Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Hao wakufungwa 4-1 ni hao hao Inter waliocheza jana? Disadvantage ya Barca ni kuwa inabidi washambulie kutafuta magoli mengi na wazuie wasiconcede away goal sasa hapo ndipo patakuwa patamu na tukumbuke kuwa Mourinho ni tactician mzuri sana atakuja na mbinu za kuwafanya jamaa waachie tuu.
...hata sisi, (..ndiyo, sisi ARSENAL "chama kubwa!") tulidhani hayo hayo, matokeo yake Messi alitu 'Messed Up' ki kweli kweli...Barcelona watawafunga Inter hizo goli nne na Ubingwa kuuchukua.
Achaneni nao jamaa hawa wakiwa Camp Nou, acheni kabisa...!