Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Nimemsamehe nami nisamehewe kwa niliyoandikaa. Samehe nawe utasamehewaa
 
Kwasababu binti alitambua alipo kosea,na pengine ilikua uchungu kwa mama yake kama inavyoweza kumkuta mtu yoyote jamani,na binti mwenyewe kumbe aliomba msamaha lakini wanafiki hawakuleta hilo wakaleta baya tu,basi mimi naomba watanzania ,wazalendo ,wazazi ,vijana wote wenye uelewa tumsamehee binti yetu huyu.

Kwani kakiri kosa na kaona wapi kakosea na kukubali makosa yake.

Kagemulo (zawadi) should stop behaving like a loose canon ie, shooting b4 she aims! That's what cost her mum so dearly! Mimi jembe la JK!!! At her age it reflects badly on her character which could affect her career and future negatively. Kagem Yankee personality won't help you thrive.
 
Cheo ni dhamana the young lady was'nt supposed to behave in that manner (arrogate),starting twitting silly comments like that; Her Mum coined dirty monies, now as family they need to sit down and start enjoying our Monie b'se nobody will touch them as we have seen.while enjoying our monies they must bear in mind that after the general election October'2015, the jail will be their permanent recident while being backrupted (They must return back our monies). Time will tell october'2015 is not too far.
 
Kagemulo (zawadi) should stop behaving like a loose canon ie, shooting b4 she aims! That's what cost her mum so dearly! Mimi jembe la JK!!! At her age it reflects badly on her character which could affect her career and future negatively. Kagem Yankee personality won't help you thrive.
Wakora MTK
 
Nikiwa shuleni kidato cha pili mwalimu wetu wa lugha alituasa kutoandika kitu ukiwa na hasira.Ilikua ni somo la Fasihi andishi.
 
Nimezitazama hizo tweets zake za "msamaha" na nimegundua lengo lake hasa ni kumtoa mama yake ktk kashfa yake yeye kutukana...that's why anasisitiza kwamba mama yake hahusiki na hizo tweets za matusi..
Binafsi sijaona Kama amemaanisha kuomba msamaha kwa kuwatukana watanzania,Bali msamaha kwa kutukana mtandaoni hivyo kupelekea kuchafua jina la mama yakee(ambalo lishachafuka) na jina la Tibaijuka.
 
Aliandika Nini wadau, maana wengine tulikuwa nje YA JF Kwa muda kidogo.
 
**** wazi wewe ndiye kagemulo aka zawadi mtukana watu, na sasa unaomba radhi

Akaaaaaaa!!!!
Na hapa Jamii Forums kumbe kuna matusi kama kule Zanzibar Ni Kwetu?
Sasa mtu jamani akimbilie wapi anapotaka ku-relax na siasa za kwetu?
 
Kwasababu binti alitambua alipo kosea,na pengine ilikua uchungu kwa mama yake kama inavyoweza kumkuta mtu yoyote jamani,na binti mwenyewe kumbe aliomba msamaha lakini wanafiki hawakuleta hilo wakaleta baya tu,basi mimi naomba watanzania ,wazalendo ,wazazi ,vijana wote wenye uelewa tumsamehee binti yetu huyu.

Kwani kakiri kosa na kaona wapi kakosea na kukubali makosa yake.

Hajaomba msamaha kama unavyotaka kutudanganya na kutuburuza. Amesema tu mama yake hahusiki na alikuwa hajui. Na zaidi amesema ''everyone is entitled to their own opinion.....''
 
Kwasababu binti alitambua alipo kosea,na pengine ilikua uchungu kwa mama yake kama inavyoweza kumkuta mtu yoyote jamani,na binti mwenyewe kumbe aliomba msamaha lakini wanafiki hawakuleta hilo wakaleta baya tu,basi mimi naomba watanzania ,wazalendo ,wazazi ,vijana wote wenye uelewa tumsamehee binti yetu huyu.

Kwani kakiri kosa na kaona wapi kakosea na kukubali makosa yake.
Ni ------!
 
..wahenga walipata kunena..,mtu mzima akivuliwa nguo huchutama..!
...chutama binti.,ujipange upya..!
 
Kwasababu binti alitambua alipo kosea,na pengine ilikua uchungu kwa mama yake kama inavyoweza kumkuta mtu yoyote jamani,na binti mwenyewe kumbe aliomba msamaha lakini wanafiki hawakuleta hilo wakaleta baya tu,basi mimi naomba watanzania ,wazalendo ,wazazi ,vijana wote wenye uelewa tumsamehee binti yetu huyu.

Kwani kakiri kosa na kaona wapi kakosea na kukubali makosa yake.

"*** all" alimtusi mpaka mamaye.
 
Yule Binti hawezi kuomba Msamaha kwani ni Mjeuri sana hata hayo aliyokuwa akifanya hajatumwa na Mama yake alijiamulia mwenyewe kwa Ujinga wake, wana Familia wote wa Mama Tibaijuka wanamjua kuwa ni binti ambaye huwa hataki ndugu wapewe msaada na mama yake,ilifikia mahala mama yake akitoa msaada anamficha maana akijua inakuwa balaa, Wanandugu wote sasa wanaushukuru huu mtandao wa JF kwani umewasaidia kumpaka Live na kumchana binti juu ya Tabia zake Mbovu pengine alikuwa hujitambui sasa atajitambua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom