Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Hapa ndio napata shida na huu uchawi wetu, ndio maana Mobutu aliwakusanya woote kwenye kombe la dunia wakaroge Congo itoboe mwisho wa siku wakapigwa goli tisa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaona sasa unapokosea?

Kwanini uje moja kwa moja tu JF na kusema urogwe bila hata kuelewa huo uchawi? ndiyo sawa na mtu anayesema hakuna ukimwi kisa hajaugua huo ukimwi.

Haileti maana kwamba kila mwenye kutaka kuthibitisha uchawi upo basi hadi adhuriwe na uchawi,uchawi sio kudhuru tu bali unaweza kutumika uchawi kwa kudhuru pia.
Hujaweza kuthibitisha kwamba uchawi upo.
 
Kurogwa kuna kanuni zake bro, hivyo hakuna mtu humu anayeweza kukuroga au kumroga yeyote humu otherwise awe anamjua hasa kwa majina yake halisi na ya wazazi wake ,uchawi Upo toka enzi ila mwenye nguvu ya Mungu harogeki, ila wewe hawakurogi kutokana na jinsi ulivyo, ( [emoji16]asa watakufanyia kazi gani wewe mbishi ivi(joke[emoji3])
Hiyo habari nzima ya "kurogwa kuna kanuni zake" ni janja ya watu.

Wanakwambia tafuta jasho la kuku na ushuzi wa jongoo, changanya halafu nyunyiza chini ya kitanda cha unayetaka kumloga.

Halafu unayetaka kuniloga mimi, hujui hata ninapokaa.

Ukishindwa wanakwambia umeshindwa kutimiza masharti, na consultation fee washakula.

Kinachoenda kwa fundi hakirudi.
 
Huu uchawi wetu bhana, si wamroge tu hata yule mkurugenzi wa ACACIA aliyetuibia mabilioni ili arudishe Noah zetu?
We unazani hiyo migodi ilianza bila tambiko nimefanya kazi na wazungu was ulaya, USA na Canada, Australia, wahindi na wachina wanafanya sana masuala ya matambiko na wao wanakwambia huwezi anzisha kiwanda au mgodi bila kutoa damu, inaweza kuwa ya kondoo binadamu nk. Tusikalili katika dini tulizoletewa kama mliangalia Tamhilia za ITV zamani mtakumbuka namna uchawi ulivyokuwa unatawala na hao ni wazungu, sasa jidanganyeni, hao wanasiasa wetu siku za wkend wanaenda kusali hafu wanakimbilia kwa waganga watu ambao wanapesa
 
Pengine ukiongea na mtu kuhusu nguvu za uchawi, atakujibu kwa mkato, "Siamini mambo hayo".
Lakini ukweli ni kwamba nguvu za uchawi zipo na zinafanya kazi na pia zinapoelekezwa kwako ni lazima zitakudhuru kama huna NGUVU ya kuzizidi ambayo ni NGUVU za KIROHO.

Kwa mujibu ya mada hii, uko ulozi wa kushambulia na kudhoofisha afya na kinga ya mwili wako ambao usiposhughulikiwa ni lazima ukupeleke kaburini.

Ulozi huu pamoja na mambo mengine hutumia kwa kulogewa aina tatu za majini ambayo ni, Jini Muba (linaloshughulika na maradhi ya kuambukiza), Jini Balishebe (linaloshughulikia magonjwa yasiyopona) na Jini Aherumi (linaloleta homa za mara kwa mara).

Ukiologewa majini hayo na Jina lako kuwekwa katika sanda na kufukiwa makaburini, kinachofuata na ni mwili kudhoofika, magonjwa ya mara kwa mara na hatimaye kifo kama hujachukua hatua haraka.

Kwa wale wenye dalili za maradhi mazito na yasiyoeleweka, ni vizuri MNAPOSALI na/au KUOMBEWA, muyakembee majini hayo tena kwa majina yao.

Elimu ni Bahari.
Ukimwi wa kuloga nimeona kwa macho mtu kazika ngamia kaburini wazima ili watu wafe kwa ukimwi na wamekufa kweli siri ikavuja baada ya mmoja kunusurika kwenye maombi akiwa na ukimwi wa kuroga tayari mchungaji katunzi eagt city center mbagala alimuombea mpaka akapona kabisa ila alipoteza ndugu wengibkabisa ni maombi tu kwa Jina laYesu unapona,hakuna malipo ni imani yako Tu.
 
Kiranga hujaona mtu kalogwa?au hujui kuwa kuna watu wanalogana? Mimi siyo mshabiki lakini katika mazingira niliyoishi nimeyaona ktk familia, ndugu na majirani. Nguvu za giza zipo lakini haziwezi kushindana na nguvu za nuru.
Wakati mwingine watu wanapata magonjwa yanayoambatana na hofu na kuamini kwamba amerogwa
 
Kama mimi hewa kabisa, hilo pia linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo singeumba watu hewa kabisa kama mimi.

Changamkia tenda ya ulozi upiga $10,000.

Kama huwezi tulia.
Nitaftee pm uone Moto wake Af utaleta mrejesho
 
Speak for yourself.

Your passive-aggressive dilly-dallying is a slippery slope of phoney baloney and hocus pocus of pitter patter that is chit chat for the hoi polloi, your arguments, mutatis mutandis, cannot tie the shoelaces of mine.
Mie naomba hela ya dictionary tu
 
Kiranga hujaona mtu kalogwa?au hujui kuwa kuna watu wanalogana? Mimi siyo mshabiki lakini katika mazingira niliyoishi nimeyaona ktk familia, ndugu na majirani. Nguvu za giza zipo lakini haziwezi kushindana na nguvu za nuru.
Unajuaje huyu kalogwa, huyu anasemwa tu kwamba kalogwa, huyu anasingizia kalogwa, huyu ana utapiamlo tu, huyu ana ngwengwe, huyu ana kifaduro na huyu ana kifafa?
 
Nimepitia page zote, nimesoma kila comment, lengo langu mahususi ilikuwa nione Mshana Jr anasemaje kwenye hili jambo?
 
Ha ha ha Nyani Ngabu aliweka thread kabisa hapa JF anaeweza amloge!

Hahahaaa and I’m still here.....alive and I’m kicking!

And Kiranga is a good boy. No need to hex him, really.

But me??? I’m perhaps the most ‘hated’. So there’s every reason in the world to cast the worst spell on me.

It ain’t happened and it ain’t happening! You know why? Coz that shit ain’t real. It doesn’t exist.
 
Pengine ukiongea na mtu kuhusu nguvu za uchawi, atakujibu kwa mkato, "Siamini mambo hayo".
Lakini ukweli ni kwamba nguvu za uchawi zipo na zinafanya kazi na pia zinapoelekezwa kwako ni lazima zitakudhuru kama huna NGUVU ya kuzizidi ambayo ni NGUVU za KIROHO.

Kwa mujibu ya mada hii, uko ulozi wa kushambulia na kudhoofisha afya na kinga ya mwili wako ambao usiposhughulikiwa ni lazima ukupeleke kaburini.

Ulozi huu pamoja na mambo mengine hutumia kwa kulogewa aina tatu za majini ambayo ni, Jini Muba (linaloshughulika na maradhi ya kuambukiza), Jini Balishebe (linaloshughulikia magonjwa yasiyopona) na Jini Aherumi (linaloleta homa za mara kwa mara).

Ukiologewa majini hayo na Jina lako kuwekwa katika sanda na kufukiwa makaburini, kinachofuata na ni mwili kudhoofika, magonjwa ya mara kwa mara na hatimaye kifo kama hujachukua hatua haraka.

Kwa wale wenye dalili za maradhi mazito na yasiyoeleweka, ni vizuri MNAPOSALI na/au KUOMBEWA, muyakembee majini hayo tena kwa majina yao.

Elimu ni Bahari.
Jini Muba linamfaa sana jiwe...
 
Hahahaaa and I’m still here.....alive and I’m kicking!

And Kiranga is a good boy. No need to hex him, really.

But me??? I’m perhaps the most ‘hated’. So there’s every reason in the world to cast the worst spell on me.

It ain’t happened and it ain’t happening! You know why? Coz that shit ain’t real. It doesn’t exist.
Huna impact katika jamii nani atakuloga were, angalia wenye mamlaka wanavyohangaika kutunza vyeo na vuti vyao kwa namna yoyote ile
 
Jamani kuhusu UKIMWI, tusilete za kuleta, ni unapima, kama unao unaanza kutumia dawa. Na ukitumia dawa vizuri na kufuata masharti unaishi maisha mazuri kabisaa, na faida ya pili ya kutumia dawa ni kuwa uwezekano wa kuwaambukiza wengine unashuka kwa asilimia zaidi ya 70. Nashauri kama hujapima, kapime.
 
Back
Top Bottom