Bro pia mimi Oslo trondheim na bergen nimeish kidogo na kubeba boksi. Ubaguz hupo chunguza vizur inawachukua muda kuwa na trust na nigga kazin. Egon Oslo nimepiga boksi Chinese palace restaurant galaria Bergen nimepiga boksi. Egon restaurant trondheim nimepiga boksiMimi nimebeba boksi Oslo na penginepo kule Norway miaka lukuki na sijaona ubaguzi wa aina hiyo unayosema. Nimeosha vyombo, nimefanya landscaping, nime stack groceries, nimekaa cashier kwenye supermarket, nimesambaza magazeti, etc. Most of the time I got treated with respect.
Cc: W. J. MalecelaRudi home ukainvest bana wengi walio rudi wako mbali.
hwatupendi kabisa hawa watu ila basi tu hasa wazungu wanaume. Wewe hata wale masecurity guards wakija kuchukua hela kwenye safe masanduku yao yameandikwa kwa kiingereza siyo kidenish kwa nini?Hapo pakutabasamu kwa nje ndio nawapendea wazungu unaweza fikiri wanakupenda kumbe hakuna kitu kabisa. They know how to belove someone.
tayari homu na mainvestment ya hatari na maselfu nimeporomosha licha ya mizinga. I will be back home forever 2025 if god willing ila kauli mbiu yangu ni kubeba boksi na kusave.Rudi home ukainvest bana wengi walio rudi wako mbali.
Bro pia mimi Oslo trondheim na bergen nimeish kidogo na kubeba boksi. Ubaguz hupo chunguza vizur inawachukua muda kuwa na trust na nigga kazin. Egon Oslo nimepiga boksi Chinese palace restaurant galaria Bergen nimepiga boksi. Egon restaurant trondheim nimepiga boksi
Pole sana mkuu shukrani sana nimekuelewa komaa nao tu ipo siku
Du! Inamaana Wewe Umelidhika tu kubaguliwa huko na kufanya kazi za kisengerema , just tu ili uishi ulaya?[/QUOTE
Wangapi Kiranga hapa waafrika wanaphd masters na degree wanabeba boksiSomeni shule mfanye knowlegde work ambazo haziwezi kufanywa na kila mtu, heshima itakuja yenyewe kutokana na kazi mnayoweza kufanya, hata kama ubaguzi hauwezi kuisha kabisa kwani ni human nature.
mkuu hapo ulipokuwa unaosha vyombo ulikuwa muafrika muhamiaji pekee yako? Hapakuwa na waasia ufanye comparisonMimi sioni kwanini some Norwegian person would have any problems with a professional dishwasher who happens to be African. Wakubague kwa kitu gani? Nimekaa sana Norway, 16 plus years, and I know that's not how most Norwegians behave towards Black people.
halaf ubaguz naomanisha si hule hadi unatemewa mate cjui u gat my pointMimi sioni kwanini some Norwegian person would have any problems with a professional dishwasher who happens to be African. Wakubague kwa kitu gani? Nimekaa sana Norway, 16 plus years, and I know that's not how most Norwegians behave towards Black people.
mkuu utaratibu wa kufika na kupata ajira ukoje huko?..nataka kuja kusaka maisha huko ulaya, nifanyie mpango mkuu!tayari homu na mainvestment ya hatari na maselfu nimeporomosha licha ya mizinga. I will be back home forever 2025 if god willing ila kauli mbiu yangu ni kubeba boksi na kusave.
Ila nafurahi wadeni au Scandinavian hawazifanyi na hawataki hiz kazi cjui ingekuwaje wote wangelundikana huku tusingepat ajira. Ila wengi wao wanaofanya jikon kama cooks na service line elimu ndogo
kitu kinchokupa 20 dkk per hr kwann usikwangue vyombo kwa weledi. Nani bongo atakulipa elfu 40k + per hr nani?Kopenihageni ukiwa homu vyombo hutaki kuosha Ila huko unakwangua hadi makoko ya sufuria kweli fedha mwanaharamu.
Kwa nini?Wangapi Kiranga hapa waafrika wanaphd masters na degree wanabeba boksi
Bro now Europe is not easy to reach and get work like b4. Hasa hapa Denmark wana very harsh hostile and hard immigration policies kuliko nchi zote za Nordic. Very harsh. Thx god I made it earlier Ila nisikukatishe tamaamkuu utaratibu wa kufika na kupata ajira ukoje huko?..nataka kuja kusaka maisha huko ulaya, nifanyie mpango mkuu!
Jigo
teh teh teh nyani ngabu anaishia kuandika tu USA BABY ! mfukoni hana hata mia...wazungu hawataki abebe box zao anawaibia sana..amebaki kufuatilia NBA kwenye tv za barabaraniNyani Ngabu mbeba box wa US tupe experience ya pande hizi,we na Kiranga mmeishia kukariri dictionary tu,dolaz hakuna
mkuu we inaonesha ni mzoefu sana nchi za ulaya huko, so unaweza kunipa idea namna ya kuishi huko na kupenyeza ndani ya mifuko ya wenyejiBro now Europe is not easy to reach and get work like b4. Hasa hapa Denmark wana very harsh hostile and hard immigration policies kuliko nchi zote za Nordic. Very harsh. Thx god I made it earlier Ila nisikukatishe tamaa