Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
Walete waleteeeeeeeeeee wachovu Inter piga hao 4-1 kama Arsenal
Haya poor refereeing AGAIN. Nilishasema hili.
Muzee there were no way Barca was going to beat Inter 11 vs 11.. Refa naona anafidia lile goli la 3 la offside la Milito kwenye first leg.Sasa naanza kuelewa ulimaanisha nini kuwa na wasiwasi na huyu refaree,sasa ameshaaribu game
Muzee there were no way Barca was going to beat Inter 11 vs 11.. Refa naona anafidia lile goli la 3 la offside la Milito kwenye first leg.
Barca wanabebwa kwelikweli...Refa anajitahidi sana kuwabeba Barca...kaharibu kabisa ladha ya game................aaaaaaaaaaaaaaaaargh