kivumba, Kingome, Kikomoro, Kingazija, Kimwani na kadhalika.

Zote hizo ni lahaja za Kiswahili, wengine wanasema "kuloga", wengine wanasema"kuroga", vyote vinakubalika.

Ila kalamu na karamu ni maneno mawili tofauti yenye maana tofauti.

Kiswahili.

Sawa sawa mwalimu wangu.
 
Speak for yourself.

Your passive-aggressive dilly-dallying is a slippery slope of phoney baloney and hocus pocus of pitter patter that is chit chat for the hoi polloi, your arguments, mutatis mutandis, cannot tie the shoelaces of mine.
Khaaa!!
 
Mkuu hapo kwenye red wakikujibu niite pls!
Nimewapasiku saba kama Mrema, na kidau cha $10,000 juu, waniloge kama wataweza.

Nipate mapele kwenye vidole vyote kumi, nishindwe kuja JF. Ndani ya siku saba kutoka leo.

Wanagwayagwaya kutafuta "exit strategy".

Kuna jamaa mmoja nilikuwa nafanya naye kazi zamani Dar.

Ananiambia, ukiwa unatatua tatizo technical kwenye computer systems, likikushinda, kamwe usifanye ionekane kwamba tatizo limekushinda mbele ya mteja, siku zote uwe na "exit strategy", umeishiwa vifaa, umeishiwa muda, unahitajihikiau kile, always uwe na sababu ya kukutoa bila kutatua tatizo, upate muda wa kujipanga zaidi, kamwe usiseme tatizo limekushinda.

Sasa,naona na hawa nao wameshindwa kuniloga, wanatafuta "exit strategy".
 
Twaib! Maelezo murua kabisa hayo.

Ni kama ‘spitali’ na ‘hospitali’ au ‘benki’ na ‘banki’ au ‘shemegi’ na ‘shemeji’.

Kuna mke wa mtoto wa baba yangu mdogo kila tukikutana ananisalimia ‘habari shemegi’.

Yeye ni mtu wa Tanga.
Tanga nimeishi, kuanzia handeni, lushoto, muheza, kwamsisi, mpk mombo.
Shemegi nimelisikia hapa kwako.
Huyo ana matege ya mdomo
 
Speak for yourself.

Your passive-aggressive dilly-dallying is a slippery slope of phoney baloney and hocus pocus of pitter patter that is chit chat for the hoi polloi, your arguments, mutatis mutandis, cannot tie the shoelaces of mine.
Ok[emoji3]
 
Et mtu anasema anataka kurogwa ili athibitishe kama uchawi upo,ila ajabu hataki kutoa ushirikiano ili kufanikisha hilo.

Sasa huyu kweli anataka kurogwa au anaimba tu wimbo wa Vannesa Mdee.

 
Huyo Gamboshi kwao, amekwenda huko kabla ya kumjua Mshana, leo unataka Mshana ampe hirizi mtu kwenda kwao?

Jamaa anachekesha! Gamboshi ni kilomita chache tu toka Ikungulyabashashi. Nishafikako kabla hata sijajua kuna mwanachama wa JF anaitwa Mshana Jr.

Huko Gamboshi nina hadi wanandugu waliozaliwa huko na wanaoishi huko.

Huenda labda nina kinga ya kiukoo hahahaaaa.
 
$10,000. USD.

Jana nimeweka challenge, leo nimeamka na vidole.

Naongeza muda kutoka siku moja mpaka wiki moja, mpaka tarehe 15 June, labda mtu anaweza kudai siku za mwenda kumtafuta fundi.

Haya sasa $10,000 za bure kwa atakayeweza kuniloga nisije JF kwa kuwa vidole vyote kumi vimepata upele wa ajabu kwa kulogwa.
Yaani Mimi niliyepo Lindi nikuroge we uliepo mwanza sijui arusha wapi ....hiko kitu hakiwezekani na hakitatokea ....hata hao wanaorogana wanaonana now days....kias mtu anajua unakanyaga wapi....unapigia wapi mswaki .....ukikaa matako unakalia wapi......sio mtu hakujui akuloge haiwezekani
 
Hivi wachawi bado wana nguvu huko mtaani kwenu? Pamoja na kuvuliwa nguo na mambo yao chungu mbovu kuwekwa hadharani bado hawajakoma tu hah hah hah
 
Yaani Mimi niliyepo Lindi nikuroge we uliepo mwanza sijui arusha wapi ....hiko kitu hakiwezekani na hakitatokea ....hata hao wanaorogana wanaonana now days....kias mtu anajua unakanyaga wapi....unapigia wapi mswaki .....ukikaa matako unakalia wapi......sio mtu hakujui akuloge haiwezekani
Basi huko si kurogana.

Mtu anakwambia mtafute anachokula, muwekee masizi haya ya mti huu, akila anakufa.

Sasa hapo utajuaje kwamba anakufa kwa uchawi au Chemistry?

Mi nilifikiri kuna mtambo wa kuroga mtu, mtu anaweza kuchukua maandishi yangu ya JF akayafukiza tu na maneno fulani, nikapata vipele vidole vyote kumi nishindwe kuja JF hapa?
 
Tunapenda sana fantasies.
Wewe jamaa huwa ni bwege sana,una u much know wa kishamba sana,unadai hakuna Mungu,wamarekani ambao ni taifa namba moja Duniani,ktk pesa yao ya $ wameandika "IN GOD WE TRUST" unadhani ni Mungu yupi waliyemwandika? wewe na ki Elimu chako cha kuokoteza huwezi kuwazidi akili na upeo senators waliopitisha sheria ya dola kuandikwa jina la Mungu,unakera sana,you better should have maintained neutrality than exposing the severity of your stupidity.
 
Ile ni ngwengwe OG wasani ni wetu wa kuchapachapa sana Bila kujilinda,wakiletewa wao wanachomeka tu

Ova
Na walivyotifuana ovyo na kuchangia kavukavu, waanze kuandaa kizazi kingine cha bongofleva/
 
Wewe jamaa huwa ni bwege sana,una u much know wa kishamba sana,unadai hakuna Mungu,wamarekani ambao ni taifa namba moja Duniani,ktk pesa yao ya $ wameandika "IN GOD WE TRUST" unadhani ni Mungu yupi waliyemwandika? wewe na ki Elimu chako cha kuokoteza huwezi kuwazidi akili na upeo senators waliopitisha sheria ya dola kuandikwa jina la Mungu,unakera sana,you better should have maintained neutrality than exposing the severity of your stupidity.
Mfano wako wa hela ya Mmarekani ni mzuri sana.

Mimi mwenyewe Mmarekani.

Sasa unaongelea Wamarekani gani hao?

Hiyo hela yenyewe iliyoandikwa "In God We Trust" ni uongo mwingine.

Ni uongo kwamba karatasi hii ina thamani ya vyakula hivi. Bidhaa hizi. Huduma hizi etc.

Hiyo ninkaratasi tu. Thamani hiyo ni ya uongo tumeamua kuipa wenyewe Wamarekani.

Dr. Yuval Noah Harari anauita uongo huu "manufactured reality".

Sasa utashangaa vipi uongo wa hela, kitu ambacho thamani yake inategemea trust ya watu tu, utuambie habari za Mungu kuwepo bila uongo.

Unaelewa tofauti ya "In God We Trust" na "God Exists"?

Sijakataa watu wanaamini Mungu yupo.

Lakini, Mungu yupo?

Ukiamini noti ya dollar 100 ina thamani ya dollar 100, ukaenda msituni Papua New Guinea huko watu wanafanya barter trade, utawaelezaje hiyo noti ina thamani sawa na nadafu 200? Wakati wao wanaiona karatasi tu?
 
pamoja na ubish wangu wa kuamin kama uchawi upo niliokuaga nao kama wengne ila uliisha maana hii mimi nishaona
Ngoja nikuonyeshe kuwa uchawi upon king show ukiamka njooo useme kwenye comment kuwa umeamka
 
Back
Top Bottom