Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,044
- 60,237
wewe uliowa mzungu ndo akakupeleka huko?Bro ukweli ni huu hapa. Sasa hivi ufanikiwe kuja ulaya ni mbili tu kuoa ama shule baas. Mimi nilikuja huku nikawa on my late teens sasa hiv na 26 yrs kama wewe. Vizio hao mamama ya kizungu ondoa mshipa wa aibu piga saundi. Wagambia wengi wamekuja huku kwa njia iyo iyo maamaee