chuo kikuu cha dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili kozi katika Chuo Kikuu cha Dodoma

    Namna ya kubadili kozi kutoka sanaa ya kiswahili kwenda bachelor of arts with education
  2. L

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM matokeo yametoka ila kwa baadhi yamekuwa 'Withheld' japo tumemaliza kulipa ada

    Habari, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Matokeo ya mwaka huu yametoka, lakini kwa baadhi yetu yamewekwa kwenye mfumo kama “withheld”, licha ya kuwa tumekamilisha malipo yote ya ada na hatuna deni lolote la chuo. Chuo kimetoa namba ya Bursar ambayo wanafunzi wenye changamoto...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) turejesheeni malipo yetu ya Ada yaliyozidi, mnatuzungusha kila siku

    Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa baada ya kumaliza masomo. Baada ya kuhitimu, wahitimu tuliandika barua za kuomba kurejeshewa fedha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia

    Sakata la kisheria linalomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limechukua sura mpya baada ya upande wa mashtaka kubadilisha mashtaka yake na kumfungulia rasmi kesi ya ugaidi. Hatua hiyo imezua taharuki na masikitiko makubwa miongoni mwa wanataaluma waliokuwa...
  5. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM na wadau wajadili ukuaji wa akili unde katika muktadha wa Kiafrika

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - (NM-AIST), kupitia Maabara ya Akili Unde Afrika - (AfriAI Lab) kwa udhamini wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme na Electroniki Tawi la Tanzania (Institute of Electrical & Electronics Engineers -...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video kuonesha vyoo vya majengo yao ni visafi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi. Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau tofauti wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kuna changamoto ya usafi katika...
  7. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kwanza la maombi ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 limefunguliwa rasmi

    Je, uko tayari kuwekeza katika mustakabali wako? Hii ndiyo fursa yako ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), moja ya vyuo vikuu vikubwa na vinavyoongoza nchini Tanzania katika utoaji wa elimu bora, utafiti na ubunifu. UDOM inakukaribisha kutuma maombi ya kujiunga na programu mbalimbali za...
  8. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yaonyesha matokeo ya utafiti wa blockchain kuimarisha minyororo ya ugavi wa kilimo

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, kimefanya warsha ya kuwasilisha na kujadili matokeo ya mradi wa utafiti kuhusu matumizi ya teknolojia ya Blockchain katika kukuza ubunifu jumuishi na kuimarisha ufanisi wa minyororo ya ugavi wa kilimo nchini...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded SUMA geti la UDOM wanakamata vyombo vya usafiri na kuvitoza pesa. Je, zinaenda wapi?

    Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao mara nyingine 10,000/=, 5000/=, 20,000/= kitendo ambacho sidhani kama ni kwa mujibu wa sheria na pia...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM na deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

    Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
  11. immortanity

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

    Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa . Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda atoa ufafanuzi kufutwa Kwa kozi za Ualimu Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambayo imeibua taharuki miongoni mwa wanafunzi na wadau wa elimu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 22, 2025 jijini...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo kikuu cha Dodoma hakichukui ambao hawakufika kidato cha sita

    Kwanini chuo kikuu cha Dodoma hakichukui ambao hawakupita kidato cha sita kwa waliohitimu mafunzo ya stashahada ya ualimu elimu ya awali kwa kuchagua kozi nyingine za elimu
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kutoa mafunzo kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa Wataalam

    Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

    TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) hasa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi. Tunaomba mamlaka ishughulikie

    Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za Wanafunzi. Pia soma > KERO - Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tunaomba kutatuliwa changamoto ya matokeo tangu 2020 hatujapata vyeti

    Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa kwanza yaani 2017-2018 kuwa baadhi yetu walipata incomplete baadhi ya masomo na we gine Carry, but...
Back
Top Bottom