Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Your mother is very corrupt. That money was put into her personal account and so it was her money given from a wrong hand. When things gets worse now she is cheating the community at large that money was a donation for the school. YOUR MOTHER IS A DAY LIGHT THIEF.
 
Mama yake japo kapiga Dili la 1.6 billion lakini huwa hana Roho mbaya sana ni mtu poa na hafanani Tabia na Mwanae kabsa, Tambua kuwa huyo mwanae ni Mtu mwenye Roho mbaya sana ndugu wa mama Tibaijuka huwa hawaendi pale anapokaa kwani wanajua hapendi ndugu na ni Mchoyo hakuna Mfano.

Hivyo eeeh itabidi nimvizie pahali nimpe nakoz zake, sisi wa uswahilini hatutwiti ni vitendo tu
 
B1HgTD7IEAA1aKQ.jpg:large

Acha kurusha matusi bhanaaa

wanawake wenye vipara huwa wana matatizo
 
Mkulu hizo nyumba walizojengewa si ni zaooo???... sasa wewe unatuambia sisi ili itusaidie nini.... labda kama zitauzwa ili waturudishie mkwanja waliochota.....
siku nyingine usirudie kutuambia story za kinyonge kama hizo.....

makavu live
 
Your mom should have known the procedures of receiving and declaring donations as a public servant. She is not new in the game.

Failure to know the pertaining public servant procedures warrants her to be dumped and be investigated thoroughly. She should have known better.
 
...Huyu binti nae yuko kwenye email hii hapa chini yenye kuonyesha mtandao mzima wa Ruge...kukiwemo mawaziri na maofisa kibao wa JK....Huu ukoo wa panya inasikitisha rais alivyopambana kuusafisha... ktibaijuka@gmail.com

duh!!,hii ni babkubwa.
 
nchi hii ina safari ndefu sana ya kujitambua,mama ana anajuta kuingia kuongoza wajinga

Mjinga mwenyewe..... wewe unaona huyo mama anachukua hela za watu huku akijua maadili hayamruhusu akiwa kama kiongozi halafu wewe unamsaidia... unaona yeye ana akili kuwazidi wananchi.....
 
.. laki si pesa acha kushobokea mijizi....kuwa na nyumba marekani unaona ni wao tu ndy wanayo.....kunawabongo kibao wanazo na wamenunua kwa nguvu zao syo hao ccm mpaka watuibie ndy wapate mali
 
Last edited by a moderator:
Ugly B*ch

We are tired of daylight looting.

So Get some life
 
Your mom should have known the procedures of receiving and declaring donations as a public servant. She is not new in the game.

Failure to know the pertaining public servant procedures warrants her to be dumped and be investigated thoroughly. She should have known better.
mngemuelewesha mapema ajue taratibu hizo.....mshachelewa
 
wewe unajibu nini hapa wakati ulianzisha uzi wa kusema sakata la Escrow Hawajibishwi mtuuu???????

Khaaaa mambo ya kuchokoza watu kwenye mtandao! Picha zingine ona sasa

macho kama kabanwa na mlango......lakini ana kafiga fulani kako sxy au unasemajee mkuu vp hafai kuliwa huyu bnti wa tiba
 
Nilifikiri nimeliona peke yangu hili!!!
Wale wanaozungumziwa kwenye hii saga in wale wa Mkombozi Bank tu wa bilioni 70,sijaona kabisa wale wa Stanbic bank wa bilioni 200 wakizungumziwa kabisa na mbaya zaidi upande huo nasikia ndipo familia ya JK ilipoingiziwa!!!

Nafikiri kufukuzwa kwa Tibaijuka utakuwa mwanzo wa kujua yote,maana kuna kundi ambalo halitakubali mama huyo 'afe' peke yake!Kwani inavyoonyesha,ametolewa muhanga kwa ajili ya kuipoza tu hii saga!
Time will tell!!

Stanbic money (viroba, lumbesa) ndio nouma, mpaka watu wa Magogoni wametajwa.
Time will tell indeed.
 
macho kama kabanwa na mlango......lakini ana kafiga fulani kako sxy au unasemajee mkuu vp hafai kuliwa huyu bnti wa tiba
Kuna avatar moja ilikuwemo zamani mtu akiitwa mchuzi wa bata nadhani ndio kama yeye. Hayo ya kulana ni yenu vijana sisi wengine tupo harijojo ni saa kumi na mbili jioni!
 
Last edited by a moderator:
Your mom should have known the procedures of receiving and declaring donations as a public servant. She is not new in the game.

Failure to know the pertaining public servant procedures warrants her to be dumped and be investigated thoroughly. She should have known better.

hey old lady,last time i checked you said no body is going to step down over the escrow saga,now that tibaijuka is no more,can you refute your words?.shame on you.
 
mngemuelewesha mapema ajue taratibu hizo.....mshachelewa

Alilewa madaraka.

NI matatizo ya viongozi toka enzi za Nyerere, walikuwa untouchables, Kikwete kayabadili hayo wangesoma kwa yaliyompata Mramba na Yona.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom