Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Someni shule mfanye knowlegde work ambazo haziwezi kufanywa na kila mtu, heshima itakuja yenyewe kutokana na kazi mnayoweza kufanya, hata kama ubaguzi hauwezi kuisha kabisa kwani ni human nature.

Mkuu Kiranga, ushauri mzuri huu: kusoma kwa kiwango kizuri taaluma inayoojirika.

Ila ukimsoma mleta mada utamuelewa kwanini yupo kama anavoeleza....
 
mleta maada nimekupenda ila according to maandishi yako inaonekana marafiki zako wengi ni walinzi ,waosha vyombo hang na watu ambao wanafanya skilled jobs zinalipa vizuri kuliko hizi za kuosha vyombo,
 
kosa nililofanya sikuchukulia maanani kusoma lugha mda mwingi kazin. Ila nikishatimiza malengo yangu nitaingia language school na naweza kusomea bus driving carpentry brick laying hata cooking na catering. Mda huo sina still young 26 yrs akili yangu ni hellaaaa
Anza sasa hivi tatizo ukisoma lugha na uksoma kozi za kufanya skilled jobs yaani hutajuta
 
Mie nilipataga chanel Canada ya kupiga box, nakumbuka terms ilikua uweze kulift kama kilo 22.6 ya box na hakuna kukaa kwa masaa 8-9,mwanaume nilikua na machungu nikawa napiga box 2x2, which means nilikua na dabo bila kuchoka alafu napumzika masaa 6 kisha naingia nite masaa 4 kisha naelekea home, but saa 1.40 asbh nipo job, jamaa hawakua na namna zaidi ya kunipeleka kwenye njia niliyoitaka tu sasa(njia ya kupiga pesa) kwa miaka 3 nilipiga pesa ya maana ingawa pesa yenyewe ilienda kuishia reeds tena tena kwa mwezi mmoja tu, sikurudi tena Canada maana nilijua ni pesa za majini.

Mkuu umetishaaaaa....
 
Mkuu hapo hamna namna!!
Huku wabongo tunajua jamaa yuko ulaya so mambo yake yako supa!
Wao huko wanaona noma kurudi home bila mpunga wa maana!! So bora kubeba box tu!!
Du! Inamaana Wewe Umelidhika tu kubaguliwa huko na kufanya kazi za kisengerema , just tu ili uishi ulaya?
kuu
 
" Pia manigga kazin ethics za kazi ni zero wizi wizi kutongoza bila mpangilio uvivu kulalamika."
maneno kama haya niliyasikia kwa Donald Trump! inawezekana kweli ndivyo tulivyo.
Ndivyo ilivyo hata hapa bongo mtu unataka ulipwe mshahara mkubwa bila kazi au kwa kazi ndogo tu, maofisini kazi kulalamika tu
 
Funny, naona hapa watu wengi wanasema ohh rudini nyumbani. Warudi ili wafanyaje? Watu wanaamua kwenda ulaya na nchi nyingine za ki west, ili kutafuta pesa na a better life. Whether that means financially or better environment or health. Sijui kwa huko Europe, Ila pia marekani nilipo kuna ubaguzi. It's what u do with that and ur attitude towards it, determines your success.

Mimi nilikuja marekani @ 16, now I'm 23. I work as a software engineer in a company, while I dropped of college my sophomore year(mwaka Wa pili) I don't mean to brag(or take it how u want, I would give 2 shits) I make $5000 a month. After taxes I take home about $3800. Hio ni karibia MILLION 7 TSH. After all my bills(and I live in a decent place) I save about 1500 a month. Niambie vijana wangapi wamiaka 24 bongo wanaweza save million 3 kwa mwezi.

Nilovyokuwa nafanya kazi za box(hospital na nyumba za vibibi vizee) ndio nilikua NACHAMBISHA nilikua na make $2500 kwa mwezi. Bado niliua nasave dollar 800 kila mwezi. Nina gari zuri full paid for (Audi A6 2010) and I was only 20 years old. Niambie kijana gani bongo Wa miaka 20 ambaye wazazi si matajiri Ana make million 4 kwa mwezi. Najua wapo, Ila sio wengi. But living in America or other western countries, gives u that opportunity. Bongo nauridigi, najenga nyumba nzuri, nina hela yakutosha kwenye acct CRDB, nina gari mbili. Na kila nikija marafiki zangu wote niliosoma nao(international school) hakuna anaingiza hata million 2 kwa mwezi. Ukitoa wale wamatajiri ambao pesa ni za baba, hakuna yeyote anaefanya kazi yakumuingizia hizo pesa.

So mkiwa mnawamambia watu ohh, rudini kwenu, kwanini mnabaki huko mnaonewa na kubaguliwa. People do it for better incentives than Tanzania can offer!!!
 
Sasa muda wa kuingia jf unaupata wap? Au KAMBA TU mambo safi
nyani yule mototo wa mama kwao mbezi beach mambo safi hawez kubeba boks labda cjui. Ila inabidi uwe shupav kwenye gemu cyo mchezo hariff mimi nikiamka saa 10 alfajir kurud ghetto saa nne ama tano ucku. Katika hii hali inabidi uwe mentally stable. Hili ufaidike katika kubeba boksi lazima uwe huna elimu kama mimi kwenu ulipotoka umepitia hali ngumu na ufukara. Lakini ukija huku eti una kadigrii halaf uliacha ajira homu ilikuwa inakulipa fresh imekula kwako
 
hapana sikwenda beba box,ila mtu kama maisha yake ni mzuri nje kuliko akiwa bongo ni bora abebe box kuliko aje kuwa machinga bongo


Kweli kabisa japo si rahisi mpaka kufika kubeba box bila connection la sivyo ujitoe kufa kupona!
 
Narudia tena na tena...Tatizo la wabongo wengi walioko majuu na walioko huko bongo ni UVIVU na kupenda raha bila kuzifanyia kazi...Magufuli ana kazi sana.!!!
 
Umefuata nini huko?, rudi nyumbani mnatia aibu tu huko ugenini, njoo ulime na kufuga huku utapata maisha mazuri bila kudhalilishwa na mtu.
 
Ukweli kuwa waafrika kuanzia muonekano tabia uwajibikaji ni zero baadhi yetu au wengi wetu,soko la ajira duniani linashikwa na wahindi,philipino,bangladesh,na whites wengine kwa sababu jamaa wanakwenda kwa nia ya kazi kweli sio sisi vichwa vinawaza mambo elfu kwa wakati mmoja,mtu akipata chance atatongoza mpaka mke wa boss na watoto,akipata chance ataiba mpaka pen ,hatuaminiki kwa tabia zetu ,nenda nchi nyingi duniani utawajua waafrika kwanza kwa uvaaji wa hovyo kabisa usio na mpangilio,muonekano wa kiwizi wizi tu,
lazima kwanza tubadilike ndio tuje kulalamika hapa ,vinginevyo tutaishia kubeba box na kufanya kazi za security tu duniani
 
Back
Top Bottom