Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Mfano wako wa hela ya Mmarekani ni mzuri sana.

Mimi mwenyewe Mmarekani.

Sasa unaongelea Wamarekani gani hao?

Hiyo hela yenyewe iliyoandikwa "In God We Trust" ni uongo mwingine.

Ni uongo kwamba karatasi hii ina thamani ya vyakula hivi. Bidhaa hizi. Huduma hizi etc.

Hiyo ninkaratasi tu. Thamani hiyo ni ya uongo tumeamua kuipa wenyewe Wamarekani.

Dr. Yuval Noah Harari anauita uongo huu "manufactured reality".

Sasa utashangaa vipi uongo wa hela, kitu ambacho thamani yake inategemea trust ya watu tu, utuambie habari za Mungu kuwepo bila uongo.

Unaelewa tofauti ya "In God We Trust" na "God Exists"?

Sijakataa watu wanaamini Mungu yupo.

Lakini, Mungu yupo?

Ukiamini noti ya dollar 100 ina thamani ya dollar 100, ukaenda msituni Papua New Guinea huko watu wanafanya barter trade, utawaelezaje hiyo noti ina thamani sawa na nadafu 200? Wakati wao wanaiona karatasi tu?
Akirudi kujibu hapa niite mkuu..! Hili jibu nna uhakika hawezi kurudi tena...
 
Kamusi yangu hapa inasema maana ya neno Thamani ni gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake na jamii.
 
Naam, kwa tafsiri hiyo, kwenye jamii ya barter trade Papua New Guinea, US dollar 100 ni karatasi tu.

Pablo Emilio Escobar Gaviria, the notorious late international drug dealer from Colombia, was once chased by the police in Colombia.

He ran away to his hieaway homes upin the mountains of Colombia.

The police were surrounding his hideaway house. He was with his children, in an unheated house.

The house had a fireplace,but no logs to fire.

His little daughter was cold. She was at the risk of catching pneumonia. Pablo, for all his mischief and killing sprees, was at heart a Catholic, a family man.

He had millions of dollars in the house.

He chose to burn two million dollars to keep the house warm and his daughter from getting cold.

At that very moment,the value of three million dollars was as much as the value of heating fuel to keep the house warm. No more.

He could not buy anything with that money to heat the house.

Soma zaidi habari hii hapa

The 'king of cocaine' once torched $2 million to keep his family warm

Dollar milioni mbili zilikuwa kuni tu za kuwashia moto.

Thamani ya hela haipoinherrent, tunaipa sisi wenyewe.Hela haina thamani, sisi ndio tunaipa thamani.

Kama Mungu. Hayupo. Sisi ndio tumemtengeneza na kumuweka awepo.

Uongo wa thamani ya hela na uongo wa kuwepoMungu uko sawasawa.

Vyote ni vitu vilivyowekwa na watu tu.
 
Kila kitu kina umuhimu wake na thamani yake kwa nafasi yake.

Hivyo mazingira ndiyo yaliyosababisha Pablo kushindwa kutumia hizo hela na si kwa sababu hela hazina thamani.
 
Helahaina thamani, watu ndio wanaipathamani.

Ndiyo maana ukitaka kununua kitukwahelaya enzi ya Nyerere ambayosasa haitumiki, watu wataikataa.

Thamani yake imetokana na watu kuikubali, walipoikataaikakosa thamani.

Na habari ya Mungu kuwapo ni hivyo hivyo, inakuwa na nguvu sana kwa sababu watu wameikubali tu, wakiikataa, Mungu kiukweli hayupo.
 
Sasa wewe ulitaka thamani ya kitu itolewe na nani kama sio watu ambao ndiyo wenye kutumia?
 
Umeelewa kwamba kwa analogy ya kwamba thamani ya pesa inatolewa na watu wanaoitumia, na pesa yenyewe haina thamani, ukikubali logic hiyo, kwa muktadha wa mfano wangu, umekubali kwamba Mungu hayupo, ni watu tu wamejipangia kusema kwamba yupo?

Unaelewa kwamba katika mfano huu "thamani ya pesa" ni sawasawa na "uwepo wa Mungu"?

Unaelewa hata ninayoandika hapa?

Umeelewa kwamba "uwepo wa Mungu" na "thamani ya pesa" vyote ni "manufactured reality",ukweli wa kutungwa tu na watu?
 
Umeelewa kwamba kwa analogy ya kwamba thamani ya pesa inatolewa na watu wanaoitumia, na pesa yenyewe haina thamani, ukikubali logic hiyo, kwa muktadha wa mfano wangu, umekubali kwamba Mungu hayupo, ni watu tu wamejipangiakusema kwamba yupo?

Unaelewa kwamba katika mfanohuu "thamani ya pesa" ni sawasawa na "uwepo wa Mungu"?

Unaelewa hata ninayoandika hapa?

Umeelewa kwamba "uwepo wa Mungu" na "thamani ya pesa" vyote ni "manufactured reality",ukweli wa kutungwa tu na watu?
Unahusisha habari za Mungu na suala la pesa kuwa na thamani au kutokuwa na thamani,hilo ni tatizo lako.
 
Hujaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo na si mawazo ya watu tu yaliyojiwekea kuwapo kwa Mungu, bila Mungu kuwapo, kama mawazo ya watu tu yalivyojipangia thamani halisi ya pesa kuwapo, bila thamani halisi ya pesa kuwapo.

Kama mawazo ya watu yana uwezo wa kujiumbia kitu kama pesa, na kukipa thamani, kiasi karatasi ambalo halina thamani lenyewe likanunua chakula, unawezaje kubisha kwamba mawazo hayo hayo yamejiumbia mfumo tu na kusema Mungu yupo, wakati hayupo?
 
Habari za Mungu hapa zimeingiaje? maana mie najua tunazungumzia kuhusu pesa kuwa na thamani ama kutokuwa na thamani.
 
Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.

Hujui simile and metaphor.

Hata mtu akisema pesa ina thamani kama "metaphor", unaona ina thamani kweli.

Mtu akisema Mungu ataonesha njia kama "simile", unaamini kweli Mungu yupo na ataonesha njia.

Nikikwambia Mungu hayupo. Ni wazo tu ambalo watu wameliweka. Sawa na ambavyo karatasi inayoitwa pesa haina thamani, thamani yake ni wazo tu ambalo watu waneliweka, unashindwa kuelewa.

Nikikwambia uthibitishe Mungu yupo huwezi.

Kwa sababu hayupo. Katungwa kwa kuungwa ungwa tu na watu.
 
Hakuna ukimwi wa kurogwa,acha kuroga fikra za watu kwa nadharia ambazo hazijawahi kuwapo duniani
 
Huu uzi umenikumbusha rafiki angi flani hivi..alitembea na Mume wa mtu..akapewa huo ukimwi..hospitali vipimo positive akaanza kuumwa kama vile wahanga wa hilo gonjwa wanavyoumwa..kuna Mama ake mdogo akaleta mganga wakamfanyia madawa baada ya muda ule uumwaji kama mgonjwa wa ukimwi uliisha..akaenda hospitali kupima kakutwa negative

Akaenda tena baada ya miezi 3 vipimo tena negative..hadi sasa yuko poa kabisa
Ingawa binafsi yaliyokua yanaendelea nilikua naona mapichapicha tu
 
Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.

Hujui simile and metaphor.

Hata mtu akisema pesa ina thamani kama "metaphor", unaona ina thamani kweli.

Mtu akisema Mungu ataonesha njia kama "simile", unaamini kweli Mungu yupo na ataonesha njia.

Nikikwambia Mungu hayupo. Ni wazo tu ambalo watu wameliweka. Sawa na ambavyo karatasi inayoitwa pesa haina thamani, thamani yake ni wazo tu ambalo watu waneliweka, unashindwa kuelewa.

Nikikwambia uthibitishe Mungu yupo huwezi.

Kwa sababu hayupo. Katungwa kwa kuungwa ungwa tu na watu.

Kiranga unachanganya mambo,suala la uthamani wa hela au kutokuwa na thamani haliendani na suala la kuwepo kwa Mungu au kutokuwepo.

Kwa sababu tukizungumzia neno thamani ni kama nilivyosema kwamba ni gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake na jamii,kwahiyo kabla ya kuzungumzia hela ulipaswa ujue hiyo ndiyo maana ya neno thamani.

Kwahiyo vitu vyote sie (watu) ndiyo tunavipa thamani,hivyo sioni ajabu na karatasi(hela) kupewa thamani.

Sasa wewe naona umekazania kusema tu uwepo wa Mungu kwamba ni sawa na thamani ya hela.
 
Hata anayekuloga leo naye ipo siku atachimbiwa futi 7 tu. Tena hajui hata kifo chake kitakujaje, huenda akakanyagwa kicha na trella.

Dunia hii sote tunapita
 
Natamani sana nikubishie lakini na shindwa...
Mwaka 2006 nilimpoteza anko wangu mmoja kwa tukio kama hili.
Jamaa alitutesa sana alikua na dalili zote za ngoma lakini kila akipimwa yuko negative.
Maradhi mengine hakua nayo maana alifanyiwa vipimo vyote tulivyo kua tunahangaika kuokoa uhai wake.
Baada ya sintofahamu hii Babu akasema lazima kuna namna kwahiyo twende kijijini tukafanye mambo ya kimila.
Tukafunga safari mpaka Lupembe, tulivyo fika tukaingia maabara.
Vipimo kuchukuliwa na kuwekwa kwenye microscope, majibu haya hapa.
Results zinasema Anko alimtapeli jamaa mmoja huko Tukuyu shilingi laki 8.
Na yule jamaa alikua ni mganga hivyo alimshughulikia kwa umakini zaidi.
Yule dokta akasema twende Tukuyu tukamfuate yule jamaa alie tuma hii kitu, yeye ndio kimbilio letu la mwisho.
Basi ikabidi tumuache mgonjwa wetu wodini sisi safari mpaka Tukuyu.
Tulivyo onana nae akasema alijua tungemtafuta tu,"mkitaka ndugu yenu apone nawapa wiki tatu tu otherwise anaondoka.
Hawezi kunitapeli pesa yangu niliyopanga kufanyia mambo ya msingi"
Tulilipa Laki 5,ikabaki laki 3 wakati tunaendelea kutafuta deadline ikafika Anko akafariki.

So ukimwi wa kurogwa upo... Hapo mwanzo nilikua siamini mambo ya ushirikina ila baada ya kukutana nao kwenye matukio mbali mbali Ikabidi niamini tu.
 
Back
Top Bottom