na wewe hahaha
jana nimepiga kelele kinyama
wamesifiwa sana hawa na kuonekana wao ndio wao!
sasa jana yamewakuta
HAkya mama morinho!!!!!!!!!? bonge la kocha
Hahaaaaaaaa,pole dada yangu...nilitabiri ushindi kwa Nerazzurri tangu jana(angalia post namba 2 ya thread hii.....)..........
Mkuu Balantanda, mm pia nilikuwa naombea tofauti ya mabao mawili (ushindi kwa inter) na imekuwa hivyo, sasa kazi ni moja tu kwenda kupaki bus na kuwashambuliwa kwa kushtukiza katika marudiano.Hahaaaaaaaa,pole dada yangu...nilitabiri ushindi kwa Nerazzurri tangu jana(angalia post namba 2 ya thread hii.....)..........
bado naamini barca wanaweza kufunga 2:0
The return leg Barca will win 4-1 and go through mark my words, FL tupo pamoja my sista
Inter sio Arsenal bana...........ngumu kuwafunga 4-1
Kumbe mnanijua eeh(kidding)..ila jana Barca nao wameoshwa kama walivyowaosha Ars!..tusikilizie 2nd leg!!..No Messi wala Merci!!
Kwa kichapo walichokula jana nathubutu kusema Barca OUT! BArca wanajua mpira, Morinho anajua mbinu za medani ya soka. Kumbukeni Mechi ya marudiano Puyol the Skipper nje baada ya kula njano jana na jueni kuwa Inter sio wavulana kama Arsenal ni wanaume- physique ya wachezaji wao iko far better than vijana wa Barca.
Amini usiamini, Morinho anaenda kuweka rekodi mpya! Aliyoyafanya kwa Porto ambayo haikuwa na Super Stars kama Inter yanaenda kutokea Inter na baada ya kuwapa ubingwa jamaa anachapa mwendo na kuiacha Inter.
The return leg Barca will win 4-1 and go through mark my words, FL tupo pamoja my sista
...mambo si hayo,...hatuchekani hapa, hakuna vibonde safari hii...