Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Binti,

Mamayako kaponzwa na itifaki tu. Hakupaswa kumtangulia Rais kuongea yale alooyaongea bila ya ridhaa yake.
 
B1HgTD7IEAA1aKQ.jpg:large

Acha kurusha matusi bhanaaa
Sura yake tu jinsi ilivyokavu anaonekana ni wa aina gani
 
Ujinga wa Wa Tanzania kuacha issues na ku deal na non issues....Seriously among all is this an issue watu kuikomalia hivi

Watanzania mbona wajinga hivi

Tatizo ni nini?
 
Ujinga wa Wa Tanzania kuacha issues na ku deal na non issues....Seriously among all is this an issue watu kuikomalia hivi

Watanzania mbona wajinga hivi

Tatizo ni nini?

tatizo ni ujinga na wewe kilichokuleta kwenye hii mada ni ujinga pia
 
ihamishieni hii topic mmu tukachangie vizuri
 
Tunataka kujua pesa za stanbic nazo zilichukuliwa na nani make kodi zetu zimechezewa mno
 
Wewe wacha porojo.

Kikwete jana kafunga mjadala. Maazimio kibao kayapiga chini na ukweli unabaki kuwa ukweli.

Mlikuwa mnakazania escrow pesa za umma. Kiko wapi?


Mbona unapotosha ukweli wewe!!!!!

Kikwete mwenyewe amekiri kuwa kulikuwa na pesa ya kodi.
lakini mkubwa akikosea kwa desturi yetu Waluguru huwezi kumwambia "BABA HAPO UMEKOSEA...." na yeye hawezi kusema kuwa nimekosea kupitisha malipo kiholela pasipo kulipwa kodi ya serikali. Isipokuwa huwa anakiri kiaina fulani kama alivyo fanya Rais jana. Kwa kuwa mwiba umechoma panapostahili ndio maana kumekuwa mdomo mzito katika maamuzi.

Je, kodi siyo pesa ya Umma!!!! Tunapoongelea pesa ya umma ina maana ni pesa ya serikali.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
...Huyu binti nae yuko kwenye email hii hapa chini yenye kuonyesha mtandao mzima wa Ruge...kukiwemo mawaziri na maofisa kibao wa JK....Huu ukoo wa panya inasikitisha rais alivyopambana kuusafisha...


Subject: SCB consent Orders under NY Banking Law
From: benedicta James (jamesbene@gmail.com)
To: ambwasi@yahoo.com;
Cc:
ajchenge@yahoo.co.uk; profmuhongo.sospeter@gmail.com;
s.muhongo@mem.go.tz; ecmaswi11@gmail.com; bkmembe@hotmail.com;
benmchomvu@yahoo.com; mathias.chikawe@me.com; wngeleja@yahoo.com;
rbade@tra.go.tz; lelomassawe@yahoo.com; mkilaini@gmail.com;
nzigilwae@yahoo.com; tibaijuka.anna@gmail.com; godfrey48312@hotmail.com;
amujulizik@gmail.com; jpmgaya@hotmail.com; mmchunguzi@gmail.com;
c.schutte@sshj.eu; ktibaijuka@gmail.com; muga.tibaijuka@milembeinsurance.com;
kamalastephano@gmail.com; Nicholas_siwingwa@yahoo.com;
hherman1982@hotmail.com; sauer-r@t-online.de; sauer-r@online.de; rene@rvdi.nl;
cprovenzano@mac.com; ruhago@gmail.com; Placidus.luoga@gmail.com;
aaabukoba@yahoo.com; mascar@udsm.ac.tz; abhandari48@gmail.com;
pkimiti40@yahoo.com; gabriel.nderumaki@gmail.com; pmbagenda@yahoo.co.uk;
tuma.abdallah@gmail.com; aminalumuli99@yahoo.com; sakoauditor@gmail.com;
steven.naiko@workforceconsult.com; wmasilingi@gmail.com;
maharagechande@yahoo.com; gurumo1956@yahoo.com;
edwina.lupembe@mkombozibank.com; mmt@jrelectronics.com; rhs@tanfoam.com;
beenunula2@yahoo.com; catenga@gmail.com; ebukuku@eachq.org;
g_mgonja@yahoo.com; afsquare@gmail.com; gkizenga@yahoo.co.uk;
e_maseke@yahoo.co.uk; geomsuya@gmail.com; kisakabenny@yahoo.com;
stnya9@yahoo.com; anyagonde77@gmail.com; omsbendera@yahoo.co.uk;
awa@ud.co.tz; fredwerema@hotmail.com; dickson@lionaviationgroup.com;
emilia.siwingwa@gmail.com; phonceg@yahoo.com; semaericbabu@yahoo.com;
sethi@iptl.co.tz; makandege@yahoo.co.uk; lutema@asylattorneys.com;
Hendrik.vanderWesthuizen@olfitra.com.na; Anton.Goosen@olfitra.com.na;
Thomas.Hochreiter@olfitra.com.na; Neil.Stainton@olfitra.com.na;
francistabaro@gmail.com; bbenedicta733@gmail.com; erugemalira@gmail.com;
jrugemalira@hotmail.com; jerome@americamail.com; kemi_02@hotmail.com;
luta_3@yahoo.com; bonifacem17@gmail.com; simonsalatiel1@gmail.com;
joseph_bnfc@yahoo.com; ibiika2000@yahoo.com; chanzi2003@hotmail.com;
amwaipopo@africanbarrickgold.com; slugome@dcb.co.tz;
grace.sanga@capitalplus.co.tz; ruhangisa123@gmail.com;
Date: Wednesday, August 20, 2014 7:18 PM
Dear Hon. Dr. Kigoda, (MP)
Further to my todays mail on FCC and FCT please find attached hereto for your
information the most recent consent order of the New York State Department of
Finance services dated 19th August 2014 directing Standard Chartered Bank
to pay an amount of USD 300million in additiona to the previous order dated
21 September 2012 that had directed SCB to pay USD 340million in the year
2012 for SCB’s admissions that it was at fault for not taking proper measures
not to facilitate money laundering.
Print https://us-mg6.mail.yahoo.com/neo/launch?.rand...
1 of 4 12/15/2014 10:07 PM
Kind Regards
James
--
James B. Rugemalira
International Independent Consultant
Windhoek House,
Mwaikibaki Road, Msasani
P.O.Box- 70457,
Dar es Salaam
Tanzania
Tel: +255 22 2775193
Fax: +255 22 2775030
Mobile: +255 774 306 838
 
Kwa nn suala hili la escrow wahaya ndio wanatjwa tu. Kama tibaijuka anataka kujisafisha njia ni moja tu aseme ukweli kwa kutaja mmoja baada ya mwingine waliokula mtonyo
 
Ungejua mkwanja walionao hata usingesema kuhusu hiyo mikweche STK. Watoto wote wa Tibaijuka wamejengewa nyumba Marekani

Mkulu hizo nyumba walizojengewa si ni zaooo???... sasa wewe unatuambia sisi ili itusaidie nini.... labda kama zitauzwa ili waturudishie mkwanja waliochota.....
siku nyingine usirudie kutuambia story za kinyonge kama hizo.....
 
Team tibaijuka wanajipanga kuusema ukweli tutashuhudia mengi kwa nini prof tibaijuka katolewa kafara!? Muda uta sema,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom