Kiranga wasomi wengi wahamiaj Denmark wanatoroka. Wana green card scheme yao maproffesional waliokuja na iyo scheme really walijikuta wanabeba boksi. Inamuia vigumu mtu mwenye elimu kubwa kutoka kwao na alikuwa na reliable employment anakuja kuosha vyombo it's so sad and mental torture. Kuna wengine nawafaham wamebidi waende Finland kusomea unesi na ni masters holders kwasabab nasikia huko hata kwa wahamiaj waliokujA DK na Green card schemes wanapewa nafas ya kusomea unes hapa hamna iyo.Kwa nini?
Ukiwa na Ph.D halafu unabeba boksi, ama umetaka mwenyewe tu ama Ph.D yako ni suspect.
Tatizo si aibu, tatizo ni kubaguliwa.Kiranga wasomi wengi wahamiaj Denmark wanatoroka. Wana green card scheme yao maproffesional waliokuja na iyo scheme really walijikuta wanabeba boksi. Inamuia vigumu mtu mwenye elimu kubwa kutoka kwao na alikuwa na reliable employment anakuja kuosha vyombo it's so sad and mental torture. Kuna wengine nawafaham wamebidi waende Finland kusomea unesi na ni masters holders kwasabab nasikia huko hata kwa wahamiaj waliokujA DK na Green card schemes wanapewa nafas ya kusomea unes hapa hamna iyo.
Kwa iyo mimi mwenye elimu ya ubabaishaj sina mshipa wa aibu
Kwa hiyo umefanya "investments" gani za maana Bongo na minimum wage yako kama professional dishwasher huko Denmark? Mimi sioni lolote la maana unaloweza kua-achieve by way of investments hapa Tanzania kwa kazi kama hiyo Scandinavia.mkuu kubeba boksi ni kufanya kazi inayohitaj elimu ndogo kabisa ama uzoefu mdogo ama bila elimu ama uzoefu. Kama cleaning dishwashing housekeeping seasonal agricultural kubeba snow wakati wa winter chicken processing construction kubeba zege. Lakin hasa hasa cleaning na dishwashing
halaf ubaguz naomanisha si hule hadi unatemewa mate cjui u gat my point
Angalia sasa. Wewe kwa kweli you're not worthy of any meaningful intellectual discussion. Some low life from Bongo unajiona umelamba bingo kwa kupata kazi ya kuosha vyombo Denmark.Kuna mlinzi flan rafiki yangu kwenye supermarket alinichekesha sana. Aliniambia wakiwa ofisini kwenye CCTV nigga akiingia tu ndani supermarket attention ya ajab ya kufuatilia nyendo zake ni ya hali ya juu. Na wala siyo mwiz. Unakuta wazungu nao wanaiba tu
Mie nilipataga chanel Canada ya kupiga box, nakumbuka terms ilikua uweze kulift kama kilo 22.6 ya box na hakuna kukaa kwa masaa 8-9,mwanaume nilikua na machungu nikawa napiga box 2x2, which means nilikua na dabo bila kuchoka alafu napumzika masaa 6 kisha naingia nite masaa 4 kisha naelekea home, but saa 1.40 asbh nipo job, jamaa hawakua na namna zaidi ya kunipeleka kwenye njia niliyoitaka tu sasa(njia ya kupiga pesa) kwa miaka 3 nilipiga pesa ya maana ingawa pesa yenyewe ilienda kuishia reeds tena tena kwa mwezi mmoja tu, sikurudi tena Canada maana nilijua ni pesa za majini.
Mkuu kila siku naamka saa kumi usiku nakurudi kwangu kwenye shared apartment saa nne usiku ama tano tuko watatu tunashare renting costs.Kwa hiyo umefanya "investments" gani za maana Bongo na minimum wage yako kama professional dishwasher huko Denmark? Mimi sioni lolote la maana unaloweza kua-achieve by way of investments hapa Tanzania kwa kazi kama hiyo Scandinavia.
bado wanadebate iyo ishu. Ni nchi ambayo hata ukizaa mtoto huna guarantee ya kuishiHuko Denimark ni wabaguzi tu juzi nimesikia wanataka wakimbizi wenye dolars 1000 na kuendelea wazikabidhi ili zitumike kuwasaidia,ila pia ubaguzi unaanzia moyoni mwako as unajihisi kubaguliwa,huko pia hakuna unemployment hivyo kazi za box zitakuwa nyingi na wadenish watakuwa hawafanyi kazi chafu
nchi zote za ulaya ukizaa mtoto kama wewe huna permit ya kuishi ni untaendelea na status yako hiyo hiyo,labda mama au baba wa mwanao awe citizen wa hiyo nchibado wanadebate iyo ishu. Ni nchi ambayo hata ukizaa mtoto huna guarantee ya kuishi
Ila wabeba boksi samtimes wanachekesha. Kuna mcameroon mmoja alikuwa anasafisha supermarket sasa kwenye service line wanauza kuku sheria ni kwamba ikibaki lazima itupwe dogo akatupa zingine zingine akaenda nazo cleaning room akajifungia na kuanza kula usingizi ukamshika na mda wake wa kazi ukapita na alarm imesetiwa saa 5 usik.Huwa napenda sana story za wabeba box visa ni vingi na pesa ni nyingi pole anyway
acha matusi mkuu siyo vizuri hataki kido. Nilipokuwa bongo hata laki ilikuwa shida sasa hivi naingiza mamiloni kwanini nisijivunie? Huoni iyo siyo hatua kubwaAngalia sasa. Wewe kwa kweli you're not worthy of any meaningful intellectual discussion. Some low life from Bongo unajiona umelamba bingo kwa kupata kazi ya kuosha vyombo Denmark.
shule kwa vyeti vipi? Ningekuwa na vyeti walau O level Ningekuwa. Nchi gan hupo scandinavia?umeulizwa umefanya investiments zipi bongo?ila pia mtu bora uende shule kuna course za miezi sita unaweza somea hata kujenga majengo ,na wanalipwa vizuri kuliko hizo kazi za kusha vyombo