KERO UDOM na deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

KERO UDOM na deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha.

Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na sisi tujiunge na wenzetu.​
 
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa.

Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha.

Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na sisi tujiunge na wenzetu​
 
UDOM wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa tatu sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa.

Na Mahafali tulishafanya tangu tarehe 6 na 7 mwezi wa 12 sasa lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha.

UDOM msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea hizo fedha
 
Pesa ya serikali ni ngumu sana kurudi ikisha enda ime enda. Labda private mngelipwa chap
 
Hiyo mikopo sio hata ya kulilia🥶Yan hapo baadae hawajakutana na NHIF, PAYE, bado loan from CRDB, or NMB or Finca, NSSF, sacoss🤣na Heslb 15% of your salary take home 310k lipa Deni mangi 100k bAki 210k toa Unga, Mchele mafuta 150k na other expenses, 🤣🥶100k jaza mafuta gari
 
Si uende utawala ukapeleke malalamiko yako dogo unafikiri kukimbilia mitandaoni ndio solutions??

Usikute overpayment yenyewe haizidi laki mbili.
 
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma(UDOM) umefikisha miaka miwili Sasa bila KUREJESHA MALIPO yaliyozidi katika ulipaji wa michango mbalimbali ya chuo kipindi wahitimu walipokuwa wakiendelea na masomo, fedha hizi zimeandikiwa barua rasmi mwaka juzi na mwaka Jana ila changamoto ni hakuna mrejesho na ukiwapigia simu unajibiwa kwa mkato na kauli za makasiriko, lini watatu a kero hii?
 
Back
Top Bottom