UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Mkulu Inakuwaje sasa...? ama bado haijasink in?

Alafu nothing wrong with dreaming especially kama umeshadream kabla na ndoto zikageuka kweli...hii nayo leo imegeuka kweli...
_44678573_4de95741-6cea-4810-9aeb-2d16280d3450.jpg


Mkuu mbona nimeshatoa hongera zangu? Haya kwa mara ya pili hongereni. Mimi ni gunners bwana lakini huyu jamaa Sir AF naona hatuivi chungu kimoja...:)
 
Manchester wins!!!!!...Kudos!

.....fantastic! hongera zenu wekundu!

Hongereni....Sijui kama Drogba ataamua kuondoka mimi kwa maoni yangu kwenda Italy au Spain hata hailipi kiuchezaji hasa kama timu atakayoamua kwenda ina wakali wengi mpaka wengine inabidi wakae bench. Amuulize mwenzie Thierry, yuko better off kubaki Chelsea.

Congrats Man U...

Namshukuru Mungu kwa kukubali Dua zangu. MAN UTD OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

YAANI LEO MASANGA MPK KUCHWE. KARIBUNI TUPO MEEDA-SINZA LEO JAMA

Although I'm Arsenal supporter I think Man U have been the best team throughout the season and they deserve to win the double.

Congratulations!

Bravo Man U, mabingwa Uingereza, mabingwa Ulaya hii nzuri sana.

Hongereni wekundu wa msimbazi...ooops sorry- mashetani wekundu, but only if and only if John Terry had got it right,!You need luck to become a champion and man weren't Man U lucky tonight? Chelsea will regret forever for not wining this game, it was there for them to take esp after the second half.

Mkuu mbona nimeshatoa hongera zangu? Haya kwa mara ya pili hongereni. Mimi ni gunners bwana lakini huyu jamaa Sir AF naona hatuivi chungu kimoja...:)

Wakuu Asanteni kwa kudos zenu! Man wamevuna walichopanda....Ni faraja sana kupongezwa na opponent wako, pia ganaz! Asanteni.
Bluuz! You gave us a hell of time. It was tough..real tough!
 
Wakuu Asanteni kwa kudos zenu! Man wamevuna walichopanda....Ni faraja sana kupongezwa na opponent wako, pia ganaz! Asanteni.
Bluuz! You gave us a hell of time. It was tough..real tough!

Roya Roy,

Karibu sana ndugu.Ile pata-shika ya jana haikua mchezo.I was
glued to my big screen for the whole 120 + some minutes lakini
luck was not on our side.Kwa sasa naomboleza tu na mwili
unaniuma kishenzi maana uwanja ulikua mbovu...sio siri.Kisha mechi
za kuamuliwa na matuta sio fair kamwe for both teams.But at the
end of the day, those are the rules...but do I say?

Once again congrats to the lads for their performance...and Man U
fans for your resilience.Roya Roy,Idimi,Icadon the General na wengine
wote kwa kweli ham'tishiki!We will meet again!
 
Nimechelewa mdahalo na mechi ilishaisha na BINGWA ndo huyo anendelea kufurahia matunda ya kazi yake.

Pole kwa watu wa darajani, pole kwa watu wa Bwawa la Maini kwa kuwa wengi walikuwa upande uliopoteza, pole kwa ze gunners kwa kuwa walio wengi walihamia ze blues.

Mechi ya jana ilibadilisha sana mtindo wa maisha yangu. Kwa kuwa kwa kipindi kirefu sikuwa nimefuatilia matatizo ya access ya DSTv na kwa hiyo sikuwa naangalia mpira isipokuwa kwa kutumia live text.
Jana nilipata wazo zuri sana na ikabidi nifuatilie jamaa wanirekebishie na baada ya nusu saa hivi mambo yakawa shwari.

Usiku woote nilikuwa na screen yangu niki-enjoy uhondo wa Ze red ENGELS.
 
japo sio mara nyingi naingia kwenye mtandao huu ila kwa kweli MAN U nawapa pongezi zao

walideserve the best na kwa ndugu zetu wa Chelsea poleni sana

MAN U hongereni sana na mashabiki wote wa Man U tujipongeze kwa ushindi huo
 
sport22_492090a.jpg




ferdinand_682x400_492094a.jpg


EURO KING ... Rio Ferdinand celebrates Manchester United's Champions League Final win over Chelsea


zzz_-_Chelsea_s_Joh_491965a.jpg


Chelsea’s John Terry reacts after missing his penalty


van_der_sar_666x450_492014a.jpg


Edwin Van Der Sar saves Nicolas Anelka’s penalty to win the Champions League for Utd


zzz__-_Edwin_Van_De_492021a.jpg



Edwin Van Der Sar after his decisive shoot-out save


zzz_-_Nicolas_Anelk_492020a.jpg


Nicolas Anelka after his penalty miss sealed United’s win



yyy_-_Man_Utd_let_t_491989a.jpg


Man Utd let the victory party begin



zzz_-_Man_Utd_playe_491985a.jpg


Man Utd players revel with the trophy



yyy_-_Cristiano_Ron_491987a.jpg


Cristiano Ronaldo (left) and Rio Ferdinand lead celebrations


alex_-_Manchester_U_492001a.jpg



Manchester United manager Alex Ferguson with the trophy


xxx_-_Ryan_Giggs_ce_492004a.jpg


Utd’s shoot-out hero Ryan Giggs with the trophy


zzz_-_Manchester_Un_491982a.jpg


United’s Anderson and Cristiano Ronaldo rejoice


zz_-_Wayne_Rooney_c_491984a.jpg


Wayne Rooney carries team-mate Paul Scholes

Mabox yalizidi kwa hiyo ndio sababu hizi picha kuchelewa, sorry guys....
 
loh ukiwa man utd fan kama mie..hadi raha kuangalia picha kama hizi sijui wale wenzetu wa darajani na washika bunduki za maji,wale wa bwawa la maini wanajisikiaje
 
livematchcentre13_554123a.jpg




FC Twente 0 Arsenal 2



goalx_682x400_554237a.jpg


CAPTAIN FANTASTIC ... William Gallas scores Arsenal's first goal


WILLIAM GALLAS and Emmanuel Adebayor spared Arsenal's blushes as they overcame Steve McClaren's gutsy FC Twente side in Holland.
Gunners' captain Gallas converted Robin van Persie's free kick just after the hour mark to put Arsene Wenger's side 1-0 up following a drab first half which saw neither side create any real clear-cut chances.

And Togo striker Adebayor netted the second on 82 minutes to give Arsenal a two-goal advantage to take into the vital return leg at the Emirates in a fortnight's time. Arsene Wenger started the game without nine first team players and was forced to hand 17-year-old Aaron Ramsey his competitive debut. The Welsh youngster slotted in alongside Brazilian ace Denilson, 20, in the centre of Arsenal's midfield as the Gunners had to make do without Cesc Fabregas and Abou Diaby.

But the Londoners made light of their injury problems to put former England boss McClaren on the brink of another Euro exit.

Wenger declared to get a midfielder in two weeks time .. ... turmoil! what tur....



Standard liege 0 – 0 Liverpool

Juventus 3 – 0 Artmedia Petrzalka

S K Brann 0 – 1 Marseille

Schalke 1 – 0 Atletico Madrid
 
CHAMPIONS LEAGUE QUARTER-FINAL DRAW:

Villarreal v Arsenal
Manchester United v FC Porto
Liverpool v Chelsea
Barcelona v Bayern Munich



Hapo kivumbi lazima kitimke.Amini Amini nawaambia Liver hawezi kutufunga tena na hii.
 
Haya wadau karibuni tena kwenye msimu mwingine wa michuano ya ligi ya mabingwa ya Ulaya. Muda mfupi kutoka sasa tutajua nani anapambana na nani kwenye safari ya kuelekea Madrid kwenye fainali hapo Mei 22 2010.
_46277611_trophy466.jpg
 
Last edited:
Haya wadau karibuni tena kwenye msimu mwingine wa michuano ya ligi ya mabingwa ya Ulaya. Muda mfupi kutoka sasa tutajua nani anapambana na nani kwenye safari ya kuelekea Madrid kwenye fainali hapo Mei 22 2010.
champs-league2-412.jpg

...mambo si hayo,...hatuchekani hapa, hakuna vibonde safari hii...
 
Mwaka huu utakuwa wa timu za England au Spain? Ebo hakuna chance ya Chelsea kucheza na Liverpool?
 
kwahio kila mtu kajitaarisha sio? kama mbu alivyosema hakuna vibonde humu safari ni hio hio moja kila mtu atapitia sio.
 
Sijapenda kitu kimoja tuu, fainali ya msimu huu inachezwa jumamosi.
 
Sijapenda kitu kimoja tuu, fainali ya msimu huu inachezwa jumamosi.
jumamosi ndio vizuri kwa vile wengi wako off wengine.hile jumatano ina depend huko nchi gani wengine huwa inatukuta makazini.so saturday is perfect.ALAFU JUMAMOSI INAKUWA VIZURI TIMU INAYOCHOKUWA UBINGWA WASHABIKI WAKE WANAWEZA KWENDA KUPARTY KUSHANGILIA USHINDI BILA KUJALI KESHO KAZINI LOL.KUNA ADVANTAGES NYINGI SANA ZA FAINALI KUWA JUMAMOSI MKUU.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom