UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Mkuu Arsene haya ndio matokeo tuliyokuwa tunayasubiri kwa hamu sana. Asante Inter Milan na Mourinho. Sasa presha kwa Barca. Hivi leo nikitabiri kwamba Barça wanaweza kumaliza msimu huu bila kombe nitakosea? Naziona dalili hizo maana wana Inter, Sevilla, Villareal kusevu msimu wao.
 
Thats Jose Mourhino! Kipigo cha mbwa mwizi alicho kipata Arse Anal toka kwa barcelona leo mumemrudishia, kumbukeni huyo Mourhino alikuwa manager wa Chelsea
 
Safi sana washinde wengine sasa I like Special One to win this. SPECIAL ONE SPECIAL RESULTS. Vijamaa vya Barca havijaamini hii sio ligi ya hispania ambako ni real na wao tu wanaowata wako mbali sana Beti Barca 84 Real 83 valencia 59 hii ligi si nzuri kwa ushindani kabisa
 
Kweli mpira ni Dakika tisini ..sina la kusema sana lakini bado tuna nafasi nzuri kama uwanja wa nyumbani utatumiaka vyema
 
messi-vs-inter-milan-4.jpg
 
Thats Jose Mourhino! Kipigo cha mbwa mwizi alicho kipata Arse Anal toka kwa barcelona leo mumemrudishia, kumbukeni huyo Mourhino alikuwa manager wa Chelsea

yaaani nikikumbuka jinisi Chelsea ilivompoteza kocha makini kama huyu natamani nihame timu nishabikie Hull city....huyu ni bonge la kocha kwa kweli.....BArca ndo bai bai tena
 
Ngosha tangia lini umeanza kuichukia Barca ? Let me guess..lil' Messy..lol

Hapana Mpemba.......Nina timu karibu kila ligi kubwa Ulaya....EPL-England Arsenal,Serie A-Italy Juventus,Bundesliga-Germany Bayern Liverkusen,Eredivisie-Nethrelands Ajax na La Liga-Spain Real Madrid(ni mnazi na mshabiki wa timu hii kitambo sana......hope utapata jibu hapa).........So Barca nawachukia hata kabla Messi hajatia timu........tangu enzi za akina Romario,Stoichkov,Ronaldo,Guardiola,Kluivert,Rivaldo,Luis Enrique n.k.........By the way pole kwa kichapo cha Rossoneri from Sampdoria
 
Rossoneri wakati ligi inaanza mlianza kumchulia Leonardo kua timu itashuka daraja wakti ule Kibibi Kizee cha Torino kilikuwa kinang'aa karibu na kileleni..Sasa angalia sasa hivi kilivo hoi, hakina hata matumaini ya kushiriki yuropa ligi ya akina livafool..lol
 
Endelea kuchelea tu Mpemba......hahaaaaaaaaaaaaa
aa.h sio mimi tu niliyeona..from neutral perspective kila mtu ameona, hata mtangazaji wa FSC alifananisha na goli la Klose dhidi ya Fiorentina. Uzushi mtupu. Hata hivo Inter ipo kwenye dozi ya panadol, na punde si punde maumivu yatawarudia J5.

GO IBRA.
 
Rossoneri wakati ligi inaanza mlianza kumchulia Leonardo kua timu itashuka daraja wakti ule Kibibi Kizee cha Torino kilikuwa kinang'aa karibu na kileleni..Sasa angalia sasa hivi kilivo hoi, hakina hata matumaini ya kushiriki yuropa ligi ya akina livafool..lol

Mwaka huu Juve fulia mbaya.So far tuko nafasi ya 7 na game zimebaki 4.....tuombe Mungu ushindi upatikane kwa mechi hizi angalau nafasi ya 5 au ya 6 ipatikane kushiriki Europa League.......Wachezaji wengi wamezeeka sasa,yahitajika damu changa na yenye nguvu........
 
aa.h sio mimi tu niliyeona..from neutral perspective kila mtu ameona, hata mtangazaji wa FSC alifananisha na goli la Klose dhidi ya Fiorentina. Uzushi mtupu. Hata hivo Inter ipo kwenye dozi ya panadol, na punde si punde maumivu yatawarudia J5.

GO IBRA.

Hahaaaaaaaaaaa,nimekusoma mkuu...Sema Inter nao hawatabiriki aisee.......walivyoenda Stamford Bridge kila mtu alijua wanaenda kuchezea kichapo....Kilichotokea kila mtu anajua...Wanao washambuliaji wazuri na wenye kuweza kufunga tofauti na tuliofulia kama Arsenal....Let's wait and see
 
ulisema 2-0 kaka......oooh 3-1 means 2-0 i.e 3-1 = 2
Hahaaaaaaaa,pole dada yangu...nilitabiri ushindi kwa Nerazzurri tangu jana(angalia post namba 2 ya thread hii.....)..........
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom