Ya Mungu mengi... Ya kilwete machacheHakika tukamuombee Mama SSH -2025-2030
Last time mtu aliniita PM urgently akaenda kunipiga kizinga,waalaykumu ssalaamu warahmatullahi wabarakaatuh.
kwamba Dr. Mariposa ni muislamu? If so ukitulia kuna jambo ntakushauri utaniPM inshaallah, urgently.
Karibu sana JoanahUzi makini kama huu haukutakiwa kuwa jukwaa la chitchat
Asante Dr. Mariposa kwa kutukumbusha ibada
Jf sio wajinga kuuweka huu uzi hapa broh Joanah Wanajua dk mda wowote anakichafuaUzi makini kama huu haukutakiwa kuwa jukwaa la chitchat
Asante Dr. Mariposa kwa kutukumbusha ibada
Nilijifunika vizuri kabisa Husninyo, shukran kwa ukumbushoAsante kutukumbusha. Hakikisha nywele umezifunika. Kila nywele yako moja itayoonekana ni sawa umezini na mwanaume mmoja.
Na kwako piaaaaa🤗Jumaa Kareem Dr. Mariposa 🦅
Mitizamo gani nilonayo ambayo inanitoa kwenye uislam?Dr mitazamo yako na dini ya uislamu ni mbingu na ardhi.
Mimi nilijua wewe ni mkristo au mpagani. Wewe na Cocastic na genge lako hamna mitazamo inayofanana na uislamu kumaanisha ninyi si Waislamu
Biriyani lipo nyumbani, karibu sana kipenzi🤗Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh, naomba mualiko wa Biriyani baada ya mshuko wa Ijumaa, kanzu yangu nyeupe inaning'inia pale juu inasubiri simu moja tu, lol
Mitizamo gani nilonayo ambayo inanitoa kwenye uislam?
Ndio maana nilipata asalaam aleykum nyingi kumbe siri ni udiiiii☺️😂Ila daktari huo udi mmh! utasababisha watu wasahau dua, 😍😄
Hii post yako ingependeza pia kuyaombea mataifa ya kiislamu changamoto wanazopitia kutoka kwa makafiri, hususan ndugu zetu wapalestina, ila umetaja taifa lako bila kuwataja na kuwaombea ndugu zetu wana gaza na palestina kwa ujumla+mataifa ya kiislamu.Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana nywele zangu na kuzibana vizuri, navaa Abaya langu huyoooo safari ya kwenda msikitini, nitakuwepo msikiti wa Ngazija safu ya mbele kabisaaaaa,
Nawaomba waumini wa dini ya kiislam kwenda msikitini au hata nyumbani tuitumie hii siku kusali na kumuomba Mungu atujaalie Amani, Upendo, Uvumilivu na Utulivu katika taifa letu,
Pia tuitumie siku hii kuwaombea marehemu wote waliotutangulia,
Nawatakia Aljumaa Kareem.
Nawapenda wote.
Ndio inifanye nisiwe muislam? wapi pameandikwa kua mtu akiwa feminist au homosexual anakua sio muislam?1. Feminism
2. Mapenzi ya jinsia moja.
Wakubwa zako tukiwa tunaongea wewe jifunze kunyamaza, sawa dogo?"He without a sin should cast the first stone, we should look in the mirror and double check our appearance.
Nimewaombea Wamatumbi wenzangu, tunaoelewana lugha, wapalestina wananijua mimi? angalau hata ungesema ndugu zetu wa CongoHii post yako ingependeza pia kuyaombea mataifa ya kiislamu changamoto wanazopitia kutoka kwa makafiri, hususan ndugu zetu wapalestina, ila umetaja taifa lako bila kuwataja na kuwaombea ndugu zetu wana gaza na palestina kwa ujumla+mataifa ya kiislamu.
اللهم انصر اخواننا المسلمين في فلسطين