Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

nchi zote za ulaya ukizaa mtoto kama wewe huna permit ya kuishi ni untaendelea na status yako hiyo hiyo,labda mama au baba wa mwanao awe citizen wa hiyo nchi
status yangu ni strong I came here in the grounds of family ties my woman Brought me here bt some little understanding nikala kona. Naweza kuwa sina elimu ila nina natural akili.
 
Wangapi Kiranga hapa waafrika wanaphd masters na degree wanabeba boksi
Lakini, tukiangalia zaidi tatizo sio kisomo bali ni rangi, wameshaliona hilo kua hata weusi wana elimu lkn bado kutengwa kuko pale pale.
 
nchi zote za ulaya ukizaa mtoto kama wewe huna permit ya kuishi ni untaendelea na status yako hiyo hiyo,labda mama au baba wa mwanao awe citizen wa hiyo nchi
hapa ukiwa na mtoto ndio iwe kigezo cha kumisbehave wanakudepot
 
Ila wabeba boksi samtimes wanachekesha. Kuna mcameroon mmoja alikuwa anasafisha supermarket sasa kwenye service line wanauza kuku sheria ni kwamba ikibaki lazima itupwe dogo akatupa zingine zingine akaenda nazo cleaning room akajifungia na kuanza kula usingizi ukamshika na mda wake wa kazi ukapita na alarm imesetiwa saa 5 usik.

Mwengine mghana alikuwa anafanya cleaning na ile mashine kubwa unayoendesha huku umekaa. Jamaa alikuwa anaendesha huku anakunywa bia ya kopo kila mara na wanamuona kwenye cctv. Ilibid hafukuzwe. Bosi wa supermarket akamuambia supervisor wa kampuni waliyopewa tender hataki tena mwafrika kwenye supermarket

Hahahahahaha na kuna jamaa alikua anapiga kazi kichizi ila hana passport bibi flan akamchukua akawa anapiga kazi za home pale jamaa si akaanza kumchapa yule bibi na mtoto wake bibi alipogundua akamlengesha uhamiaji tu
 
umeulizwa umefanya investiments zipi bongo?ila pia mtu bora uende shule kuna course za miezi sita unaweza somea hata kujenga majengo ,na wanalipwa vizuri kuliko hizo kazi za kusha vyombo
je baada ya kusoma hizo kozi naweza kulipwa zaid ya elf 40 kwa saa?
 
shule kwa vyeti vipi? Ningekuwa na vyeti walau O level Ningekuwa. Nchi gan hupo scandinavia?
Sipo Scandinavia ila nilishawahi ishi Norway yaani huko unemployment ni ziro na kufanya unskilled jobs ni uamuzi wako tu ,maana kazi za kusomea kozi fupi fupi zipo kibao kwa watu ambao hata secondary hawakumaliza huko Africa,Mtu ukitaka kufanya kazi ya maana kusema ukweli kukosa kwako vyeti vya o level siyo kizuizi
 
Tunaomba kisa chako pia Victoire kama na wewe ulikua unabeba box au

Samahani lakini.
 
Angalia sasa. Wewe kwa kweli you're not worthy of any meaningful intellectual discussion. Some low life from Bongo unajiona umelamba bingo kwa kupata kazi ya kuosha vyombo Denmark.
kweli nilipokuwa bongo nilikuwa low life. Kwa maisha niliyonayo sasa hivi nimelamba bingo. Kwa taarifa yako hundreds of thousands desperately wanavuka Mediterranean kutoka afrika walau wapate nafas kama yangu. So am lucky
 
status yangu ni strong I came here in the grounds of family ties my woman Brought me here bt some little understanding nikala kona. Naweza kuwa sina elimu ila nina natural akili.
Hapa sikuongelei wewe,ila nilikuwa naongelea ile hoja ya kuzaa mtoto ulaya huku mtu hana makaratasi
 
Sipo Scandinavia ila nilishawahi ishi Norway yaani huko unemployment ni ziro na kufanya unskilled jobs ni uamuzi wako tu ,maana kazi za kusomea kozi fupi fupi zipo kibao kwa watu ambao hata secondary hawakumaliza huko Africa,Mtu ukitaka kufanya kazi ya maana kusema ukweli kukosa kwako vyeti vya o level siyo kizuizi
kosa nililofanya sikuchukulia maanani kusoma lugha mda mwingi kazin. Ila nikishatimiza malengo yangu nitaingia language school na naweza kusomea bus driving carpentry brick laying hata cooking na catering. Mda huo sina still young 26 yrs akili yangu ni hellaaaa
 
Sipo Scandinavia ila nilishawahi ishi Norway yaani huko unemployment ni ziro na kufanya unskilled jobs ni uamuzi wako tu ,maana kazi za kusomea kozi fupi fupi zipo kibao kwa watu ambao hata secondary hawakumaliza huko Africa,Mtu ukitaka kufanya kazi ya maana kusema ukweli kukosa kwako vyeti vya o level siyo kizuizi
Norway mji gani
 
Hahahahahaha na kuna jamaa alikua anapiga kazi kichizi ila hana passport bibi flan akamchukua akawa anapiga kazi za home pale jamaa si akaanza kumchapa yule bibi na mtoto wake bibi alipogundua akamlengesha uhamiaji tu
Ngozi hii black shida sana
 
nyani yule mototo wa mama kwao mbezi beach mambo safi hawez kubeba boks labda cjui. Ila inabidi uwe shupav kwenye gemu cyo mchezo hariff mimi nikiamka saa 10 alfajir kurud ghetto saa nne ama tano ucku. Katika hii hali inabidi uwe mentally stable. Hili ufaidike katika kubeba boksi lazima uwe huna elimu kama mimi kwenu ulipotoka umepitia hali ngumu na ufukara. Lakini ukija huku eti una kadigrii halaf uliacha ajira homu ilikuwa inakulipa fresh imekula kwako

Umejibu vizuri sana....
 
Back
Top Bottom