Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Kazi anayo.....atukane weeee lakini mama yake amepigwa chini na aliyemuweka.
 
mizambwa

Wewe wacha porojo.

Kikwete jana kafunga mjadala. Maazimio kibao kayapiga chini na ukweli unabaki kuwa ukweli.

Mlikuwa mnakazania escrow pesa za umma. Kiko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo shule kununua fomu to Hadi kupata nafasi ni misingi ya Rushwa Tupu mwanao haingii hivi hivi eti iendeshwe kwa kisingizio cha kusaidia Young Tanzanians wakati ni watoto wa wenye ukwasi tu wamejaa ........pyuuuuuu a bowl please filling sick .

genuine Tanzanian girl yuko mikoani akifuata elimu miles bila kiatu ama akipanga hostel huku akijipikia bila kujali Kama hizo hostel ni za boys ama girls na ugumu wa maisha pengine wanaangukia pua kwa mimba zisizotarajiwa those are Genuine Tanzanian girls nadhani angewalenga hao si hao wenye ukwasi wa ziada wanaopelekwa na ma v8 ya walipa kodi.
 
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 56m56 minutes ago

This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)
0 replies6 retweets0 favorites Reply
Retweet6
Favorite
More





KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 58m58 minutes ago

My mum did nothing wrong except wanting to help young girls get an education. A school built with my late father. Accepted a donation (2/7)
0 replies12 retweets0 favorites Reply
Retweeted12
Favorite
More






KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 46m46 minutes ago

But more disappointed about the women in Tanzania who are so happy to see a woman down on her luck. Don't worry your time will come.
0 replies9 retweets0 favorites Reply
Retweet9
Favorite









KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 44m44 minutes ago

So glad I can finally say how I feel about this whole #EscrowSaga. People believe what they want to believe, I know the truth.




KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 60m60 minutes ago

A donation that was from clean money upon which TRA taxes were paid (3/7)
0 replies11 retweets0 favorites Reply
Retweet11
Favorite
More



Prof Anna Tibaijuka umemwona mwanao? Mwambie watanzania hawataki kuchezewa hata kidogo,
 
Last edited by a moderator:
Siyo lipustiki mkuu, ni JV ile dawa ya vidonda . sijui bado ipo siku hizi.

Hahahaa kwa staili hio bora hata sisi wa uswazi, akiishi kama sie si ndio asingeangalika kabisa sura imepoa ka uji wa juzi afu bado analeta vimaneno vyake hapa, wacha tumchambue kdg si anataka attention
 
Kwani hio shule inasomesha watoto bure? au ni kituo cha Yatima?
 
Chadema acheni matusi, Mama Tibaijuka hana kosa

Hivi laki si pesa isipokuwa buku 7? Yeyote anayetetea maslahi ya taifa ni Chadema? Kumbe kwenu wizi ni uzalendo?! Tetea hadi mwisho na jitahidi sana uwe unatunza hizo buku 7 kwenye akaunti kwani it will reach the time ambapo hizo buku 7 zitakuwa hazi- flow kwani mirija yake yote itakatwa na wazalendo wa kweli wenye nia ya dhati na si wale ambao wametugeuza watanzania kuwa mazonge, ombaomba because of CCM
 
138811e450c6600c431b57079708cf9c.jpeg

Ana sura ngumu Mungu nisamehe.
 
mama kaiba hela.ila ni kweli aliiba alone? Or ndo mmemchagua kwa uanamke wake ? Poor decision
 
dada lenyewe bayaaaaa
hapo ndo kwao wana pesa angekua mchimba chumvi km mie sijui angekuaje
sura zitooooo km matoke

Mweee hajui kutumia hela lol hiyo wanja aliyopaka itakuwa kanunua zile za kumwaga kongo mia tano tukija kwenye lipstik mama yoyo anajua anauwa macho yaaani kwa ujumla ni shiiidaaaa.
 
Hawa wanadhani wana umiliki na ofisi za umma. Yeye na mama yake wote wana matatizo ya akili.

Namshangaa na JK kuendelea kuwabeba hao majaji na akina Mulongo ukisubiri uchunguzi, uchunguzi gani tena?Take action...kwisha............
 
Naomba kufahamu school fees ya hiyo shule iliyoanzishwa na Prof Tibaijuka eti kuwasaidia poor unprivileged young girls?

Maana isije tukawa tunalishwa haya maneno bure.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom