Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 350
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
We dada KT eti umeweka picha ya thriller kututishia? Siku hz hatuogopi.
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
Nadhani watanzania tu atakiwa tutendewe haki. Haki yenyewe ni kuwafahamu hao wa lumbesa. Nadhani hao wa lumbesa ni wabaya zaidi kwa sababu hata hawakutaka pesa hizo zipite kwenye system ya kibenki wao waliamua kugawana na kuzipeleka majumbani mwao kuzilalia.Stanbic money (viroba, lumbesa) ndio nouma, mpaka watu wa Magogoni wametajwa.
Time will tell indeed.
hey old lady,last time i checked you said no body is going to step down over the escrow saga,now that tibaijuka is no more,can you refute your words?.shame on you.
Alilewa madaraka.
NI matatizo ya viongozi toka enzi za Nyerere, walikuwa untouchables, Kikwete kayabadili hayo wangesoma kwa yaliyompata Mramba na Yona.
.. laki si pesa acha kushobokea mijizi....kuwa na nyumba marekani unaona ni wao tu ndy wanayo.....kunawabongo kibao wanazo na wamenunua kwa nguvu zao syo hao ccm mpaka watuibie ndy wapate mali
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
wewe unajibu nini hapa wakati ulianzisha uzi wa kusema sakata la Escrow Hawajibishwi mtuuu???????
Tuongee mwakani kabla ya Kilisimasi kuhusu haya maneno yako hapa chini.
**** wazi wewe ndiye kagemulo aka zawadi mtukana watu, na sasa unaomba radhi