Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Test ya kuniloga ni kuniloga nilivyoamua mimi, vidole vipate ugonjwa nisiweze kuja hapa JF.

Ndani ya siku saba kuanzia leo.

Sio umeona nimevaa Jeans leo, halafu unakimbilia kusema umeniloga nivae jeans.

Hapo utakuwa unachekesha baraza tu.
Mashart ya uchawi hayapo kama inavyo amua wewe, kwasababu nguvu za kuloga zinatofautiana
 
🙂😉😀😵...
Wameshindwa kuniloga mazee.

Nimewaongezea siku, siku 7, na kidau cha US $ 10,000.

Kwa yeyote atakayeniloga vidole vyote kumi vipate upele, nishindwe kuja JF

Mpaka sasa wanazuga tu.
 
nitajie majina yako matatu na ya mama matatu
Mpaka hapotu ushaniambia uchawi wako haufanyi kazi.

Ungefanya kazi usingehitaji nikutajie majina hayo.

Sasa suppose mteja kakujia anataka uniue, hunijui jina. Hanijui jina.

Utafanyaje?
 
Hivi ni kuloga au kuroga?
Inategemea kama unaongea Kimvita, Kimrima,Kiunguja, Kipemba, Kihadimu, Kipate, Kimgao, Kingozi, Kiamu, Kibarawa, Kingwana, Kijomvu, Kivumba, Kingome, Kikomoro, Kingazija, Kimwani na kadhalika.

Zote hizo ni lahaja za Kiswahili, wengine wanasema "kuloga", wengine wanasema"kuroga", vyote vinakubalika.

Ila kalamu na karamu ni maneno mawili tofauti yenye maana tofauti.

Kiswahili.
 
What do you mean what is my consideration?

This witchcraft business is empty psychology that profits from rampant ignorance.

I have offered $10,000 to anyone who will bewitch me so bad that all my ten fingers will be incapacitated to type a word here at JF, in the space of 7 days from today June 8 2018.
Demons are not paid in terms of cash ..They are paid in terms of blood..In witchcraft we have our special and exclusive kinds of considerations.So just do the following as a consideration " Go and tell ur father that I Likud of Jf says that tomorrow he will die and on the day of his burrier there will be the most heaviest rainfall ever " ..
Do it and if ur father will live to see the day after tomorrow come and prove me wrong
 
Mpaka hapotu ushaniambia uchawi wako haufanyi kazi.

Ungefanya kazi usingehitaji nikutajie majina hayo.

Sasa suppose mteja kakujia anataka uniue, hunijui jina. Hanijui jina.

Utafanyaje?
Mkuu wewe si umetaka kuthibitisha uchawi kwa kurogwa na umetoa dau,sasa mbona tena hautaki kufuata taratibu ili uthibitishiwe uchawi?

Wewe unajua uchawi ni uzushi toa majina yako humu ili washindwe na wakose visingizio.
 
Inategemea kama unaongea Kimvita, Kimrima,Kiunguja, Kipemba, Kihadimu, Kipate, Kimgao, Kingozi, Kiamu, Kibarawa, Kingwana, Kijomvu, Kivumba, Kingome, Kikomoro, Kingazija, Kimwani na kadhalika.

Zote hizo ni lahaja za Kiswahili, wengine wanasema "kuloga", wengine wanasema"kuroga", vyote vinakubalika.

Ila kalamu na karamu ni maneno mawili tofauti yenye maana tofauti.

Kiswahili.

Twaib! Maelezo murua kabisa hayo.

Ni kama ‘spitali’ na ‘hospitali’ au ‘benki’ na ‘banki’ au ‘shemegi’ na ‘shemeji’.

Kuna mke wa mtoto wa baba yangu mdogo kila tukikutana ananisalimia ‘habari shemegi’.

Yeye ni mtu wa Tanga.
 
Hahaaaaa wenzio watakuja na kisingizio kwamba wachawi huwa hawapangiwi!

Anywho, later this summer/ early autumn naenda Gamboshi na nitafanya ka-mini documentary humu ‘Mubashara kutoka Gamboshi’. Nita document hali na mazingira ya kawaida kabisa kuhusu hicho kijiji.
Kabla haujaenda Gamboshi pita muone kwanza Mshana Jr akupe hirizi ya kinga vinginevyo unaweza usirudi
 
Back
Top Bottom