- Thread starter
- #101
naam huyo huyo wizara ya mafuta sitaki kulitaja jina lake full. Dada smart na msomi. Ulikuwa unasoma NTNU nini . Dah zile student apartments pale ukielekea coop marketFrida yule dada mgeologia?namfahamu
naam huyo huyo wizara ya mafuta sitaki kulitaja jina lake full. Dada smart na msomi. Ulikuwa unasoma NTNU nini . Dah zile student apartments pale ukielekea coop marketFrida yule dada mgeologia?namfahamu
Mengine tureserve ,tusiyaongelee hapa,kwa nini uliondoka norway?ukaenda huko kwa wabaguzi Dernmark?naam huyo huyo wizara ya mafuta sitaki kulitaja jina lake full. Dada smart na msomi. Ulikuwa unasoma NTNU nini . Dah zile student apartments pale ukielekea coop market
Ukirudi nibebe turudi woteFunny, naona hapa watu wengi wanasema ohh rudini nyumbani. Warudi ili wafanyaje? Watu wanaamua kwenda ulaya na nchi nyingine za ki west, ili kutafuta pesa na a better life. Whether that means financially or better environment or health. Sijui kwa huko Europe, Ila pia marekani nilipo kuna ubaguzi. It's what u do with that and ur attitude towards it, determines your success.
Mimi nilikuja marekani @ 16, now I'm 23. I work as a software engineer in a company, while I dropped of college my sophomore year(mwaka Wa pili) I don't mean to brag(or take it how u want, I would give 2 shits) I make $5000 a month. After taxes I take home about $3800. Hio ni karibia MILLION 7 TSH. After all my bills(and I live in a decent place) I save about 1500 a month. Niambie vijana wangapi wamiaka 24 bongo wanaweza save million 3 kwa mwezi.
Nilovyokuwa nafanya kazi za box(hospital na nyumba za vibibi vizee) ndio nilikua NACHAMBISHA nilikua na make $2500 kwa mwezi. Bado niliua nasave dollar 800 kila mwezi. Nina gari zuri full paid for (Audi A6 2010) and I was only 20 years old. Niambie kijana gani bongo Wa miaka 20 ambaye wazazi si matajiri Ana make million 4 kwa mwezi. Najua wapo, Ila sio wengi. But living in America or other western countries, gives u that opportunity. Bongo nauridigi, najenga nyumba nzuri, nina hela yakutosha kwenye acct CRDB, nina gari mbili. Na kila nikija marafiki zangu wote niliosoma nao(international school) hakuna anaingiza hata million 2 kwa mwezi. Ukitoa wale wamatajiri ambao pesa ni za baba, hakuna yeyote anaefanya kazi yakumuingizia hizo pesa.
So mkiwa mnawamambia watu ohh, rudini kwenu, kwanini mnabaki huko mnaonewa na kubaguliwa. People do it for better incentives than Tanzania can offer!!!
dah dada yangu wee acha. Mimi elimu yangu ndogo sana ila ikija kazi za manual labour nine huo utaalam na weled. Napiga kazi kwa bidii na umakini. Sehem zote nilizofanya kazi wananipenda sana.Mengine tureserve ,tusiyaongelee hapa,kwa nini uliondoka norway?ukaenda huko kwa wabaguzi Dernmark?
Ningekua bongo, I don't think I'd be able to afford a $4000 speaker system. Or a bachelor pad like this, @ 23. I'm sure It can be done, but it would be way harder than it is now for me over here. Sipadiss bongo. Bongo ni nyumbani, na kurudi nitarudi. Sitoki kwenye familia duni, so sihangahiki huku ilinitume hela kwa baba na mama. But I have a chance of a better life financially in the states than I do in bongo. Kumbuka sina hata degree. Na huku, u can make it without a degree. Yes it's harder, but very much attainable!
nyumbani ndio kila mara watu tunarudi ila siyo mazimaaaUmefuata nini huko?, rudi nyumbani mnatia aibu tu huko ugenini, njoo ulime na kufuga huku utapata maisha mazuri bila kudhalilishwa na mtu.
mkuu samahan Kwa Kukudistab naomba Unipe story ya life lako ulipokuwa NORWAY japo kwa ufupiMengine tureserve ,tusiyaongelee hapa,kwa nini uliondoka norway?ukaenda huko kwa wabaguzi Dernmark?
dah dada yangu wee acha. Mimi elimu yangu ndogo sana ila ikija kazi za manual labour nine huo utaalam na weled. Napiga kazi kwa bidii na umakini. Sehem zote nilizofanya kazi wananipenda sana.
Head cook ama chef wa restaurant flan Copenhagen ni raia wa Spain tulifanya naye kaz na akanikubali sana katika dishwashing. Alipata kazi trondheim Egon akahama nakuniita. Nimefanya hapo six months ila kulikuwa na msuguano kidogo akaacha. Mimi nikarudi Copenhagen. Sasa hiv jamaa tena ni head chef hard rock café Zurich alishaniambia nikitaka kwenda kazi huko mda wowote tu.
Ila nimeshapazoea Copenhagen kwasana tuu. Nimepamiss trondheim sana nakumbuka mamishenari madada wa kike wa Mormon kutoka marekan walinibana na injili yao ya ajab nje ya trondheim torg karib na macdonalds hadI nikabatizwa pale Mormon church.
nimeipenda hiyo mkuu safi sana!Ningekua bongo, I don't think I'd be able to afford a $4000 speaker system. Or a bachelor pad like this, @ 23. I'm sure It can be done, but it would be way harder than it is now for me over here. Sipadiss bongo. Bongo ni nyumbani, na kurudi nitarudi. Sitoki kwenye familia duni, so sihangahiki huku ilinitume hela kwa baba na mama. But I have a chance of a better life financially in the states than I do in bongo. Kumbuka sina hata degree. Na huku, u can make it without a degree. Yes it's harder, but very much attainable!
Kwa maneno yako haya nimeamini home sweet home. Yaani unafanya kazi nao tokea 2009 mpaka 2004 bado tu hawakujui tabia yako. Bro tafuta kiwanja chengine hapo hapafai.December 2014 kuna mdada nusu mwarab na mdeni jikon aliiba na kutokomea na hela. Akili zao zote zilijua piga ua zaragaza zika fukua ni mimi niga ila cctv iliokoa
naomba nami Husisahau kunitag mkuuMkuu you real made my day nafuatilia kila "quote" yako nafurahi mawazo yanapaa nakuona kila hatua aiseee
Inabidi uwe unaniita na kunitag kila unapozungumzia story za kubeba box niliwahi kupanga miaka hiyo nasoma kwamba nikizingua form four tu nizamie kwenye box bahat mbaya nikachaguliwa high school ndoto zote za box zikapotea na hazirudi tens that's why am so interested with this
naomba nami Husisahau kunitag mkuu
26 Yrs Mkuu Lugha Ni Kiswahili Ila English Siko deep ki vle!Okay usijal mkuu nakuona bado una moto wa kwenda kubeba box
Samahan una miaka mingapi na kama hutajali unazungumza lugha ngapi?!
Mimi nilikwenda kwa norad ,kila kitu ilikuwa juu yao na nilipomaliza kilichonipeleka nilirudi nyumbani,kama unataka kwenda kuishi huko hilo ni jambo lingine,kufanya kazi huko ni mpaka uwe na kibali cha kuishi huko.NA KWENDA HUKO NI MPAKA UWE NA VISA NA KUPATA VISA HAPO NDO KAZI MIMI NILIKWENDA KAMA MWANAFUNZI TUmkuu samahan Kwa Kukudistab naomba Unipe story ya life lako ulipokuwa NORWAY japo kwa ufupi
1:uliweza vp kufka huko?
2:Ni Mambo gan Muhimu ya kuzingatia kabla ya kwenda huko
3:ulifanya kazi gani na ulipataje hiyo kazi?
4:vp gharama za maisha huko hasa chakula na makazi
samahani kwa mda wako Mkuu Ila Nitashukuru Sana kama Utanisaidia kwa hili japo kwa ufupi tu!
Ahsante
Jigo
Ebwana wanaJF mzuka!
Hii hali sometimes inanisikitisha sana na inanifanya nitaman homu. Kamwe muafrika mweusi hatutaheshimiwa. Black person is the most least respected person.
Kuna ubaguzi sana wa rangi Scandinavia hata kwenye kuajir low skilled or unskilled labour ama ubebaji boksi. Hawa jamaa wako comfortable sana kufanya kaz na more light skinned person. Inawachukua mda mrefu sana kumuamin nigga kazin.
Mimi niko active kwenye gemu toka mid 2009 wananipenda ndio na kuniamin lakini Hii mentality yao towards black people kwenye kubeba boksi Kamwe haitaisha na inaniuma.
Ila siwalaumu sana utakuta wengi hawajasafir barani au ni mentality waliozaliwa nayo na kulelewa na wazaz wao. Pia manigga kazin ethics za kazi ni zero wizi wizi kutongoza bila mpangilio uvivu kulalamika.
Wanepali Bangladeshi Vietnamese chinese n.k wanatupa upinzan mkubwa.
Bro ukweli ni huu hapa. Sasa hivi ufanikiwe kuja ulaya ni mbili tu kuoa ama shule baas. Mimi nilikuja huku nikawa on my late teens sasa hiv na 26 yrs kama wewe. Vizio hao mamama ya kizungu ondoa mshipa wa aibu piga saundi. Wagambia wengi wamekuja huku kwa njia iyo iyo maamaee26 Yrs Mkuu Lugha Ni Kiswahili Ila English Siko deep ki vle!
Jigo
LAKINI si umeelewa mkuu?piga kimya kimya tumost least....
Duh huo msisitizo babu kubwa!
..