mpira umechangamka sana na zitaongezeka goli hapa naona.
Mpira unapendeza kuangalia. Nimefurahi sana kwani Barca wangesshinda mechi hii wangevimba bichwa. Itabidi tusubiri mechi ya marudiano.
mechi ya marudiano itakuwa kali sana, hii nusu fainali inter milan kapita tayari manake barcelona kwao itabidi washambulia sana itawapa nafasi inter kuwakamata kwenye counter attack.
hawa barcelona leo wamekuwa kama arsenal pale ndani ya box.
huyu refa kweli kiboko leo simchezo.wakina messi wamejitaidi sana kujirusha lakini wapi.lakini hii naona enati ilikuwa.
Huyu Refa safi sana, kumbe Wareno wanamarefa wazuri sana, huyu Olegario Benquerenca anaonyesha mfano mzuri. Tuwe tunawaazima EPL.
It is special results for the special one, bravo.
Mechi ijayo Barca wanatakiwa wafunge at least 2-0 and that is a daunting task especially when you are facing a team like Internazionale, cha kufanya Inter wafunge goli moja ugenini alafu wapaki basi.