Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Kama hautojali nitafungua thread nyingine.. Ya success story. Nitakutag nikimaaliza kuindaa..nafikiri watu wengine pia watashare success stories zao hapo.. Ila kwa sasa naomba maudhui ya huu Uzi ya ubebaji box uundelee bila kuharibu mtiririko wake.

samahani sana Mkuu najua hukunlenga mimi ila nami Niko na interest sana Na hayo mambo plz kama hutojal naomba nami unambie how unaingiza income hyo na vp umepata mtaji n.k
pia hata nami ukinitag ntashukuru sana!
 
Mimi nilikwenda kwa norad ,kila kitu ilikuwa juu yao na nilipomaliza kilichonipeleka nilirudi nyumbani,kama unataka kwenda kuishi huko hilo ni jambo lingine,kufanya kazi huko ni mpaka uwe na kibali cha kuishi huko.NA KWENDA HUKO NI MPAKA UWE NA VISA NA KUPATA VISA HAPO NDO KAZI MIMI NILIKWENDA KAMA MWANAFUNZI TU
ahsante sana kwa mda na Majibu yako mazuri mkuu! Kidogo nimejua namna nzuri ya kuweza kuishi nje, inaonesha kuna hatua flani flan inabidi nizkamilishe!

Ahsante sana

Jigo
 
Bro ukweli ni huu hapa. Sasa hivi ufanikiwe kuja ulaya ni mbili tu kuoa ama shule baas. Mimi nilikuja huku nikawa on my late teens sasa hiv na 26 yrs kama wewe. Vizio hao mamama ya kizungu ondoa mshipa wa aibu piga saundi. Wagambia wengi wamekuja huku kwa njia iyo iyo maamaee
ahsante sana mkuu hapo nimekupata vzur sana, inaonesha we jamaa ni mjanja sana na huko unaishi kwa malengo.. nimependa maelezo yako!.,
samahan naomba nijue kama kuna fursa ya biashara huko , yaan kitu huko kinaweza kupatkana kiurahisi na kwa thamani ndogo(kama Si Bure) lkn nikileta bongo ni hela ndefu!
Naomba Univumilie mkuu na samahan kama ntakusumbua kwa namna yoyote ile! Ahsante

Jigo
 
Mkuu ushauri wa blaza Copenhagen hapo juu ni wa maana sana japo umri wako umesogea kidogo ila kama Ipo ipo tu pambana utoboe!
ahsante Kwa Ushauri wako mkuu!..hata hvyo nimejifunza mengi

Jigo
 
Mkuu, nimekusoma hapa: "kwa miaka 3 nilipiga pesa ya maana ingawa pesa yenyewe ilienda kuishia reeds tena tena kwa mwezi mmoja tu, sikurudi tena Canada maana nilijua ni pesa za majini."
Mkuu si unajua tena shopping za mtoni?
Pesa yote ikaisha!!!
 
Things happen dude, umemsoma vizuri lakini?. Amesema alichaguliwa kwenda A level lakini akaghairi!. Na naona wengi waliochangia kwenye hii thread wamekuwa honest, Kama ni uzushi basi itakuwa ni kidogo sana!.
sawa mkuu hakuna shida, ingawa JF sio reliable sana kwa kuamini vitu 100/100

habari zako bwana Yegomasika,waongeramoo
 
ahsante sana mkuu hapo nimekupata vzur sana, inaonesha we jamaa ni mjanja sana na huko unaishi kwa malengo.. nimependa maelezo yako!.,
samahan naomba nijue kama kuna fursa ya biashara huko , yaan kitu huko kinaweza kupatkana kiurahisi na kwa thamani ndogo(kama Si Bure) lkn nikileta bongo ni hela ndefu!
Naomba Univumilie mkuu na samahan kama ntakusumbua kwa namna yoyote ile! Ahsante

Jigo
Nafanya biashara Tanzania, products zangu zinatoka Denmark, vijana fungukeni macho.... Copenhagen DN kuna fursa huko ziangalieni, ningekutumia tusaidiane unfortunately na deal na producer directly!
 
The best deal ya vocha commission ni kwenye superdealership. Unatafuta maduka kuuza vocha, Kama 100 etc, wao kila wakiuza, wewe unapewa commission yako.
Capital requirement is $1 mil lakini unaweza pia kuuza vocha katika maduka yako manne na kuingiza $7500 kama upo eneo zuri.

Kila kampuni ya simu ina commission tofauti. Roughly 5-15% of the sales.

In 15 years itakuwa vigumu kupata soko kubwa kwa kuwa maduka yatakuwa mengi zaidi.

Another opportunity is Customer Care Training. You can conduct 1 week intensive seminars for bank staff, supermarket staff or even regular graduates who can then brag to their prospective employers that they are customer-service trained by your firm in their resume. Customer Service In Bongo doesn't exist.

Tuition centers is also good. But you would need good teachers to teach English, Math, Sciences and university entrance tests such as TOIEC/ GMAC/ TOEFL. But this project requires the use of foreign teachers, whose permits jumped to $2500 recently. Not exactly a business friendly tax.

Professor Sifuni Mchome of the Ministry of Education said in the press that they have a shortage of some 27,000 science teachers in the country. Go figure!

You can't depend on managers to run your business in Tanzania. You will need to run the show yourself or they will quickly take you to the cleaners.
Shida iko hapo.....
 
Ebwana wanaJF mzuka!

Hii hali sometimes inanisikitisha sana na inanifanya nitaman homu. Kamwe muafrika mweusi hatutaheshimiwa. Black person is the most least respected person.

Kuna ubaguzi sana wa rangi Scandinavia hata kwenye kuajir low skilled or unskilled labour ama ubebaji boksi. Hawa jamaa wako comfortable sana kufanya kaz na more light skinned person. Inawachukua mda mrefu sana kumuamin nigga kazin.

Mimi niko active kwenye gemu toka mid 2009 wananipenda ndio na kuniamin lakini Hii mentality yao towards black people kwenye kubeba boksi Kamwe haitaisha na inaniuma.

Ila siwalaumu sana utakuta wengi hawajasafir barani au ni mentality waliozaliwa nayo na kulelewa na wazaz wao. Pia manigga kazin ethics za kazi ni zero wizi wizi kutongoza bila mpangilio uvivu kulalamika.

Wanepali Bangladeshi Vietnamese chinese n.k wanatupa upinzan mkubwa.
Pole kwa kuwa mtumwa karne ya 21, kama Viongozi wa nchi yako wangekua na akili ungebebea maboks nyumabi na mambo yakawa safi, kwa rasilimali tulizo nazo hukustahili kuwa mtumwa nchi za watu. ila waliokusababishia watoto wao wako TRA, Bandari, Bank kuu,ikulu na mashirika mengine makubwa na kuiba mabilioni. Hakikisha watoto wako wasije wakawa watumwa kama wewe
 
tayari homu na mainvestment ya hatari na maselfu nimeporomosha licha ya mizinga. I will be back home forever 2025 if god willing ila kauli mbiu yangu ni kubeba boksi na kusave.

Ila nafurahi wadeni au Scandinavian hawazifanyi na hawataki hiz kazi cjui ingekuwaje wote wangelundikana huku tusingepat ajira. Ila wengi wao wanaofanya jikon kama cooks na service line elimu ndogo
Una investments kibao then unasubiri 2025 ndio urudi!!! Sikiliza by the time unarudi utaanza zero,been there done that...Bongo kila kitu ukitaka kuwa successful lazima usimamie mwenyewe ushauiri wangu ni huu 'hope for the best,prepare yourself for the worst'
 
mkuu umenichekesha sana watu ilimradi wakirudi home utasikia "what's up man....been long time nigga! I hv been up and down in NY & LA" wakizani kusema hivyo ni qualifications. NBA barabarani. .......
 
Pole kwa kuwa mtumwa karne ya 21, kama Viongozi wa nchi yako wangekua na akili ungebebea maboks nyumabi[/red] na mambo yakawa safi, kwa rasilimali tulizo nazo hukustahili kuwa mtumwa nchi za watu. ila waliokusababishia watoto wao wako TRA, Bandari, Bank kuu,ikulu na mashirika mengine makubwa na kuiba mabilioni. Hakikisha watoto wako wasije wakawa watumwa kama wewe

Sijui kaandika nini hapa huyu mtu?
 
Mimi nimebeba boksi Oslo na penginepo kule Norway miaka lukuki na sijaona ubaguzi wa aina hiyo unayosema. Nimeosha vyombo, nimefanya landscaping, nime stack groceries, nimekaa cashier kwenye supermarkets nyingi sana, nimesambaza magazeti, etc. Most of the time I got treated with respect.
Mkuu huko Olso mbona nasikia ndio hakufai... Nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa kike aliukimbia mji huo akaenda Tromso kwa sababu alizosema huo mji una ubaguzi sana na most of blacks walikuwa wanauliwa ovyo...
 
Mkuu kila siku naamka saa kumi usiku nakurudi kwangu kwenye shared apartment saa nne usiku ama tano tuko watatu tunashare renting costs.

Nina kazi tatu makampuni tofauti moja ni kuosha Na kufagia supermarket masaa 4 kwa anzia 5am hadi 9am ila nakiingia matatu halaf nazuga kusubir mda uishe hamna complain. Hii nyingine ndio naipenda dishwashing kwenye restaurant ndani ya kampuni kubwa ila siku wanaserve salmon it becomes busy very busy naanza 10am hadi 15:30. Mimi wamwisho kutoka kwasabab inabidi nioshe mashine dishwasher nadhan unafaham haya umeshafanya jikon.

Ya lala salama ni kwenye gerej VEHO ni cleaning very tough job ni six hrs and half hrs job ila nakupigia matano tu Na hamna complain maamae.

Jumamosi nafanya hadi saa kumi jion ila kwenye Hii kampun ya supermarket VEHO Na restaurant hawafungui weekend. Jumapili kama Leo natulia ghetto usaf getto Na laundry.

Kwa mwezi I take 45k + DKK after tax
Mkuu mi sio mwenyeji huko ila nimeshakuja kutembea mara kadhaa, sista angu anaishi kolding na sijawahi kumsikia akilalamika kama wewe,

Halafu mkuu unaji over work sana jamani kwani tatizo nini? Huongei kidenish? Njoo ujaribu Stockholm hata kama ubaguzi upo ila labda ni kwa kiasi kidogo.

Wapo waafrika kibao wanafanya kazi nzuri tu (japo mi sio mmoja wao) sa sijui kwanini we umekwamia hapo tu ambapo unabaguliwa sana.
Rudi shule uongeze elimu kidogo labda itakusaidia.
 
Sipo Scandinavia ila nilishawahi ishi Norway yaani huko unemployment ni ziro na kufanya unskilled jobs ni uamuzi wako tu ,maana kazi za kusomea kozi fupi fupi zipo kibao kwa watu ambao hata secondary hawakumaliza huko Africa,Mtu ukitaka kufanya kazi ya maana kusema ukweli kukosa kwako vyeti vya o level siyo kizuizi
Nakubaliana na wewe, kazi anazofanya huyu jamaa ameamua tu kuzifanya kwavile hataki kusoma tena.
Angekubali kusoma japo kidogo tu kusomea kazi flani basi wangemheshimu, ila yeye badala ya kusoma ameamua kufanya kazi tatu ili apige hela
 
Funny, naona hapa watu wengi wanasema ohh rudini nyumbani. Warudi ili wafanyaje? Watu wanaamua kwenda ulaya na nchi nyingine za ki west, ili kutafuta pesa na a better life. Whether that means financially or better environment or health. Sijui kwa huko Europe, Ila pia marekani nilipo kuna ubaguzi. It's what u do with that and ur attitude towards it, determines your success.

Mimi nilikuja marekani @ 16, now I'm 23. I work as a software engineer in a company, while I dropped of college my sophomore year(mwaka Wa pili) I don't mean to brag(or take it how u want, I would give 2 shits) I make $5000 a month. After taxes I take home about $3800. Hio ni karibia MILLION 7 TSH. After all my bills(and I live in a decent place) I save about 1500 a month. Niambie vijana wangapi wamiaka 24 bongo wanaweza save million 3 kwa mwezi.

Nilovyokuwa nafanya kazi za box(hospital na nyumba za vibibi vizee) ndio nilikua NACHAMBISHA nilikua na make $2500 kwa mwezi. Bado niliua nasave dollar 800 kila mwezi. Nina gari zuri full paid for (Audi A6 2010) and I was only 20 years old. Niambie kijana gani bongo Wa miaka 20 ambaye wazazi si matajiri Ana make million 4 kwa mwezi. Najua wapo, Ila sio wengi. But living in America or other western countries, gives u that opportunity. Bongo nauridigi, najenga nyumba nzuri, nina hela yakutosha kwenye acct CRDB, nina gari mbili. Na kila nikija marafiki zangu wote niliosoma nao(international school) hakuna anaingiza hata million 2 kwa mwezi. Ukitoa wale wamatajiri ambao pesa ni za baba, hakuna yeyote anaefanya kazi yakumuingizia hizo pesa.

So mkiwa mnawamambia watu ohh, rudini kwenu, kwanini mnabaki huko mnaonewa na kubaguliwa. People do it for better incentives than Tanzania can offer!!!

I second you
 
Back
Top Bottom