Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Ila kana sura, sijajua shingoni kushuka chini yukoje! Alafu nasikia eti lips za mdomoni are directly proportional to zile zingine za downstairs. Hilo camel toe, sipati picha!

Huyo BINTI wa Mama Tibaijuka anaishi pale Mikocheni karibu na kwa Mbowe, kwa mujibu wa Ndugu zake na Majirani Wanasema ana Roho mbaya sana pia ni Mchoyo hakuna Mfano,hata mama yake anamjua vyema japo sasa anamtetea lakini huwa hawaivi, kwa kawaida kutokana na Huyo BINTI kuwanyanyasa ndugu wote wanaokwenda hapo kwenye hiyo nyumba ya mama yake.
 
Daughter Like Her Mother

Mama yake japo kapiga Dili la 1.6 billion lakini huwa hana Roho mbaya sana ni mtu poa na hafanani Tabia na Mwanae kabsa, Tambua kuwa huyo mwanae ni Mtu mwenye Roho mbaya sana ndugu wa mama Tibaijuka huwa hawaendi pale anapokaa kwani wanajua hapendi ndugu na ni Mchoyo hakuna Mfano.
 
Kienglish kigumu hata sijamwelewa kabisa huyo mdada! Ila nataka ajue tunafahamu yote kuanzia milembe insurance brokers

milembe insurance brokers inasimamiwa na kaka wa huyo binti,namfahamu yule chalii japo kwa juu juu,anaonekana hana makuu,yupo cool na hapendi kuji showoff kama dada yake.ngoja mkuu minyoo atufafanulie vizuri anaonekana kuwajua vizuri watoto wa mama AT.
 
Last edited by a moderator:
Wananchi wameshaanza kuchukua mamuzi yao wenyewe si meona serekali za mita? Na baado 2015 delete futa kabisa ccm
 
G Sam said:
Mbona kafanana sana na Diamond? ni mapacha nini?
Hapana, sidhani kama ni mapacha ila duh! kwa mbali wamefanana!


kagem.jpg

They could probably make a nice couple!
Tahadhari; hii ni photoshop!
 
Mama Tibaijuka kwa kweli yeye kama yeye hana Roho mbaya japo sasa ameamua kujitotea chake mapema maana hata angestaafu asingepata kiinua mgongo cha Tshs 1.6 billion, yeye mama T huwa ni mtu poa, Lakini binti ni mtu mbinafsi, Mchoyo na Mzushi sana hapendi Wageni, ndugu mpaka Majirani hawamtembelei na yeye hakanyagi kwa mtu ni binti mwenye Tabia za Ajabu sana.
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



- Haya ni matusi yaliyorusshwa na mtoto wa Waziri wa zamani wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka, maana yake ni kwamba huyu mtoto alidhani Mama yake atakuwa Waziri mpaka mwisho wa Dunia na hiki kiburi cha kuamini Mama yake atakuwa Waziri wa Milele anakitoa wapi kama sio toka kwa mzazi wake? Hawa ndio Viongozi wetu wa sasa hata watoto wao nao wamejivika kiburi cha ajabu maana hata Mama yake naye alidai akijizulu Rais atamshangaa na kwamba yeye ni jembe la Rais, huku wafanyakazi wa Ardhi wamepanga kufanya sherehe kubwa za kushangilia kuondoka kwake. CCM irudishe tena ile taibia ya Viongozi wake wa juu kupitia Kivukoni kwanza maana ni huzuni kwa mtoto wa Waziri wa zamani wa CCM kurusha maneno machafu kama haya kwa wananchi, ina maana mpaka sasa huyu mtoto haelewi madhambi ya Mama yake ya kupokea mapesa mengi akiwa kwenye nafasi ya UWaziri wa Jamhuri, sasa kama hata watoto wao hawaelewi na wanakimbilia kugombea uongozi wa Taifa tutegemee nini hasa kutoka kwa hawa Viongozi wetu na watoto wao?

- Kuna siku Mama yake aliwahi kukuta magari mengi kwenye njia anayopita kwenda nyumbani kwake kwa sababu inapitia Club ya 327 Mikochen, Mama kwa hasira akafunga ile Club kisa magari yamemsumbua kwenye njia ya kufika kwake, sasa niambie huyu ni kiongozi wa Taifa ambaye hawezi kuheshimu starehe za wananchi, anaifunga Club kwa sababu tu kakasirika sasa ndio maana na watoto wao wanakuwa na kiburi cha ajabu kama huyu mjinga aliyerushia wananchi matusi huko twitter, this is sad!!

Le Mutuz
 
yule mama inaonekana hajawahi kupiga deal....aliweweseka sana tangu hii saga ianze
 
I am sorry mama Tibaijuka ambaye amekuwa exposed kwenye international operations would have known better. kwa nini amekuwa wa kwanza hilo ndio swala wale waliokomba magunia na shehena za mapesa bado wanapeta tunachubiri jambazi koko lenyewe lijiuzulu, haliwezi kufuga tu majambazi na libaki pale pale.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom