FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

Karata yako unairusha kwa timu ipi?


  • Total voters
    7
  • Poll closed .

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,603
Reaction score
22,717
Patashika kali inatarajiwa usiku wa leo, wakati Paris Saint-Germain watakapoikaribisha Bayern Munich kwenye dimba la Parc des Princes, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Kwa mujibu ya tovuti ya uefa.com, rekodi za Head to head zinaonesha

Rekodi rasmi (UEFA)
  • Mechi: 15
  • PSG wins: 6
  • Bayern wins: 9
  • Draws: 0
  • Mabao:
    • PSG: 16
    • Bayern: 21
 
Mechi nzuri Sana, sema hizi timu zote naona kwenye defence hawako vizuri Sana japo mmoja kitakwimu Yuko vizuri kwenye kuzuia, Kwa nilivyoangalia mechi zao zilizopita Kila timu ina nafasi ya kupata Magoli lakini kutoboka pia kama kawaida.
 
Ninachojua mpira utapigwa haswaa...tena wa kasi na mashuti ya mbali
 
Back
Top Bottom