Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

na Norway ukitaka kubaki baada ya kumaliza shule lazima uwe na kazi na ulichosomea ili wakupe permit. Sweden wamepitisha sheria migrant students wakimaliza nduki. Finland nao wanaintroduced tuition fees kwa migrants. Denmark wenyewe toka zaman wanabana. Ila ukiwa na elimu nzuri na mshahara wako ni tzs 1.8m + huna aja ya kusumbuka kuja huku.

Hivi huko ulaya mademu (sio wamama) wanapenda kweli wanaume wa kiafrika, au ndo ile demu wa ki-norway ku-date na mwafrika inaonekana ni disgrace Copenhagen DN
 
Kopenihageni ukiwa homu vyombo hutaki kuosha Ila huko unakwangua hadi makoko ya sufuria kweli fedha mwanaharamu.
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23]laaa imenibid nichek wallah
 
December 2014 kuna mdada nusu mwarab na mdeni jikon aliiba na kutokomea na hela. Akili zao zote zilijua piga ua zaragaza zika fukua ni mimi niga ila cctv iliokoa
Duh! Wacha tu,sitasahau nikiwa nafanya hotel moja Cork City wacha wapolish waandamane kwa GM eti nimemuibia mgeni cheni na kitabu! Masikini kumbe mgeni alinipa kama zawadi maana alipojua nimetoka tz aliniuliza maswali kibao kuhusu safari nikamwelekeza vizuri.huwezi amini ilibidi wampigie huyo mgeni naye akawatolea uvivu aliwapaka mbaya! Kesho yake nikaacha kazi jumla maana nilisema iko siku ningemtoa mtu macho
 
aliendelea mkuu keasabab ni permanent sehem yake mimi nilikuwa namkavia kama extra worker.

Ila kwa cleaning na dishwashing ni kipaji mkuu. Kwenye cleaning hili umjue mtu is a good cleaner ni Kwenye edges na corners. Wengi wabeba boksi wanapenda kulipua sana kazi. Tuseme nilizaliwa hivyo tu na hiki kipaji.
Bado una beba box????
 
Back
Top Bottom