Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Mama Tibaijuka anapenda kuchukua Fursa hii kuushukuru JF kwa kazi kubwa waliyofanya juu ya kumkanya Binti yake baada ya kuwa amewatusi Watanzania pasipo kutumwa na mtu bali alijiamulia mwenyewe, Kwa kweli hata yeye amekuwa akikerwa na Tabia za Ajabu za Binti yake na anashangaa sijui hiyo Tabia kaitoa wapi ! Maana yeye binafsi licha ya Upepo mbaya Kumpatia huwa hana Tabia za Uchoyo na kutusi watu.
 
Nina amini kwa 100% huyo Binti hawezi kuomba Msamaha kwani hata mama yake mwenyewe huwa hamheshimu kivilee, ni Binti fulani Mjeuri sana hapendi kusikia mtu anapewa kitu na mama yake ana viajo Hatari, mama yake mwenyewe huwa anamkwepa pindi akitaka kwenda kutoa msaada kwa ndugu na jamaa zake,

Mimi mwenzenu huwa sielewagi ni hayo Maisha uZUNGU au nikitu gani,,,yaani mtoto niliemzaa nakuhangaikia ELIMU yake bila kujua nilikuwa napataje PESA anatoa wapi Jeuri yakunambia nisisaidie mtu mwingine daah,,,,!! Pole zao wt wanaoishi namna hiyo na watt wao,,,,maana ni uPUMBAVU wa hali juu sana,,,,!!
 
na nyie msiombe sana anahaki kama mama kumsaidia..mi nina jirani alikuwa un ndugu walijazana kama kuna msiba kilasikuyule mama amestaafu leo hii ukipita kwake kama so muwakumbuke nasikuwakitokakwenye ufalme kama mama alivyotolewa mumtembelee kwaupendo tu

Huyooo Binti yeye hataki kusikia ndugu anasaidiwa hata kama anaumwa hilo la kujazana kama Msibani ni lingine sasa, Tambua kuwa kama msaada wa wachache hataki je? Msaada wa wengi itakuaje?
 
Mimi mwenzenu huwa sielewagi ni hayo Maisha uZUNGU au nikitu gani,,,yaani mtoto niliemzaa nakuhangaikia ELIMU yake bila kujua nilikuwa napataje PESA anatoa wapi Jeuri yakunambia nisisaidie mtu mwingine daah,,,,!! Pole zao wt wanaoishi namna hiyo na watt wao,,,,maana ni uPUMBAVU wa hali juu sana,,,,!!

Huu ni Ukweli nakwamia Huyo mama Tibaijuka licha ya hayo Majanga yaliyotokea huwa ni Mama mwenye Huruma kwa ndugu na jamaa zake na huwa anawasaidia sana lakini kipindi akiwa anawasaidia huwa atahakikisha kuwa huyo Binti yake hajui na huwaambia ndugu wasimwambie maana akijua huja juu na kulalamika sana hataki ndugu wapate chochote toka kwa Mama Tibaijuka.
 
Mimi mwenzenu huwa sielewagi ni hayo Maisha uZUNGU au nikitu gani,,,yaani mtoto niliemzaa nakuhangaikia ELIMU yake bila kujua nilikuwa napataje PESA anatoa wapi Jeuri yakunambia nisisaidie mtu mwingine daah,,,,!! Pole zao wt wanaoishi namna hiyo na watt wao,,,,maana ni uPUMBAVU wa hali juu sana,,,,!!

Huu ni Ukweli Nakuambia Huyo mama Tibaijuka licha ya hayo Majanga yaliyotokea huwa ni Mama mwenye Huruma kwa ndugu na jamaa zake na huwa anawasaidia sana lakini kipindi akiwa anawasaidia huwa atahakikisha kuwa huyo Binti yake hajui na huwaambia ndugu wasimwambie maana akijua huja juu na kulalamika sana hataki ndugu wapate chochote toka kwa Mama Tibaijuka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom