..wahenga walipata kunena..,mtu mzima akivuliwa nguo huchutama..!
...chutama binti.,ujipange upya..!
Nina amini kwa 100% huyo Binti hawezi kuomba Msamaha kwani hata mama yake mwenyewe huwa hamheshimu kivilee, ni Binti fulani Mjeuri sana hapendi kusikia mtu anapewa kitu na mama yake ana viajo Hatari, mama yake mwenyewe huwa anamkwepa pindi akitaka kwenda kutoa msaada kwa ndugu na jamaa zake,