mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
akanyonye maboo huko
Sisi tunayemjua huyu BINTI ukipewa story zake utashangaa
kwanza mkuu nikupe hongera kidogo maana leo utalala usingizi mzuri. Binti mwenyewe huyu!
![]()
Siyo kinyambe high au[/QUO
akanyonye maboo huko
akanyonye maboo huko
Le mutuz huyo Mama Tibaijuka anaishi Makongo na anayeishi hapo karibu na club 327 ni huyo BINTI yake mwehu ambaye ndugu na jamaa hawataki kumsikia na kama ni Majanga yatakuwa yamepikwa na huyo huyo Binti kwani huwa ana Roho mbaya sana.[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Haya ni matusi yaliyorusshwa na mtoto wa Waziri wa zamani wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka, maana yake ni kwamba huyu mtoto alidhani Mama yake atakuwa Waziri mpaka mwisho wa Dunia na hiki kiburi cha kuamini Mama yake atakuwa Waziri wa Milele anakitoa wapi kama sio toka kwa mzazi wake? Hawa ndio Viongozi wetu wa sasa hata watoto wao nao wamejivika kiburi cha ajabu maana hata Mama yake naye alidai akijizulu Rais atamshangaa na kwamba yeye ni jembe la Rais, huku wafanyakazi wa Ardhi wamepanga kufanya sherehe kubwa za kushangilia kuondoka kwake. CCM irudishe tena ile taibia ya Viongozi wake wa juu kupitia Kivukoni kwanza maana ni huzuni kwa mtoto wa Waziri wa zamani wa CCM kurusha maneno machafu kama haya kwa wananchi, ina maana mpaka sasa huyu mtoto haelewi madhambi ya Mama yake ya kupokea mapesa mengi akiwa kwenye nafasi ya UWaziri wa Jamhuri, sasa kama hata watoto wao hawaelewi na wanakimbilia kugombea uongozi wa Taifa tutegemee nini hasa kutoka kwa hawa Viongozi wetu na watoto wao?
- Kuna siku Mama yake aliwahi kukuta magari mengi kwenye njia anayopita kwenda nyumbani kwake kwa sababu inapitia Club ya 327 Mikochen, Mama kwa hasira akafunga ile Club kisa magari yamemsumbua kwenye njia ya kufika kwake, sasa niambie huyu ni kiongozi wa Taifa ambaye hawezi kuheshimu starehe za wananchi, anaifunga Club kwa sababu tu kakasirika sasa ndio maana na watoto wao wanakuwa na kiburi cha ajabu kama huyu mjinga aliyerushia wananchi matusi huko twitter, this is sad!!
Le Mutuz
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 56m56 minutes ago
This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)
0 replies6 retweets0 favorites Reply
Retweet6
Favorite
More
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 58m58 minutes ago
My mum did nothing wrong except wanting to help young girls get an education. A school built with my late father. Accepted a donation (2/7)
0 replies12 retweets0 favorites Reply
Retweeted12
Favorite
More
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 46m46 minutes ago
But more disappointed about the women in Tanzania who are so happy to see a woman down on her luck. Don't worry your time will come.
0 replies9 retweets0 favorites Reply
Retweet9
Favorite
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 44m44 minutes ago
So glad I can finally say how I feel about this whole #EscrowSaga. People believe what they want to believe, I know the truth.
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 60m60 minutes ago
A donation that was from clean money upon which TRA taxes were paid (3/7)
0 replies11 retweets0 favorites Reply
Retweet11
Favorite
More
Hahahahahahag. Very funny, you made me lough for da first time from when i wakeup dis morning.
Kwa taarifa yako marekani wananunua nyumba hawajengi nyumba wewe
Kana nyege hako! Hii dharau alidhani uwaziri ni kama academic certficate ukipewa unakufa nayo????
Hizi dhaarau za. Wahaya utafikiri sio katanzania! Pumbafuuuuuu
Le Mutuz Na Huyo Binti Wote Akili Moja... Na Kwa Mfano Jk Angemtetea Tibaijuka Huyu Babu Yangu Malecela Angekuwa Upande Wa Kagem Tibaijuka.