ana kafiga fulani syo kabaya sana.......ana kam mguu fulani pia....kufua nacho syo mbaya ......ngoja wazee wa chumvini wazidi kumtathminiageuke tuone kwa nyuma yukoje but kuanzia kiunoni kushuka chini kama nime muelewa hivi....she is natural hana mbwembwe za kujiweka "kizungu".
Nilivyokuwa mlimani huyu mama hakuwa na mme je mwanamme aliyezaa naye hichi kiduduuu ni yupi?
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Haya ni matusi yaliyorusshwa na mtoto wa Waziri wa zamani wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka, maana yake ni kwamba huyu mtoto alidhani Mama yake atakuwa Waziri mpaka mwisho wa Dunia na hiki kiburi cha kuamini Mama yake atakuwa Waziri wa Milele anakitoa wapi kama sio toka kwa mzazi wake? Hawa ndio Viongozi wetu wa sasa hata watoto wao nao wamejivika kiburi cha ajabu maana hata Mama yake naye alidai akijizulu Rais atamshangaa na kwamba yeye ni jembe la Rais, huku wafanyakazi wa Ardhi wamepanga kufanya sherehe kubwa za kushangilia kuondoka kwake. CCM irudishe tena ile taibia ya Viongozi wake wa juu kupitia Kivukoni kwanza maana ni huzuni kwa mtoto wa Waziri wa zamani wa CCM kurusha maneno machafu kama haya kwa wananchi, ina maana mpaka sasa huyu mtoto haelewi madhambi ya Mama yake ya kupokea mapesa mengi akiwa kwenye nafasi ya UWaziri wa Jamhuri, sasa kama hata watoto wao hawaelewi na wanakimbilia kugombea uongozi wa Taifa tutegemee nini hasa kutoka kwa hawa Viongozi wetu na watoto wao?
- Kuna siku Mama yake aliwahi kukuta magari mengi kwenye njia anayopita kwenda nyumbani kwake kwa sababu inapitia Club ya 327 Mikochen, Mama kwa hasira akafunga ile Club kisa magari yamemsumbua kwenye njia ya kufika kwake, sasa niambie huyu ni kiongozi wa Taifa ambaye hawezi kuheshimu starehe za wananchi, anaifunga Club kwa sababu tu kakasirika sasa ndio maana na watoto wao wanakuwa na kiburi cha ajabu kama huyu mjinga aliyerushia wananchi matusi huko twitter, this is sad!!
Le Mutuz
Ungejua mkwanja walionao hata usingesema kuhusu hiyo mikweche STK. Watoto wote wa Tibaijuka wamejengewa nyumba Marekani
- Duh no comment U know!!
Le Mutuz
ana kafiga fulani syo kabaya sana.......ana kam mguu fulani pia....kufua nacho syo mbaya ......ngoja wazee wa chumvini wazidi kumtathmini
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
Hizi usoni kwake ni chunusi au fangasi?
haa haa ikiwemo miccm yenyewe!JK kamtoa kafara Tibaijuka ili kulinda
majambazi yaliyochota fedha stanbic,
na alijua mitanzania mijinga na
mizuzu itaridhika tu
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Haya ni matusi yaliyorusshwa na mtoto wa Waziri wa zamani wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka, maana yake ni kwamba huyu mtoto alidhani Mama yake atakuwa Waziri mpaka mwisho wa Dunia na hiki kiburi cha kuamini Mama yake atakuwa Waziri wa Milele anakitoa wapi kama sio toka kwa mzazi wake? Hawa ndio Viongozi wetu wa sasa hata watoto wao nao wamejivika kiburi cha ajabu maana hata Mama yake naye alidai akijizulu Rais atamshangaa na kwamba yeye ni jembe la Rais, huku wafanyakazi wa Ardhi wamepanga kufanya sherehe kubwa za kushangilia kuondoka kwake. CCM irudishe tena ile taibia ya Viongozi wake wa juu kupitia Kivukoni kwanza maana ni huzuni kwa mtoto wa Waziri wa zamani wa CCM kurusha maneno machafu kama haya kwa wananchi, ina maana mpaka sasa huyu mtoto haelewi madhambi ya Mama yake ya kupokea mapesa mengi akiwa kwenye nafasi ya UWaziri wa Jamhuri, sasa kama hata watoto wao hawaelewi na wanakimbilia kugombea uongozi wa Taifa tutegemee nini hasa kutoka kwa hawa Viongozi wetu na watoto wao?
- Kuna siku Mama yake aliwahi kukuta magari mengi kwenye njia anayopita kwenda nyumbani kwake kwa sababu inapitia Club ya 327 Mikochen, Mama kwa hasira akafunga ile Club kisa magari yamemsumbua kwenye njia ya kufika kwake, sasa niambie huyu ni kiongozi wa Taifa ambaye hawezi kuheshimu starehe za wananchi, anaifunga Club kwa sababu tu kakasirika sasa ndio maana na watoto wao wanakuwa na kiburi cha ajabu kama huyu mjinga aliyerushia wananchi matusi huko twitter, this is sad!!
Le Mutuz
Kwani hilo jina Kagem, lina maana ya Kamchezo? Coz hawa nao kila kabla ya nukta,english
Ungejua mkwanja walionao hata usingesema kuhusu hiyo mikweche STK. Watoto wote wa Tibaijuka wamejengewa nyumba Marekani
kwanza mkuu nikupe hongera kidogo maana leo utalala usingizi mzuri. Binti mwenyewe huyu!