Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
20,234
47,000
Ebwana wanaJF mzuka!

Hii hali sometimes inanisikitisha sana na inanifanya nitamani homu. Kamwe muafrika mweusi hatutaheshimiwa. Black person is the most least respected person.

Kuna ubaguzi sana wa rangi Scandinavia hata kwenye kuajiri low skilled or unskilled labour ama ubebaji boksi. Hawa jamaa wako comfortable sana kufanya kazi na more light skinned person. Inawachukua mda mrefu sana kumuamini nigga kazini.

Mimi niko active kwenye gemu toka mid 2009 wananipenda ndio na kuniamini lakini hii mentality yao towards black people kwenye kubeba boksi kamwe haitaisha na inaniuma.

Ila siwalaumu sana utakuta wengi hawajasafiri barani au ni mentality waliozaliwa nayo na kulelewa na wazazi wao. Pia manigga kazini ethics za kazi ni zero wizi wizi kutongoza bila mpangilio uvivu kulalamika.

Wanepali Bangladeshi Vietnamese chinese n.k wanatupa upinzani mkubwa.
 
Hey samahani kwanza mkuu

Hivi box ndani zina nini?! au box ni lugha ya picha tu kazi ni kuzibua mambo yetu yalee

Samahan lakini.
 
Pole sana mkuu sio Scandinavia tu. Box la UK ni full ubaguzi hasa Kaskazini Miji ya Newcastle,Sunderland Leeds etc inabidi uwe na ngozi ngumu kuvumilia. Nafuu sana London sijaona ubaguzi.
 
Hey samahani kwanza mkuu

Hivi box ndani zina nini?! au box ni lugha ya picha tu kazi ni kuzibua mambo yetu yalee

Samahan lakini.
mkuu kubeba boksi ni kufanya kazi inayohitaj elimu ndogo kabisa ama uzoefu mdogo ama bila elimu ama uzoefu. Kama cleaning dishwashing housekeeping seasonal agricultural kubeba snow wakati wa winter chicken processing construction kubeba zege. Lakin hasa hasa cleaning na dishwashing
 
Ebwana wanaJF mzuka!

Hii hali sometimes inanisikitisha sana na inanifanya nitaman homu. Kamwe muafrika mweusi hatutaheshimiwa. Black person is the most least respected person.

Kuna ubaguzi sana wa rangi Scandinavia hata kwenye kuajir low skilled or unskilled labour ama ubebaji boksi. Hawa jamaa wako comfortable sana kufanya kaz na more light skinned person. Inawachukua mda mrefu sana kumuamin nigga kazin.

Mimi niko active kwenye gemu toka mid 2009 wananipenda ndio na kuniamin lakini Hii mentality yao towards black people kwenye kubeba boksi Kamwe haitaisha na inaniuma.

Ila siwalaumu sana utakuta wengi hawajasafir barani au ni mentality waliozaliwa nayo na kulelewa na wazaz wao. Pia manigga kazin ethics za kazi ni zero wizi wizi kutongoza bila mpangilio uvivu kulalamika.

Wanepali Bangladeshi Vietnamese chinese n.k wanatupa upinzan mkubwa.
Mie nimependa hapo most least respected.
Kuhusu ubebaji mabox ni shida saana. Ukitaka labda uvizie zile shift ngumu ambazo jamaa hawazifagilii. Yaani anti-social hours. Maisha ya magharibi kwa kweli ni magumu saana kwa wageni. Labda kama upo huko ili watoto wako wapate elimu ya kueleweka.
 
Pole sana mkuu sio Scandinavia tu. Box la UK ni full ubaguzi hasa Kaskazini Miji ya Newcastle,Sunderland Leeda etc inabidi uwe na ngozi ngumu kuvumilia. Nafuu sana London sijaona ubaguzi.
kuna rafik yangu mnepali alikuwa mwanafunz London alinisimuli hivyo hivyo. Ila anadai Copenhagen bomba sana ila ghali. Anasema London ni cheaper na multicultural. Unapata msosi wa homu kwenu kiurais hata kwenye marestaurant
 
Ebwana wanaJF mzuka!

Hii hali sometimes inanisikitisha sana na inanifanya nitaman homu. Kamwe muafrika mweusi hatutaheshimiwa. Black person is the most least respected person.

Kuna ubaguzi sana wa rangi Scandinavia hata kwenye kuajir low skilled or unskilled labour ama ubebaji boksi. Hawa jamaa wako comfortable sana kufanya kaz na more light skinned person. Inawachukua mda mrefu sana kumuamin nigga kazin.

Mimi niko active kwenye gemu toka mid 2009 wananipenda ndio na kuniamin lakini Hii mentality yao towards black people kwenye kubeba boksi Kamwe haitaisha na inaniuma.

Ila siwalaumu sana utakuta wengi hawajasafir barani au ni mentality waliozaliwa nayo na kulelewa na wazaz wao. Pia manigga kazin ethics za kazi ni zero wizi wizi kutongoza bila mpangilio uvivu kulalamika.

Wanepali Bangladeshi Vietnamese chinese n.k wanatupa upinzan mkubwa.

Acha upumbavu. Kwani huko ni kwako? Mhindi ataheshimiwa kama anabeba boksi Nakumatt au kuuza samaki ferry (achilia mbali Mzungu)?
 
Mie nimependa hapo most least respected.
Kuhusu ubebaji mabox ni shida saana. Ukitaka labda uvizie zile shift ngumu ambazo jamaa hawazifagilii. Yaani anti-social hours. Maisha ya magharibi kwa kweli ni magumu saana kwa wageni. Labda kama upo huko ili watoto wako wapate elimu ya kueleweka.
mkuu ni kweli. Kwa maoni yangu nchi za Scandinavian ni the best to live due to their social welfare. Ila wanatuenslave indirectly. Ila hapa Denmark if you work hard and smart kwenye hizi hizi za kubeba boksi mkwanja wa maana unaingiza though they heavily tax you.
 
Acha upumbavu. Kwani huko ni kwako? Mhindi ataheshimiwa kama anabeba boksi Nakumatt au kuuza samaki ferry (achilia mbali Mzungu)?
heshima yako mkuu. Angalau wangetuonyesha utu. Mimi naosha vyombo kwenye restaurant flan toka 2011. Wafanyakaz wengi wanakuja na kuondoka na kuniacha. Lakini wakiongea na wewe wanacheka kwa nje ila every move u make wako keen.
 
mkuu kubeba boksi ni kufanya kazi inayohitaj elimu ndogo kabisa ama uzoefu mdogo ama bila elimu ama uzoefu. Kama cleaning dishwashing housekeeping seasonal agricultural kubeba snow wakati wa winter chicken processing construction kubeba zege. Lakin hasa hasa cleaning na dishwashing

Mkuu ahsante sana nimekuelewa nlikua naona ni ngumu kua unabeba box tu begani kila siku kumbe ni mambo mengi ahsante
 
December 2014 kuna mdada nusu mwarab na mdeni jikon aliiba na kutokomea na hela. Akili zao zote zilijua piga ua zaragaza zika fukua ni mimi niga ila cctv iliokoa
Du! Inamaana Wewe Umelidhika tu kubaguliwa huko na kufanya kazi za kisengerema , just tu ili uishi ulaya?
 
Acha upumbavu. Kwani huko ni kwako? Mzungu ataheshimiwa kama anabeba boksi Nakumatt au kuuza samaki ferry?
heshima yako mkuu. Angalau wangetuonyesha utu. Mimi naosha vyombo kwenye restaurant flan toka 2011. Wafanyakaz wengi wanakuja na kuondoka na kuniacha. Lakini wakiongea na wewe wanacheka kwa nje ila every move u make wako keen.
Mimi nimebeba boksi Oslo na penginepo kule Norway miaka lukuki na sijaona ubaguzi wa aina hiyo unayosema. Nimeosha vyombo, nimefanya landscaping, nime stack groceries, nimekaa cashier kwenye supermarkets nyingi sana, nimesambaza magazeti, etc. Most of the time I got treated with respect.
 
December 2014 kuna mdada nusu mwarab na mdeni jikon aliiba na kutokomea na hela. Akili zao zote zilijua piga ua zaragaza zika fukua ni mimi niga ila cctv iliokoa
Du! Inamaana Wewe Umelidhika tu kubaguliwa huko na kufanya kazi za kisengerema , just tu ili uishi ulaya?
 
heshima yako mkuu. Angalau wangetuonyesha utu. Mimi naosha vyombo kwenye restaurant flan toka 2011. Wafanyakaz wengi wanakuja na kuondoka na kuniacha. Lakini wakiongea na wewe wanacheka kwa nje ila every move u make wako keen.
Hapo pakutabasamu kwa nje ndio nawapendea wazungu unaweza fikiri wanakupenda kumbe hakuna kitu kabisa. They know how to belove someone.
 
Back
Top Bottom