Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

mimi nawashaurini mrudi home hapa tufanye mapinduzi kwenye vitu kama kilimo na kuanzisha processing industries kwa mazao yetu, tuache kutaka mteremko huko hadi tunadhalilika hadi basi
This is real talk G.. Nafikiria tu 60% ya wabeba box wakirudi na mikwanja yao, wakashirikiana na hawa vijana wanaotoka vyuo vikuu na kutaka kujiajiri lakini wanakosa mikopo, wakaenda mashambani huko kupiga kazi tena pamoja na exposure ya hawa wabeba box tukapata na processing industries bila shaka nchi yetu itaanza kukimbia kama zile za Far East..
 
Mkuu huko Olso mbona nasikia ndio hakufai... Nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa kike aliukimbia mji huo akaenda Tromso kwa sababu alizosema huo mji una ubaguzi sana na most of blacks walikuwa wanauliwa ovyo...

Khaa! Hiyo siyo kweli. I've lived elsewhere in Norway and I can tell you Oslo is the most tolerant and cosmopolitan city in the country. Most immigrants choose to live in Oslo compared to other cities in Norway. Tromsø is not a place an average African person would want to live because of very cold and dark winters.
 
Kuna kazi flan ya kufagia ya masaa matatu jion nilikuwa namkavia rafik yangu mnepali mwez mmoja alipata dharura na mimi nilikuwa likizo ilikuwa kusafisha showrooms ya valkswagen na KIA. Licha ya kusafisha show room wana dining room kitchen na toilets zote nilikuwa nuclean siku za kwanza walikuwa wafanyakaz humo wananiangalia with strange looks nakuwaona wananifuatilia sana ila sikumaind kwasababu nawajua sana hawa watu.

Siku ya pili cctv iliwekwa jikon nikasema kazi ipo. Nikiwapa hi wanakausha nami nikawapotezea. Wiki ya kwanza nilikuwa naenda slow. The following week nikawa namaliza mapema sometimes 20 mins or 15 mins to go.

Baada ya wiki mbili mmoja wa wafanyakaz humo akaanza kuwa karibu nakuniongelesha nimetoka nchi gani. Akaniambia tangu uwanze hapa pamekuwa pasafi sana hasa kwenye corners na edges. Ndio akaniuliza unamudu vipi kwasababu zamani kidogo mdenmark alikuwa anafanya hapo tena masaa sita hakumudu kampuni yao ikanyanganywa kontrakti kwasababu ya complains. Cha kushangaza kampuni hii nyingine nilipokuwa namkavia mnepali mnepali anafanya 3hrs. Mniga mimi nakupigia China ya matatu maamae na hamna complains ni indirect slavery kabisa

Cc Benny
Hahahaaa
We ni noma
Aisee nimecheka kwa nguvu mpaka najishanga!!
 
This is real talk G.. Nafikiria tu 60% ya wabeba box wakirudi na mikwanja yao, wakashirikiana na hawa vijana wanaotoka vyuo vikuu na kutaka kujiajiri lakini wanakosa mikopo, wakaenda mashambani huko kupiga kazi tena pamoja na exposure ya hawa wabeba box tukapata na processing industries bila shaka nchi yetu itaanza kukimbia kama zile za Far East..


Tatizo nchi hii haijaweka mazingira mazuri ya kufanya kama ulivyoshauri.badala ya kukusapoti ili ukitoka atakuwa umepunguza tatizo la ajira kwani utatoa ajira kwa vijana wenzako wao ndo watataka wakupige hela,yaan kabla hata hujaanzaisha mradi robo ya mtaji itakuwa imeteketea na bila Hivyo huwezi kuanza.
Yaani kabla ya kuanzisha mradi lazima utembelee hasara.lazima utenge fungu la wakubwa.hii ndo inafanya vijana wetu wengi waendelee kuwa wachuuzi.mtu katafuta la hela kake kwa shida let say miaka 15 anapiga box,kabahatika kusave USD laki mbili,kabla ya kuanza anajikuta USD 50 elf itakuwa imepotea,sasa kwanini asichukue frem kariakoo akaanza kuchuuza kutoka uchina kwa hiyo 50 na nyingine akaisunda benki ikazaa mdo mdo
 
Australia, Kanada na New Zealand wanaweza kukupa viza ya kuishi huko kwa elimu yako.

Kuna vitu viwili vya kuzingatia. Uzoefu wa kazi na muda gani umefanya kazi. Umesema huna uzoefu, itakuwa vigumu kukidhi vitu wanavyohitaji.

Lazima ufanye kazi katika fani yako siyo chini ya miaka mitano.

Lazima ufanye mtihani wa Kiingereza kwa kuwa ni Mtanzania.

Angalia Logistics katika tovuti zao kama wanahitaji. Kuna fani nyingi na zinabadilika kila mwaka.

Utapata police clearance katika wizara ya mambo ya ndani ( gorofa la tatu) kwa kuwapa fingerprints zako, baada ya wiki, unapewa barua yako inayosema wewe ni raia mwema.

Utafanya ukaguzi wa afya yako na daktari wao. Utaambiwa wapi ukifanikiwa.

Tayarisha Transcripts za masomo yako ya sekondari na Chuo .

Lazima pia ujipange kulipa gharama. Viza ni $1000-2000. ( permanent , baada ya miaka 4-5, unaweza kuomba uraia wao).

Lazima uwe na uwezo wa $20,000 benki. Huwezi kuomba misaada ya serikali ukifika huko mpaka uwe raia.

Google " Canada / Australia immigration" halafu soma somo wanalolihitaji katika listi yao.

Kama somo lako, halipo, unaweza kusoma masomo mengine katika listi.
Kuna wakati walikuwa wanahitaji mpaka vinyozi wa nywele huko na wapishi. Ukipenda unaweza kusoma upishi Kama ipo kwenye listi.

Dunia ya Leo ni ndogo sana. Kuna nchi nyingi unaweza kufanya kazi. Ni kujipanga tu.

Ukiwa na swali, usichoke kuuliza.

Good Luck.
Mkuu
Mimi nipo tofauti na wewe, Canada sio lazima uwe na experience kubwa kuomba working visa. Kitu kikubwa zaidi ni elimu, jengine wanakuangalia income yako at that moment at list uwe na 3000 dola hata Australia.

Kuna website moja ya American inaitwa lottery visa, wanatoa kila mwaka visa hizo, vigezo vyao uwe na elimu kuanzia f6, ukiwa na kazi wakati unaomba ndio big opportunities. Ni njia moja ya kukufahamu wewe mchapa kazi.

Wakati unaomba itachukua muda wa miezi 2-3 kupata majibu, ukifanikiwa wanakutumia form ujaze na kuwatumia America back. Watahitaji true information ulizo jaza online including education proved.

Baada ya hapo utatumiwa barua au phone call ubalozi wa America nchi uliopo kwa appointment, na hapo Watahitaji evidence ya elimu, barua kutoka kwa employer wako, visa gharama 600-1000 dola ya miaka 5

Nina rafiki yangu dada mmoja yupo America alipata kwa njia hio na alipewa na watoto Wake green card. Uzuri kama una family ukibahatika unachukua family yako mke wa watoto.

Kuomba maombi ni free, na kama malipo ni ubalozini ana kwa ana, kuweni waangalifu ma website zisizo official.
 
Kweli mkuu kumake ni popote iwe bongo au Nje, am only 23 nipo bongo I make more than 5000$ a month ni mjasiamali nimeinvest kwenye real estate, construction na nataraji kuinvest kwenye online real estate this year. Natoka kwenye familia ya kawaida sana..but I made it. Kutoka ni akili tu...
Kweli mkuu, mi nishaona business moja huko bongo naenda China mwaka huu kuchukua videndea kazi, laki 5 to 1milion kwa siku ipo.
 
Nafanya biashara Tanzania, products zangu zinatoka Denmark, vijana fungukeni macho.... Copenhagen DN kuna fursa huko ziangalieni, ningekutumia tusaidiane unfortunately na deal na producer directly!


Mkuu unaleta Biadhaa Gani toka Huko denmark!!

Jigo
 
Kuna mtu kaongea jambo la maana hapo juu. "Kwamba wana diaspora wa bongo, wangerudi bongo na waka weka pesa zao collectively na kushirikiana na vijana wa vyo n.k". Good Point, but one MAJOR problem. WATANZANIA! Sisi wabongo, nitwatu wagumu sana kubadilika, kujaribu kubadilika au kukubali mabadiliko na kuambatana nayo. WE SIMPLY DON'T WANT TO EVOLVE! I don't mean to generalize Tanzanian people as a whole, but the majority of us that i have run into- personally and in business ni watu wa ajabu sana.

1. Sisi ni wavivu sana. Mara nyingi naona watanzania wenzangu, tunapenda kukata kona sana. Tunapenda ujanja ujanja, deal deal, mishen town nyingi. Sikatai tusiwe wajanja, basi tujielimishe basi. Unaenda bongo, unakutana na "real estate" agent. Maujanja kibao, maneno kibao, sasa muulize maswali utaona anavyobabiaka. Unakutana na mtu anasema yeye mjasiriamali. Sawa, haya niambie biashara gani umefanya, umeanzaje, uko wapi sasa. Sikiliza hizo porojo. Tuache ubabaishaji na kutaka kukata kona in everything. Success doesn't happen over night. YOU HAVE TO TOIL FOR IT!

2. Watanzia wengi ARE NOT visionaries. I have ran into a lot of successful(financially) Tz folks, and very few were/are visionaries. Kuona mbali na kupanga mikakati ya mbali, haipo kwenye DNA yetu. But we can learn, and learning doesn't have to be in school. Mtu unakutana nae bongo, unamwambia i have 5 Thousand USD, i want to invest in your company(true story) but before i do that, tell me your goals with this business. Where do you see yourself in 5 years? Anasema ohh, mi bwana, mi bwana nataka tu nifanye biashara(true answer) ok, najua hilo so tell me the vision of your business? Ah bwana unajua hali kwa sasa... Maelezo mengi but nothing coherent. Na usiseme oh labda ulimuuliza kwa kingereza na alikua haelewi. NOP! Though i prefer English as my language of business, i understand sio wote wanaongea kingereza. Na you don't have to be fluent in English to be a good business person. So i spoke swahili with them.

3. Most of the Tanzanian's i've met... Abroad and back home, hatupendi kujiendeleza kimasomo, kifikira, hata kinteligencia. We simply don't evolve. Humans as species, we had to evolve to get where we are now. It's a continuous thing, and us Tanzanians are stuck in the same spot. Ndio mana mpaka leo, bado tunaajiri foreigners to build our country. Yes we recieve less foreign aid, but nionyeshe barabara bongo iliojengwa na watanzania peke yao. From Engineers, planners, surveyors, etc. Bila mzungu yeyote! What do we manufacture, that has impact in our daily lives? Most of the things we need, we import. Sisemi we can't do it, but we have to change our mindset before we get there. Mtu bongo hata ku google tatizo. REALLY??!! it's 2016 for pits sake. Sisemi ujue yote, but how about you push yourself to learn more about the information world we live in?

Hili, lisikukatishe tamaa kufanya biashara nyumbani. But you have to spend extra time to seek people(very few) with vision, raw talent and desire to evolve. So kwa huyo mtu aliesema hapo juu, kuhusu watu wabeba box waende bongo na kusaidia vijana etc. I think it's a great point, but also due to the lack of certain things it's also a very flawed point.

P.S Funny thing about evolving. Jamii Forums imekua for how long now? about 5-8 Years( i could be wrong) lakini bado the site has the most ridiculous bugs to date. The comment section is a mess, it lags, the latency sucks. Huwezi andika an message inbox, back to back. YOU HAVE TO WAIT a few seconds? REALLY? They couldn't write a simple code to execute that? The page is all over the place. SIIPONDEI, i am simply just showing you, how we can do it different but i don't think a few things like that bugs us. DETAILS. WE IGNORE THEM.

Kwa wale mnaopenda, ingieni. www.reddit.com muangalie wenzetu wanavyo execute simple forum websites of today. And maybe learn a thing or two, and we develope our own or make this one better.
 
Tatizo nchi hii haijaweka mazingira mazuri ya kufanya kama ulivyoshauri.badala ya kukusapoti ili ukitoka atakuwa umepunguza tatizo la ajira kwani utatoa ajira kwa vijana wenzako wao ndo watataka wakupige hela,yaan kabla hata hujaanzaisha mradi robo ya mtaji itakuwa imeteketea na bila Hivyo huwezi kuanza.
Yaani kabla ya kuanzisha mradi lazima utembelee hasara.lazima utenge fungu la wakubwa.hii ndo inafanya vijana wetu wengi waendelee kuwa wachuuzi.mtu katafuta la hela kake kwa shida let say miaka 15 anapiga box,kabahatika kusave USD laki mbili,kabla ya kuanza anajikuta USD 50 elf itakuwa imepotea,sasa kwanini asichukue frem kariakoo akaanza kuchuuza kutoka uchina kwa hiyo 50 na nyingine akaisunda benki ikazaa mdo mdo
Ikiwa biashara bongo huwezi kusimamia or kama huna experience bora mtu usifanye, wengi wetu tunafikiria kuwa na pesa ndio kila kitu ukifanya business, kumbe ni kwenda kula hasara.

Advice yangu kwa wale wasio kuwa na damu ya biashara kama wapemba or wakinga na makabila mengine, bora nunua viwanja vizuri na vya kupima kwa serikali, jenga vila au apartment pangisha or bungalow pangisha, bongo ukiwa na majengo ya maana eneo zuri kwa kila nyumba kwa mwezi dola kuanzia 1000-3000 inategemea na location.

Just imagine una apartment 4 mbezi or mikoa mengine huko sijafika anyway kila moja unavuta 1500 dola kwa mwezi! Per year kiasi gani mkuu? Na umasikini mijengo 4 ya samani dola laki mbili! Kwa mwaka dola 50 unazo safi.
 
Khaa! Hiyo siyo kweli. I've lived elsewhere in Norway and I can tell you Oslo is the most tolerant and cosmopolitan city in the country. Most immigrants choose to live in Oslo compared to other cities in Norway. Tromsø is not a place an average African person would want to live because of very cold and dark winters.
Wewe utakuwa ni mzungu, kama siyo jinamizi za uzunguaji linakunyemelea
 
Ikiwa biashara bongo huwezi kusimamia or kama huna experience bora mtu usifanye, wengi wetu tunafikiria kuwa na pesa ndio kila kitu ukifanya business, kumbe ni kwenda kula hasara.

Advice yangu kwa wale wasio kuwa na damu ya biashara kama wapemba or wakinga na makabila mengine, bora nunua viwanja vizuri na vya kupima kwa serikali, jenga vila au apartment pangisha or bungalow pangisha, bongo ukiwa na majengo ya maana eneo zuri kwa kila nyumba kwa mwezi dola kuanzia 1000-3000 inategemea na location.

Just imagine una apartment 4 mbezi or mikoa mengine huko sijafika anyway kila moja unavuta 1500 dola kwa mwezi! Per year kiasi gani mkuu? Na umasikini mijengo 4 ya samani dola laki mbili! Kwa mwaka dola 50 unazo safi.
Imagine apartment moja imekugharimu $200,000 au tufanye $100,000 halafu kwa mwezi unapangisha upate $2000.....Wakati kuna mtu kariakoo ana ka fremu hela hio anapata kwa siku mbili au tatu kwa mzigo usiozidi $50,000!
 
Mkuu mi sio mwenyeji huko ila nimeshakuja kutembea mara kadhaa, sista angu anaishi kolding na sijawahi kumsikia akilalamika kama wewe,

Halafu mkuu unaji over work sana jamani kwani tatizo nini? Huongei kidenish? Njoo ujaribu Stockholm hata kama ubaguzi upo ila labda ni kwa kiasi kidogo.

Wapo waafrika kibao wanafanya kazi nzuri tu (japo mi sio mmoja wao) sa sijui kwanini we umekwamia hapo tu ambapo unabaguliwa sana.
Rudi shule uongeze elimu kidogo labda itakusaidia.

Dada hivi ile 'application' yangu uliitupa dust bin eeh? lol

Application TWO: mwaya njoo unichukue namimi nije kubeba box huko. Teh teh teh

miss you sana dada lake
 
Imagine apartment moja imekugharimu $200,000 au tufanye $100,000 halafu kwa mwezi unapangisha upate $2000.....Wakati kuna mtu kariakoo ana ka fremu hela hio anapata kwa siku mbili au tatu kwa mzigo usiozidi $50,000!
Like I said business sio jambo la kila mtu kufanya, nakubaliana na point yako, lakini ikiwa jee mtu huna experience or huna damu ya biashara? unaweza kujikuta pesa ina yoyoma tu.

Kumbuka nyumba ni assets isio Hamishika, ukijenga kwa 50 thousands dola unapangisha 2000 kwa mwezi kwa mwaka 24 elf, nyumba always inapanda thamani hizi za kileo kutokana na demand kuongezeka kila siku.

Jengine hii business haina presha, just sitting at home and thinking what to do next
 
heshima yako mkuu. Angalau wangetuonyesha utu. Mimi naosha vyombo kwenye restaurant flan toka 2011. Wafanyakaz wengi wanakuja na kuondoka na kuniacha. Lakini wakiongea na wewe wanacheka kwa nje ila every move u make wako keen.
Kweli una moyo wa kupenda kuchekewa na wazungu. Wenzio wanakuja na kusepa. Sasa wewe wamekulisha zile dawa za kwetu? Tatizo waafrika hatujiamini. Kama mtu anakudharau na wewe mdharau.
 
[QUOTE="Miunda, post: 15122334, member: 243020"]Like I said business sio jambo la kila mtu kufanya, nakubaliana na point yako, lakini ikiwa jee mtu huna experience or huna damu ya biashara? unaweza kujikuta pesa ina yoyoma tu.

Kumbuka nyumba ni assets isio Hamishika, ukijenga kwa 50 thousands dola unapangisha 2000 kwa mwezi kwa mwaka 24 elf, nyumba always inapanda thamani hizi za kileo kutokana na demand kuongezeka kila siku.

Jengine hii business haina presha, just sitting at home and thinking what to do next[/QUOTE]

Inatakiwa uwe na business mentality....na jinsi risk inavyokuwa kubwa ndio faida inavyokuwa kubwa, watu wengi wenye elimu hawa take risk kwahio inawachukua muda sana kufanikiwa,ila wale wakinga kariakoo shule less wanajilipua tu miaka miwili mitatu bilionea!
 
Back
Top Bottom