Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,847
- 19,512
Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana nywele zangu na kuzibana vizuri, navaa Abaya langu huyoooo safari ya kwenda msikitini, nitakuwepo msikiti wa Ngazija safu ya mbele kabisaaaaa,
Nawaomba waumini wa dini ya kiislam kwenda msikitini au hata nyumbani tuitumie hii siku kusali na kumuomba Mungu atujaalie Amani, Upendo, Uvumilivu na Utulivu katika taifa letu,
Pia tuitumie siku hii kuwaombea marehemu wote waliotutangulia,
Nawatakia Aljumaa Kareem.
Nawapenda wote.