Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
ila karembo kweli asee. Kangeoana na diamond wangezaa dolphin..
Duh! Wabongo hamwishi vituko!
ila karembo kweli asee. Kangeoana na diamond wangezaa dolphin..
Weka picha 🙂🙂...BT unadhani hawana ushahidi kuhusu hawa wezi wa mifuko ya Rambo na magunia? Wanao wanalindana tu.
Tibaijuka hana kosa. sababu ya jk kumuondoa inajulikana
Ungejua mkwanja walionao hata usingesema kuhusu hiyo mikweche STK. Watoto wote wa Tibaijuka wamejengewa nyumba Marekani
ila karembo kweli asee. Kangeoana na diamond wangezaa dolphin..
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 56m56 minutes ago
This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)
0 replies6 retweets0 favorites Reply
Retweet6
Favorite
More
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 58m58 minutes ago
My mum did nothing wrong except wanting to help young girls get an education. A school built with my late father. Accepted a donation (2/7)
0 replies12 retweets0 favorites Reply
Retweeted12
Favorite
More
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 46m46 minutes ago
But more disappointed about the women in Tanzania who are so happy to see a woman down on her luck. Don't worry your time will come.
0 replies9 retweets0 favorites Reply
Retweet9
Favorite
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 44m44 minutes ago
So glad I can finally say how I feel about this whole #EscrowSaga. People believe what they want to believe, I know the truth.
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 60m60 minutes ago
A donation that was from clean money upon which TRA taxes were paid (3/7)
0 replies11 retweets0 favorites Reply
Retweet11
Favorite
More
Ndio mtindo wa siku hizi. Hizi shule zinazoitwa Academy inasemekana 'zinasaidia' watoto kupata elimu. Pamoja na ada zao kuwa kubwa, bado wanachangisha wazazi michango kujenga majengo zaidi eti ili waendelee 'kusaidia' watoto zaidi. Huu ni msaada au biashara?
Nadhani ni kwa sababu hii ndio maana hata attention ya serikali kwenye shule zake imekufa kabisa ili ku-'promote' hizi shule 'za hali ya juu'
Mimi hiyo shule wanayosema ni msaada kwa wasichana mbona siielewi?
Kuna watoto wangapi pale ambao hana uhusiano nao kindugu wanaolipa japo 360,000 kwa mwaka( tukichukulia ndie mzazi ambae hana uwezo anamlipia 1,000 kwa siku)
Bitch pliiiz.
STFU and FOH.
Heheheh
Hii kupata ushahidi ngumu...labda kama camera zilirekodi
Maana inawezekana mwenye akaunti (escrow) alienda kuwithdraw kisha akawakatia kila mmoja mpunga wake
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
ila karembo kweli asee. Kangeoana na diamond wangezaa dolphin..
Hahaha mzee naona umetoa la moyoni...
Let's say that she trully wants 2 help Tanzanian women through education. What is the fee structure at Babro? Who really sends their girls at Babro? What did the school do with the money?
Anaingiza wabeba maboksi halafu anatumabia tunyamaze.
Nyambaf kabisa hako kabinti.
Mamake anastahili kwenda kunyea debe Butimba huko.
serikali inapaswa kutunga sera kuthibiti hizi shule...utashangaa hata shule za dini ya Kardinali Pendo siku hizi, ada ya mwaka tena O-level inazidi ada ya PhD....na bado wanawahadaa watu hasa walio europe kuwa wanawasaidia 'the maginalised community'