Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

Hahahahaha nachokukubali ni unajua kuwanyoosha mkuu unajua kilichokupeleka na unajua kuwahandle hao wabaguzi hahahahah kwa jinsi hiyo hata mnepali uliyemkavia angeweza kupoteza hiyo ajira yake vipi alivyorudi aliendelea hapo hapo?
aliendelea mkuu keasabab ni permanent sehem yake mimi nilikuwa namkavia kama extra worker.

Ila kwa cleaning na dishwashing ni kipaji mkuu. Kwenye cleaning hili umjue mtu is a good cleaner ni Kwenye edges na corners. Wengi wabeba boksi wanapenda kulipua sana kazi. Tuseme nilizaliwa hivyo tu na hiki kipaji.
 
Bado wewe ni baba yake tu,acha walee,ila kuishi na mzungu ni kazi;Kuna baba mmoja mzungu madeni yalizidi akauwa mke na wanae watatu na yeye akajimaliza.
bills hizo yani ni hatari. Usione hata vijana wanakimbilia syiria eti kupigania imani hamna kitu kama iyo . Wanatoroka bills maamae. Croditors wako very aggressive wakikudai.

Ila wanasumbua sana wazungu nimeshuhudia waafrika wengi wenye wapenzi wakizungu wanavyozabwa makofi really such a shit life.
 
aliendelea mkuu keasabab ni permanent sehem yake mimi nilikuwa namkavia kama extra worker.

Ila kwa cleaning na dishwashing ni kipaji mkuu. Kwenye cleaning hili umjue mtu is a good cleaner ni Kwenye edges na corners. Wengi wabeba boksi wanapenda kulipua sana kazi. Tuseme nilizaliwa hivyo tu na hiki kipaji.

Ndio mkuu kwa haraka haraka mtu utaona ni kazi rahisi yenye pesa nyingi kumbe sio hustling ni nyingiii then una meet na wabongo wengine huko au mikausho mikali?!
 
Bado wewe ni baba yake tu,acha walee,ila kuishi na mzungu ni kazi;Kuna baba mmoja mzungu madeni yalizidi akauwa mke na wanae watatu na yeye akajimaliza.
vipi ushawahi kupanda hule mnara mrefu kama air control pale na kuona mji wa trondheim vizuri. Ushatembelea lile kanisa lilojengwa 12th century. Bado ninayo kadi ya bibliotek trondheim dah nimepamiss lini wewe utarud huko
 
Ndio mkuu kwa haraka haraka mtu utaona ni kazi rahisi yenye pesa nyingi kumbe sio hustling ni nyingiii then una meet na wabongo wengine huko au mikausho mikali?!
huo mda wakumeet na wabongo cna na wengi hawanifaham. Ila wabongo wengi wana allergy nakubeba boks. Mmoja namjua yeye anafaya masaa sita tu fagio kwa siku j3 hadi jmos ataki kujiumiza sana aliniambia anapata kwa mwez baada ya kodi 13,400 dkk 4m madaf
 
Daah wabongo sisi tatizo kila mahali

Komaa tu mkuu wapo walioenda kushangaa majengo na kungoja zali la kuoa watoto kutoka royal families
 
Kuna kazi flan ya kufagia ya masaa matatu jion nilikuwa namkavia rafik yangu mnepali mwez mmoja alipata dharura na mimi nilikuwa likizo ilikuwa kusafisha showrooms ya valkswagen na KIA. Licha ya kusafisha show room wana dining room kitchen na toilets zote nilikuwa nuclean siku za kwanza walikuwa wafanyakaz humo wananiangalia with strange looks nakuwaona wananifuatilia sana ila sikumaind kwasababu nawajua sana hawa watu.

Siku ya pili cctv iliwekwa jikon nikasema kazi ipo. Nikiwapa hi wanakausha nami nikawapotezea. Wiki ya kwanza nilikuwa naenda slow. The following week nikawa namaliza mapema sometimes 20 mins or 15 mins to go.

Baada ya wiki mbili mmoja wa wafanyakaz humo akaanza kuwa karibu nakuniongelesha nimetoka nchi gani. Akaniambia tangu uwanze hapa pamekuwa pasafi sana hasa kwenye corners na edges. Ndio akaniuliza unamudu vipi kwasababu zamani kidogo mdenmark alikuwa anafanya hapo tena masaa sita hakumudu kampuni yao ikanyanganywa kontrakti kwasababu ya complains. Cha kushangaza kampuni hii nyingine nilipokuwa namkavia mnepali mnepali anafanya 3hrs. Mniga mimi nakupigia China ya matatu maamae na hamna complains ni indirect slavery kabisa

Cc Benny
Hivi hii kweli au stori tu..Ila kama ni kweli nakupongeza. Tahadhari; hizo kazi ni ''hazardous''kwa sababu unakuwa ''exposed' 'na ma- chemicals ya usafi n.k. Ndo maana wazungu wanazi avoid. Baada ya muda fulani utaanza kuathirika. Ni vizuri uanze kupunguza masaa ya kazi na kufikiria hata kuziacha. Kama umeshajenga msingi mzuri wa investment basi rudi uanze hizo kazi hapa. Anzisha kampuni ya cleaning na uuzaji wa bidhaa zinazo husiana na cleaning.
Hao wa scandinavia usiwashangae..ndio wazungu wa kwanza kutoka continental Europe kufanya biashara ya kuuza watumwa. Jengo lao lipo pale Ghana..Linaitwa Cape Coast Castle.
Cape Coast Castle - Wikipedia, the free encyclopedia
 
mkuu ni kweli kabisa. Ila hizi chemical ni hatari kama suma gel force usipovaa gloves inakuharibu mikono. Hii suma gel inang'arisha hadi metal. Kuna window glass cleaner nayo siyo nzuri bali wanadai ni eco friendly. Ila ikitokea umeshika chemical au ymemwagikiwa usijioshe na maji ya moto ni baridi tena sana itakusaidia.

Ushaur wako ni mzur mkuu hizi kazi nazo zinachosha kama mimi maisha yangu kama robot njia na routes ni ile lifestyle ni ile ile hata kama hela unapata. Ila 2020 siyo mbali Ndio target yangu na malengo.
 
aliendelea mkuu keasabab ni permanent sehem yake mimi nilikuwa namkavia kama extra worker.

Ila kwa cleaning na dishwashing ni kipaji mkuu. Kwenye cleaning hili umjue mtu is a good cleaner ni Kwenye edges na corners. Wengi wabeba boksi wanapenda kulipua sana kazi. Tuseme nilizaliwa hivyo tu na hiki kipaji.
aliendelea mkuu keasabab ni permanent sehem yake mimi nilikuwa namkavia kama extra worker.

Ila kwa cleaning na dishwashing ni kipaji mkuu. Kwenye cleaning hili umjue mtu is a good cleaner ni Kwenye edges na corners. Wengi wabeba boksi wanapenda kulipua sana kazi. Tuseme nilizaliwa hivyo tu na hiki kipaji.

Jee ukirudi bongo na elevated cleaning skills zako za kidanish-danish pamoja na sanduku zako mbili za nguo unaweza kupata kazi ya supervisor spiknspan?
 
Funny, naona hapa watu wengi wanasema ohh rudini nyumbani. Warudi ili wafanyaje? Watu wanaamua kwenda ulaya na nchi nyingine za ki west, ili kutafuta pesa na a better life. Whether that means financially or better environment or health. Sijui kwa huko Europe, Ila pia marekani nilipo kuna ubaguzi. It's what u do with that and ur attitude towards it, determines your success.

Mimi nilikuja marekani @ 16, now I'm 23. I work as a software engineer in a company, while I dropped of college my sophomore year(mwaka Wa pili) I don't mean to brag(or take it how u want, I would give 2 shits) I make $5000 a month. After taxes I take home about $3800. Hio ni karibia MILLION 7 TSH. After all my bills(and I live in a decent place) I save about 1500 a month. Niambie vijana wangapi wamiaka 24 bongo wanaweza save million 3 kwa mwezi.

Nilovyokuwa nafanya kazi za box(hospital na nyumba za vibibi vizee) ndio nilikua NACHAMBISHA nilikua na make $2500 kwa mwezi. Bado niliua nasave dollar 800 kila mwezi. Nina gari zuri full paid for (Audi A6 2010) and I was only 20 years old. Niambie kijana gani bongo Wa miaka 20 ambaye wazazi si matajiri Ana make million 4 kwa mwezi. Najua wapo, Ila sio wengi. But living in America or other western countries, gives u that opportunity. Bongo nauridigi, najenga nyumba nzuri, nina hela yakutosha kwenye acct CRDB, nina gari mbili. Na kila nikija marafiki zangu wote niliosoma nao(international school) hakuna anaingiza hata million 2 kwa mwezi. Ukitoa wale wamatajiri ambao pesa ni za baba, hakuna yeyote anaefanya kazi yakumuingizia hizo pesa.

So mkiwa mnawamambia watu ohh, rudini kwenu, kwanini mnabaki huko mnaonewa na kubaguliwa. People do it for better incentives than Tanzania can offer!!!

Siyo kweli, Tanzania hailipi mshahara mzuri.
Inategemea elimu yako umeitoa wapi na muda wa kazi nje.

Leo ukiwa na elimu nzuri, hasa kutoka EU au Marekani/ Canada unapewa mshahara mzuri sana pamoja na nyumba. Full package.

Rafiki zangu waliorudi, wote wanafanya kazi wenyewe au wameajiriwa katika sekta binafsi. Wote wanaingiza kati ya $5000-120,000 kwa mwezi. Sekta wanazofanya kazi ni za simu, madini, sheria na udaktari.

Ni vigumu, ulaya, kuuza vocha za simu, halafu upate commission ya $5900 kwa mwezi. TZ ni kawaida sana na Superdealer anaingiza $120,000 au zaidi kwa mwezi.

Binafsi, nimezoea Tokyo, nitazikwa huku.
 
Ndo mana nikasema sio wengi vijana wanaomake hizo hela. Asilimia kubwa they don't. Ninaanza kuwekeza bongo, najua pana hela but that's if you have a high demanding job, ama income to invest.

Japan wanasemaje, my father used to live there about 15 yrs ago. Great country, very clean country. Unaongea lugha?
 
mkuu ni kweli. Kwa maoni yangu nchi za Scandinavian ni the best to live due to their social welfare. Ila wanatuenslave indirectly. Ila hapa Denmark if you work hard and smart kwenye hizi hizi za kubeba boksi mkwanja wa maana unaingiza though they heavily tax you.
mkuu naomba mwongozo. nikihitaji kuja Copen kwa mfano.. napitia formula zipi?
 
Du! Inamaana Wewe Umelidhika tu kubaguliwa huko na kufanya kazi za kisengerema , just tu ili uishi ulaya?
Hatupo kwa kuishi tupo kwa kutafuta, the of the day rudi home mjengo wa maana, usafiri, business, hawa jamaa wazungu ni masikini kuliko waafrica, kwani system yao ni ngumu sana at muafrica ukifa una banda, lakini wao zaidi ya madeni ya mortgage.
 
Ndo mana nikasema sio wengi vijana wanaomake hizo hela. Asilimia kubwa they don't. Ninaanza kuwekeza bongo, najua pana hela but that's if you have a high demanding job, ama income to invest.

Japan wanasemaje, my father used to live there about 15 yrs ago. Great country, very clean country. Unaongea lugha?

Huwezi kupata kazi bila kujua lugha yao. Hawajui Kiingereza.

Japan safi lakini wana ubaguzi pia kama nchi yoyote ile. Ila wanaheshimu sana sheria, elimu na usafi.

Kama unataka kuwekeza Tanzania, fanya sasa hivi. Baadae itakuwa vigumu kupata faida kubwa.

Biashara rahisi ni vocha Commission, hasa Superdealership.
The profit margins are too good to last much longer.

Usingoje mpaka fremu ziwe na kodi kama za Saks Avenue.
 
Tell me more about vocha commission? I invest in stocks. I own a few thousand shares of CRDB, NMB, TBL na TCC. I am trying to start a Venture Capitalist company, sema ni vigumu kufanya hivyo from afar.
 
Back
Top Bottom